SHAMBANI KILIMO CHA KITUNGUU 2022

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 07. 2022
  • Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live”
    TBC Live : tbc.go.tz/wp-content/uploads/...
    App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
    Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
    Twitter: / tbconlinetz
    Instagram: / tbc_online
    Facebook: / tbconlinetz

Komentáře • 17

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o Před 5 dny

    Asante mtangazaji kwa kipindi kizuri naomba no ya huyo bwana shamba

  • @michaelmbeti5040
    @michaelmbeti5040 Před 2 dny

    Shida yenu hua hawatoi namba za sm

  • @jozackkiumbu2870
    @jozackkiumbu2870 Před rokem +1

    Hongera sana Tbc kwakipindi hiki Cha shambani

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o Před 5 dny

    Naomba namba ya mtaalam

  • @KilalageSonda
    @KilalageSonda Před 2 měsíci

    Nawezaje kuwapata inbox

  • @JuliusMusika
    @JuliusMusika Před rokem

    Naomba mawasiliano yenu, tafadhali.

  • @JuliusMusika
    @JuliusMusika Před rokem

    Kwa muda mrefu nilitamani kulima vitunguu,na baada ya kusikiliza maelezo yenu,nimevutiwa zaidi,kufanya kazi pamoja na ninyi,mimi niko wilaya ya bunda, mkoani Mara.

  • @josiahkulwa5318
    @josiahkulwa5318 Před 7 měsíci

    Hongera sana

  • @VailethMmari-yo8el
    @VailethMmari-yo8el Před 3 měsíci

    Robo eka tunatumia mbegu kiasi gani?

  • @elvianludovick7428
    @elvianludovick7428 Před rokem

    nyasi tunatoaga baada ya siku saba bhana

  • @jozackkiumbu2870
    @jozackkiumbu2870 Před rokem

    Je naweza kupata namba ya mawasiliano ya afisa kilimo huyo ambaye umenyanae kipindi hiki Bwana Moshi kitambo

  • @yonamayombya5031
    @yonamayombya5031 Před rokem

    Mimi naomba namba zenu

  • @paulochristopher13
    @paulochristopher13 Před rokem

    Naomba namba ya simu

  • @ntirugirimbabazielie2445

    Vitrine nahitaji namba ya wsp ya huyo mkulima wa kwanza

  • @agnessfabian3292
    @agnessfabian3292 Před rokem

    Naomba kuuliza nusu heka inaweza kugharimu kama sh tsh? Vivyo hivyo katika heka Moja?

  • @JuliusMusika
    @JuliusMusika Před rokem

    Naomba mawasiliano yenu, tafadhali.

  • @agnessfabian3292
    @agnessfabian3292 Před rokem

    Naomba kuuliza nusu heka inaweza kugharimu kama sh tsh? Vivyo hivyo katika heka Moja?