Salama Na KING AliKiba SE6 Ep 03 FULL SHOW | DELIGHTFUL Part 2 |SendTip MPESA LIPA NO 5578460
Vložit
- čas přidán 13. 09. 2024
- #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
CZcams Link bit.ly/CZcamsS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Ukimsikiliza Alikiba anavyojibu Maswali Na Kuongea .. Unaweza Kudhani Ndo Msanii Mwenye Tuzo Nyingi Kuliko Wasanii Wengi Sana 😂😂😂😂....He Is Very Smart &Calm
True
Alikiba na kikwete kuna udungu;ongea na muonekano wafanana;mpaka busara
Salama huyu brother umemleta late sana kwa show zake, but we still loved King and we love your show.. ❤️❤️❤️
Nikwamba SALAMA akifanya show inabaki kwenye ubongo aswaaah sababu anajua anachofanya ndio mana unahisi kafanya nyingi ILA bado snaa azitoshi Kwa ukubwa na consistent ya KIBA aiwezi fanana na ferooz au embdog au jafarai
Hakika Salama nimefurahi sana kumwona Alli Kiba leo ni mwanamziki ninayempenda sana sana. Mungu akuzidishie Alli the King.
We love you more king kiba 🇰🇪 kenya unapendwa sanaa
Huyu jamaa kweli king anajua kupangilia maneno aongee nini anajua ajibu vipi pia ngoma zake ni nzuri naikubali bwana mdogo
Daaah nimegundua kumbe Alikiba anawatuwake wa kum-enterview, yaani ni bonge moja ya kitu. Daaah nimeenjoy Sana
Yani huyu yupo anakuangalia akikuuliza ushubwada na ye anakujibu ushubwada ila kuna sehem tulivu kama hapo aaaa ananyooka
@@ashurahatibu5069 kweli kabsa
Hawa wandishi wa online wajifunze kitu apa jinsi ya kuuliza maswali salama big up😘
"We love to have yo men"❤said by Salama💙
We love him (AliKiba) for real👑🎶🔥💕
Moree...We love SalamaJ too❤🎬💖💕
#SalamaNa
#AliKiba
We love Tanzania sana Mimi napenda kiba, rose muhando, Martha mwapaji 🌹
I'm from Kenya am proud of you king 👑 kiba.
Very true I'm from Kenya 🇰🇪 n I love ali so much God bless you kaka ameen ❤
Muhudumu nae aliyesave meza kusema na ukweli anamali jmn tusijifanye tunapotezea wakulungwa wenzangu😜🤣🤣🤣 afya ya mwili anayoo nasisitiza TU🤣🤣🤣...!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbinguni huendi David....yaan ulivyo insist tuu🙌🙌🙌
😂😂😂Yaani wewe... Umenifanya nirudie interview
😂😂😂😂duh
🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Ali kiba is so way cool brother...May God bless this man and all the cast of YahStone crew
natamani kwandika mu français
J'aime beaucoup ally kiba et puis je m'ai salama depuis que elle journaliste de TBC et même aujourd'hui jtm fort mon cœur salama
I real love king Alikiba❤❤ akuje Kenya jaman tumemiss yeye sana
Hii ndo interview ,Cyo uchonganishi wa baadhi ya media ,ndo maana kiba huwa anawajibu vibaya
Napenda unavyo post hunakwenda na wakati coz now days alikiba upo kwa fire na ww unatupa more details about him. I love this show. 🔥🔥🔥😏🔥🔥🔥🔥
Nakupenda sana KING👑KIBA na vile upo na mwanamke wa kizanzibar na ungazija ndani yake imekaa poa sana
Wow nice one good job salama and king Kiba magic interview 🛋️👑🔥🔥
Ofcourse we kenyans we love kiba🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Alikiba ameimprove sana katika kujibu maswali... interview zake za nyuma alikua anazingua sana kwenye kujibu... safi sana and keep on shining
Amekua anazingua aje mbona kiherehere ivo
Sema hakikutana Na waandish wa mchongo ndo anajibu hovyo
What I love about the interview. 1 bcz the guest is Alikiba, 2 mme ongeya freely yaani 😍🤗well done you guys 👏🏾
Alikiba nakupenda saana kaka Niko burundi
Kwa kweli kenya tunampenda sana ali kiba, kama shemeji wetu, na mziki wako uko vizuri,
👑 watching you from abroad 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 but a Congolese 🇨🇩 🙏🙏🙏🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩🇨🇩🛌🎧
Nimefurahi san, nilkuwa naitafuta San hii interview,,,👏👏👏👏👏👏
Daaaah salama your amazing 👏 this is interview is the best 👌 life is a journey ❤✨ ilove you both
Wale wapumbavu wengine wanaotaja taja hovyo tu majina Diamond diamond midomoni nwao haishi sasa waje hapa wasikilize ufundi wa maswali bila kitumia majina ya wahusika ila anaeulizwa anaelewa anachoulizwa na anajibu akiwa huru jabisa.
Salama imebid nitafute enterviewr yako na kiba ya kwanza kabisa nimecheka sana
Joho Na Alikiba 💗💯
Hahaha salama banana it's your brother kumukosoa ni vizuri I naonyesha upendo nimefurai kusikia Alikiba na seven wako on business good 👍interview
Best interview big up salama 😊 king kiba your the best😍😍😍😍😍
🇺🇬pia twakupenda japo hujawahi kutemberea big up my king
Yaaaaah yebaba 🔥🔥🔥💪💪nakubali sana uongo dhambi mziki mzuri
Kipezi shawatu kingi alikimba love you so much
May you bring for us our own an iconic hiphop star ONE THE INCREDIBLE 💥✌🏾
Interview Kali mbaka naona mda machache mmetumia kuongea salama irudiwe na alikiba Kuna vingi atuvijui bado
Nimependa Ki-Swanglish cha King Kiba. Ame improve sana. Nina hakika atakuwa anajinoa. Pia Napenda nyimbo zake sana.
Very humble man
Alikiba,joh,salama respect to you guys
Salama na king congratulations your selves
Jamaa alikua na njaa kweli, liko very bez na chakula
N ndomaana kasem ukwel kama ana njaa kali sema nimkweli
Salama na Kala Jeremiah ni lini jaman😂😂 kp it up kiba
Napenda unapenda kuwa really alikiba hufake maisha
🤣🤣🤣anafurahisha sana ali kiba anasema interview ya kiingereza unafikiria swali pia unafikiria jinsi ya kujibu kiingereza ni kweli kabisa very funny guy .
Alikiba we love you
✌🏾Kumbe Una majibu mazuri utazani maswali ya interview unalalaga nayo kabla ya mahojiano…!!?? 🤔
Tuwekee Salama na T.I.D full interview,I have missed his swaggs and the way he speaks his perfect English that other musicians are unable to speak.
M pia
😂😂😂 daah
I'm you fan from 254
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#kingkiba
Who watched this video without skipping. Like this 😆.
This was the best interview salama big up sana on point 💯💯💯💯💯💯💯💯
Kiba kiba kibaaaaaaaaaaaa daaah i real love this man
I watch kiba i live kiba your the best man salam am your big fan since kitmbo sana kipindi kikarii
Dah nimefurahi sana interview bora ya mwaka
Salama💟👌kiba😍
Interview ya lini hii make umeichelewesha Sana!!!
kingkiba💞Real Man
Best interview Salama and King Kiba ,I like that🙌
Enjoyed this . Salama great job , just vibe with the people on your show !
This man......we gat love for you both... 🇹🇿
Nauchungulia mpaja Wa salama nauona kwa mbali
Nice interview I love
Ilove this show
Safi salama
Sasa unaweka interview kwa urefu
Kiba he is a Legend
Amazing Show!
Was amazing show 👏 🙌 😍
I really...really appreciate dis show i like u dada #salama i started 4rm today to concentrate dis showw💜✌️😊
I love love love love love King Kiba 🤴 ❤ 🇰🇪
love it❤️🇨🇦🇹🇿
Salama noma sana interview nzuri sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yohoooooo papileeeee , team kiba , sister salama mungu akubalikii Sana unatuletea kila sk vitu vizuri na kutufunza menjgii
Ni kweli Kenya tupenda King kiba sana
Ali kiba ni kipenzi cha Mombasa,
King forever
My favorite Artist king KIBA
Ilove this guy
Huyu kiba n bingwa hapa 🇰🇪
This is king kiba.
Apo penye anatumwa kunawa imenifurahisha😂😂😂
we salama hilo paja vipi..mbona zuri mashaallah 😋
😄😄😄😄 uchokozi
🤣🤣🤣🤣 wewe jamaa wewe
Good interview
Isee this interview is nicer👏
Speshoz alikula bila kunawa haha 🤣🤣🤣🤣
Very nice King kiba we love you
Ukiniapiza Hahah kocha bwana
Our king 🤴🏾
Mlete Dr. kumbuka tuvunje mbavu kdg.
Only One King🙏🙏🙏
❤️❤️❤️❤️My king
ToB honest we Kenya love u MO🔥
Mwanzo niljuaga mko differ kumbe mko poa tyuu Toka nimuone kwenye uznduz wa album ya only one king nikakubali
King ♥️♥️♥️
Love much my king
Dada hunaho hoji mflm bona hunamahulizo mazuri sana ila mfalm ana kujibu vizuri naww nimzuri sana dada by alackson swagg mcongomani
Yoooh king 🤴🙌💙❤♥
Interview king ni 👌👌👌👌👌
Ata mm nilikesha kwaajili ya kharos ya king kiba
Nimeipenda hii interview
My King
😂😂Ety 'i love this show'