Mangungu mzee wa lushwa yanga wanamtumia mangungu kutuumiza Hela hawana wanatumia Hela za nchi walikula Hela 5 goli prisons manual mangungu wanatuhujumu mangungu ipo siku wanaokupa bichwa Leo kesho haijulikani
Mangungu laana itamwandama kama haachii timu.Masononeko ya watu anapataje usingizi huyu Mzee? Ana roho mbaya sana huyu Mangungu,yaani Kila mtu hakutaki lakini anakomaa tu na anapata usingizi. Huyu Mangungu mmmh
Ngao tuliwachia kwa figisu ,mleteni boss wenu anatangaza biashara zake ,anapiga hela.msimu ujao kufa kupona ,team spirit.nyamaza kenge.shikaa mo fc ,tukutane uwanjani wengine tushacheza mpira wa kibongo,shirikisho fikeni hata nusu tuwapongeze.kenge wa jangwani.
Mnawafunga watu wanaopambania timu yao yani hi simba ni hovyooo sana wanaoteseka kwa Aajili ya timu yao wanazuiliwa kuongelea timu yao hi timu mbovu sana haki tena mimi tahama huu ni ujinga sana
Hard drive ikingia virus memory inaanza kuchanganya ma file, inaanza kuwa slow katika ku process data. Illogical thinking. Ni kweli ana jitekenya na kucheka Mwenyewe.
Wewe km ni kiongozi kwann hutaki kuambiwa ukweli? badala yakujenga timu nyie mnapoteza muda kuwajadili mashabiki nakuwafungia mashabiki hawajafurahishwa kabisa na hicho kitu. au mnataka mashabiki wasiende uwanjani? MUWE MNAKUBALI MABADILIKO NDY MAANA MNAFELI HAMTAKI UKWELI KUIGA CY DHAMBI IGENI KWA YANGA.
Mangungu anatakiwa aondoke siyo aendelee kubaki, abaki ili iweje? Huyo Mzee ni kabila gani kwanza? Ili tujue asili ya kazi anazotakiwa kuzifanya? Maana siyo lazima aongoze klabu ya mpira
Mangungu amekosea sifa zote za kuwa Kiongozi, haiwezekani mashabiki wanampigia kelele nchi nzima lkn Bado ameshindwa kuwajibika, nafikiri kuna kitu kikubwa sana anakipata pale Simba
Pale Yanga palitokeaga mgogoro mkubwa sana, wakafukuzwa wachezaji wotee, wakaanza na vijana wadogoo kabisa ndo wakala 6 na simb ( ndo kibadeni akafunga 3) je mnayataka hayo?.
GB 64 Kweli ni shabiki wa Simba ila kichwani hamnazo,ndio maana anaropoka na kutiwa ndani kwa kuwa huwa anaingia bila kufikiria.Mdomo huwa hauna ushirikiano na ubongo,anaongea kabla ya kufikiri huyu jamaa.Sielewi hata alivyokuwa anafundisha huko shuleni
Sasa kaka yangu Gb 64 ninyi mnataka kufanya mikutano na maandamano kwani ninyi Chadema ? Mambo hayo wenyewe Tundu Lissu na Mbowe pamoja na Msigwa na Sungu ninyi Simba maandamano wapi na wapi nyie ngojeeni Tabu lele waaaaaa
KAMA CCM INAKOSOLEWA ITAKUWA HUYO MANGUNGU ASIKOSOLOWE YEYE AKIWA NANI? KWELI TUMEROGWA. JEZI SINUNUI. SIMBA DAY SIENDI. MECHI ZA LIGI NA KIMATAIFA SITOHUDHURIA. SITOSAFIRI NA TIMU MECHI ZA MIKOANI NA NJE YA NCHI.
Hapa nataka niwaulize serekali kwa Nini munahusika kuikandamiza Simba waziri wa michezo kimia raisi wa tff uko wapi? Serekal semeni lolote mangungu anatesa watu namuna hii
Kaka GB wewe Ni kiboko yao haswa. Umenyooka Kaka. Sasa viongozi wengine wa Simba kuweni makini tumesema Sana kuhusu huyu chizi Mangungu. Sasa Kuna hasara kubwa inakuja msimbazi. Mangungu hebu kuwa na hekima ya madaraka kwa Hali hii wewe Mangungu HAKUNA utakayemwongoza sasa akakuheshimu Kama mwenyekiti wao. TUACHIE TIMU YETU BASI.
BILAA MANGUNGU KUTOKA MADARAKANI SISI WANASIMBA HATUTANUNUA JEZI NA UWANJAN HATUENDI
Mo kama atakumbatia nyuki mingungu.Basi ahesabu hasara mara dufu.
Kweli kabisa
Mangungu mzee wa lushwa yanga wanamtumia mangungu kutuumiza Hela hawana wanatumia Hela za nchi walikula Hela 5 goli prisons manual mangungu wanatuhujumu mangungu ipo siku wanaokupa bichwa Leo kesho haijulikani
Mangungu Akakae mwenyewe uwanjani mashabiki Atuendi
Press YAO lakini maelezo meeengi Yanga wanaimbwa😇😇, Huku kuchanganyikiwa bana, Wanawaza Yanga tu..
Umenena wengi hatuna kadi tunambiwa hamna
Umeongea ukweli GB
Jezi hatununui na uwanjani simba day hatwendi
Sem hauwendi ww wengine bado tunaendaa
hatuendi na wengi hawataenda Amin kwamba
@@user-gx4if4dk3mNenda hujalazimishwa Kutokuenda Sisi Wenye Akili Timamu Hatuendi
Kuku wewe usiende mwenyewe nyani mzee wew
Hatuendi hawa Jamaa wajinga sana
GB unanikosha kaka hunatupa serious issue
Cha kufanya jezi akuna kununua basi iyo ndio dawa yao
Jezi atanunua mangungu na familia yake uwanjani ataenda mangungu na gsm mangungu njaa kali hana pakwenda
Mangungu mwehu😮
Mangungu Hana Kila kitu hataki kukoselewa.
Kimenuka na kitaendelea kunuka🤣🤣🤣🤣🤣♥️🙏
Umemsahau Mohamed Mwameja Idd Pazzi
MANGUNGU SIMBA SIO TIMU YA MKEWE AONDOKE TU KUMA LA MAMAKE
Gb tupo na ww jezi hamna kununua kaka tuna isusa mpka kielewe
Nikweli kaka yanga hawana hera Eng heris atajuta kuwaongoza watu wa ccm wanaopenda vya bule bule yanga nitimu ya siasa hawana hera
Maneno meeeengi tutawanywa tena kuku waheed😅😅😅
Mbumbumbu
Mangungu ondoka
Mbona Gb64 kama anapiga vilevi😂, ukifuatilia hata haelewi yani, simba inaitaji Maombi kwakwel
MO +Magori+Barbara❤ Speed 200 Alhamdulillah
Naipenda Simba ila mangungu hatukutaki wewe nimchawi wetu sinunui jez 🤸
Mangungu ni kimavi
Simba day waende hao viongozi waende peke yao kwa nini hawataki kusikiliza mashabiki viongozi waende wenyewe hiyo simba day
Mangungu ni mwehu
Pambana Mangungu aweze kuondoka atuachie timu yetu sawa kiongozi?
Hata Fredy aondoke msimsahau hana ubora wa kuichezea simba,badae mtakuja kunikumbuka
Mangungu mchawi wa simba kazee kipara haka kana maudhi . harafu kaking'ang'anzi hako
Mangungu laana itamwandama kama haachii timu.Masononeko ya watu anapataje usingizi huyu Mzee? Ana roho mbaya sana huyu Mangungu,yaani Kila mtu hakutaki lakini anakomaa tu na anapata usingizi.
Huyu Mangungu mmmh
Tugome kununua jezi zao na tusiende uwajani, uyo mangungu ndo sumu inayotusumbua asipotoka tugairi maswala yote yatimu
HUYU NDO ANASABABISHA MASHABIKI WA THIMBA WAONEKANE HAWAJUI WANATAKA NINI.... YAANI UKIMFATILIA KWA UMAKINI UTAGUNDUA ANATAKA KULAUMU LKN HAHUI ALAUMU NINI
Mm nampenda mangungu muacheni bana yupo vizuri
Mangungu mitano tena😂😂😂😂🙌🙌🙌
Hata mama yako anampenda baba yako
Ngao tuliwachia kwa figisu ,mleteni boss wenu anatangaza biashara zake ,anapiga hela.msimu ujao kufa kupona ,team spirit.nyamaza kenge.shikaa mo fc ,tukutane uwanjani wengine tushacheza mpira wa kibongo,shirikisho fikeni hata nusu tuwapongeze.kenge wa jangwani.
Mangungu atoke we Gb 64 umeanza uoga au umekula hela,mangungu abaki tena
Kwani Mungungu anakaa wapi tukamjazie nzi Geto kwake
Mnawafunga watu wanaopambania timu yao yani hi simba ni hovyooo sana wanaoteseka kwa Aajili ya timu yao wanazuiliwa kuongelea timu yao hi timu mbovu sana haki tena mimi tahama huu ni ujinga sana
Hard drive ikingia virus memory inaanza kuchanganya ma file, inaanza kuwa slow katika ku process data. Illogical thinking. Ni kweli ana jitekenya na kucheka Mwenyewe.
Tuungane tusinunue jezi Wala kwenda uwanjani aende Mangungu na wahuni wenzie
Wewe ni Yanga usituletee habari za kususia timu yetu ya damu.
HIVI MANGUNGU HIYO SIMBA NI YA KWAKO? UNATAKA TUFANYAJE ILI UELEWE HATUKUTAKI KWENYE SIMBA YETU MWISHOWE UVUMULIVU UTATUSHINDA
Ni kweli somba yenu amnazo
Wewe km ni kiongozi kwann hutaki kuambiwa ukweli? badala yakujenga timu nyie mnapoteza muda kuwajadili mashabiki nakuwafungia mashabiki hawajafurahishwa kabisa na hicho kitu. au mnataka mashabiki wasiende uwanjani? MUWE MNAKUBALI MABADILIKO NDY MAANA MNAFELI HAMTAKI UKWELI KUIGA CY DHAMBI IGENI KWA YANGA.
Majez watanunua wakina mangungu na familia yake
Kabla ya kumlaumu Mangungu turejee kwenye KATIBA yetu
Yako Nanani ban
Kifupi mangungu hutoki jezi utanunua mwenyewe tuwe wamoja
Kama hamniridhiki na viongozi acha neni na timu lao
Azizi yupo Sana mzee
Mangungu Asipotoka uwanjani mashabiki tusiende tuweni wamoja wana simba
Ataondoka tu
Simba mna mikwara. Tukutane ngao ya jamii. 😊
Leta timu,na jipangie kikosi
Umenena kweli,
Jb64 unanikosha sana, unalaumu weee mwisho wa siku unatambaaaa na usajili.
Mangungu aondoke
Mangungu anatakiwa aondoke siyo aendelee kubaki, abaki ili iweje? Huyo Mzee ni kabila gani kwanza? Ili tujue asili ya kazi anazotakiwa kuzifanya? Maana siyo lazima aongoze klabu ya mpira
Mangungu,ondoka kwa heshima,usingoje kufedheheshwa
Mangungu amekosea sifa zote za kuwa Kiongozi, haiwezekani mashabiki wanampigia kelele nchi nzima lkn Bado ameshindwa kuwajibika, nafikiri kuna kitu kikubwa sana anakipata pale Simba
Yule mzee na kamati ya maadili iondolewe ndiyo wachawi wetu
Mm naomba mashabiki tusiende uwanjani Wala jezi tusinunue
Unazungumzaaa halafu unaludi nyuma 😂😂😂 na bado na nimeitunza hii tukutane mwisho wa msimu Inshallah biidhinllah
Huyo alikuwa mwanasiasa ana damu ya ccm kuachia ngazi mpaka muende nyumbani kwake mpige ngoma ndani ya siku 5 mkiimbwa hatukutaki mangungu
Mangungu hatumtaki bila yeye kuondoka pale tutashabikia simba yetu kwenye TV uwanjani wataenda viongozi wenyewe
Movement iendelee like south africa mpaka waondoke amna kutafuta timu zingine waondoke tu
Wanaogopa kufukuzwa kwanza serekali inakosea kuingiria mambo ya mchezo
Mi naona upande wapili walitaka wamtoe mangungu kama huamini mbona waliojiuzuru mbona wote wamerudi??
Mchekeshaji huyo...et Aziz Ki hayupo zuzu kama zuzu😂😂
Atununui jezi na uwanjani atuwendi
Hapo cha msingi tukitaka kuonyesha nguvu za mashabiki tusinunue jezi wala simba day tusiende kujaza uwanja ndio tususie wote
Pale Yanga palitokeaga mgogoro mkubwa sana, wakafukuzwa wachezaji wotee, wakaanza na vijana wadogoo kabisa ndo wakala 6 na simb ( ndo kibadeni akafunga 3) je mnayataka hayo?.
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤
huyu mangungu huyu tunamshitakia mungu ahukumu
Wewe unawafanya yanga waendelea kuchochea fujo katika simba
Nikisikia tu hilo jina la Mangungu au kuona hata mchoro wa sura yake basi moyo na nafsi yangu inachafukwa mnoooo!
Mangungu ndiye atakayeivusha Simba
Hayo maneno ya kipuuzi kama haya. Ndo tatizo hayana uhalisia unasfia 0. Et Kwa sababu zipo nyingi 😂😂😂😂. Sifuri ni nini?
GB 64 Kweli ni shabiki wa Simba ila kichwani hamnazo,ndio maana anaropoka na kutiwa ndani kwa kuwa huwa anaingia bila kufikiria.Mdomo huwa hauna ushirikiano na ubongo,anaongea kabla ya kufikiri huyu jamaa.Sielewi hata alivyokuwa anafundisha huko shuleni
Mwaka huu jezi tuna mwachia mangungu na Mo wanunue wenyewe
Leo machawa mmeona ujinga wenu WASHABIKI WOTE UNGANENI UMOJA
😂😂😂ety yanga ??? Sijasikia vizur jichanganye daima mbele nyuma mwiko tanben pande zenu tu na babra mwenyewe anawachamba ety oooh diarra aziz ki juzi walikua dodoma vip dodoma inapatikana kenya??
Sasa kaka yangu Gb 64 ninyi mnataka kufanya mikutano na maandamano kwani ninyi Chadema ? Mambo hayo wenyewe Tundu Lissu na Mbowe pamoja na Msigwa na Sungu ninyi Simba maandamano wapi na wapi nyie ngojeeni Tabu lele waaaaaa
😢 5:54
KAMA CCM INAKOSOLEWA ITAKUWA HUYO MANGUNGU ASIKOSOLOWE YEYE AKIWA NANI? KWELI TUMEROGWA. JEZI SINUNUI. SIMBA DAY SIENDI. MECHI ZA LIGI NA KIMATAIFA SITOHUDHURIA. SITOSAFIRI NA TIMU MECHI ZA MIKOANI NA NJE YA NCHI.
We mbwa kweli kisugu kaangalie familia Acha taarabu
Hapa nataka niwaulize serekali kwa Nini munahusika kuikandamiza Simba waziri wa michezo kimia raisi wa tff uko wapi? Serekal semeni lolote mangungu anatesa watu namuna hii
Haiwausu
Kaka GB wewe Ni kiboko yao haswa. Umenyooka Kaka. Sasa viongozi wengine wa Simba kuweni makini tumesema Sana kuhusu huyu chizi Mangungu. Sasa Kuna hasara kubwa inakuja msimbazi. Mangungu hebu kuwa na hekima ya madaraka kwa Hali hii wewe Mangungu HAKUNA utakayemwongoza sasa akakuheshimu Kama mwenyekiti wao. TUACHIE TIMU YETU BASI.
Kwani huyo SHONDO ni nani?
MANGUNGU sio astahilikuwa kiongozi na nimamluki.
Mimwe yewe Nataka kadi jamani Simba tuko Wengii
Nendeni nyie viongozi simba day mnatukosea sana
Ningewa mchawi ngemloga mangungu huyu mzee spend hvi Simba n baba ake hili lizee bhna
We mtu achana na maneno unasababisha migogoro simba
Uwanjani ataenda Mangungu na mke wake
Shondoooooooo😂😂😂😂😂😂😂
Bwabwaja😂😂 tu ngao ya jamii sio mbali tutakutana😂😂😂
Mangungu ana kigogo anaemsapoti kuiharibu simba asipotoka basi abaki na timu yak
Mangngu achia timu bana mpaka uchomewe nyumba
Hakuna kununua jezi wala simba day
Kutoa ni moyo sio utajiri gb64 jiliwaze tu
mangungu asepe
Kuchanganyikiwa kubaya
Endeleeni na upumbavu wenu nyie kolo, mtakapofungwa nje ndani ndo mtabaki milio kama mbwa koko
Tumsikilize mangungu wanini
Mangungu niwakupiga mawe nahicho kichwa kigumu
Mangungu ni mpumbavu sana ila atarudi