MONA NI KAMA HARMONIZE akipenda kapenda kweli.mona nimpole adi raha nakupenda sana nimefurai kumuona ajenti bavo na uyo kijana namkubali sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uandishi wa kazi zenu Benroyal, unanigusa moyo wangu sana, naomba mniruhusu nisome hata tution kwenu, ni aina ya movie ambazo zinaelimu ndani yake, mumepangilia vzr matukio mpka raha wala haichoshi kutazama. Pongezi sana kwenu 🎉
Nilikuwa day shift nikapigiwa simu na boss niendelee na nightshift na nishende tena dayshift kesho sunday niwe off . Je wapendwa munajua nilivyo enjoy usiku mzima ? Wacha . kazi nzuri sanaa hongereni sana hasa Paula wewe nakupenda sana . Tabia zako zina nikosha sana isay basi tuu kama maisha halisi uko hivyo umetisha sana
KAZI ZOOTE MLIZOZIFANYA ZIMEKUA NA FAIDA SANA KWANGU HUNA NAJIFUNZA MENGI SANA KUPITIA NYINYI MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAPA AFYA NJEMA, MAARIFA YA KUTENGENEZA KAZI ÑZURI BA NYINGI ZAIDI BILA KUSAHAU NASUBIRI MUENDELEZO WA MOVIE YA ( AMANI EPISODE 5) KILA YA KHERI ✨✨👏🤝
Nisiwe mchoyo wa fadhila kiukweli mmeuwa xanaa ani mwanzo mwisho sijarusha hata kipande jah awa bless xana Bro seba acha mitungi mchumba kakuacha😂 boe from #SIMIKE✊
MONA NI KAMA HARMONIZE akipenda kapenda kweli.mona nimpole adi raha nakupenda sana nimefurai kumuona ajenti bavo na uyo kijana namkubali sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mgeweka english subtitle ingekua bora zaid, ni bonge moja la movie❤❤❤
Tuwape na like basi tusiangalie tuuu tukapita tuwpe moyo
Unawazs nn rfk nambie, unashida gan rfk nambie 🎉🎉🎉👍👍
Uandishi wa kazi zenu Benroyal, unanigusa moyo wangu sana, naomba mniruhusu nisome hata tution kwenu, ni aina ya movie ambazo zinaelimu ndani yake, mumepangilia vzr matukio mpka raha wala haichoshi kutazama. Pongezi sana kwenu 🎉
Karibu sana
Wanawake dah 😅😅😅🎉
Mmetisha sana asee
Nilikuwa day shift nikapigiwa simu na boss niendelee na nightshift na nishende tena dayshift kesho sunday niwe off . Je wapendwa munajua nilivyo enjoy usiku mzima ?
Wacha . kazi nzuri sanaa hongereni sana hasa Paula wewe nakupenda sana .
Tabia zako zina nikosha sana isay basi tuu kama maisha halisi uko hivyo umetisha sana
Kwangu mko number one namisapoti kutokea drcongo❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Nawakubali sanaaa kwa kaziiii nzuri mungu awabariki sana🙏👊
Kazi nzuri sana akili nyingiii kuna shots zimetuliaa sana so professional 🫡
Asante sana
Hii movie ni tamu sana🎉🎉🎉🎉🎉
Sema wanangu mnajua nawakubali sana
Really you are in the first position ❤❤❤, lkin naomb tu kichpo yaan ngumi 👊na kuzidish volume please kk
Mkuu huna baya story nzuri sana😍
KAZI nzuli❤
Waooo jaman wa kwanza Leo like zangu plzzzz♥️♥️
Me nawakubar sana hawa jamaa
Safi sanee, mi niko msobiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉🎉🎉
Wow I really love this movie ❤❤❤🥰😘
Kazi kazi hakuna kuchokaaaa❤❤
Iyi move imenifunza kitu chamuimu katika maisha ❤❤uzuri sio tu katika mavazi tu 🎉🎉🎉🎉🎉 nime jifunza vitu ongereni sana mwisha mzuri🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hakika wewe ni mtunzi bora mwenyez Mungu azidi kukulinda leo na kesho ili watu wengine tuzid kujifunza kupitia wewe. 🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana nime Enjoy kuitizama hii movi❤️🔥🥰
Kazi nzur sana
🎉🎉🎉kaka Ben chukua maua yako 👏👏🙌🙌✅
Bunji limechukua vijana wa benroyal na APM ,,, good work tupeni kidogo kidogo kama hivi👊👊👊
Yaani ilitakiwa kuendelea movie ni nzuri Sanaa hii 🎉 to Ben Royal wote.
Good work
Gooood, bonge la moveeeeee
Daaah kamenigusa aiseee hongereni san nimejifunza pia mung abariki kaz zenuuu🌹🌹🌹
🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunawapenda,nice movie
Kazi nzuri sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
NAKUPENDA sana Mzee kwa Kusaliiiii hapoooo
Ben royal ni mmoja tu ❤❤ mko vizuri nawapenda
Safi sana brother hunaga kazi mbovu umetisha sana hongereni kwa kazi nzuli
Daah ebwanaee noma we jamaa mbona kichwa sana daah bigger up
Yani nampenda huyu kaka hatari❤❤🎉
Woow thank you so much.God bless this movie.kuna mafunzo kabisa.I love you all
Iko vzr sana nimejifunza kwamba subira ndio kila kitu daaah safi sana
🔥🔥🔥 moto umewaka huku
Nimeipenda sn move Kali mno hongereni ❤🎉
Nawapenda❤
Kaz nzuri nimeipenda
Benroyal nawakubali mko vizuri sana kwenye finishing mnalizia movie vizur mno mmenirudisha kutazama bongo movie
Mnajua Sana, HONGERENI SANA
Barnaba na Mona my favorites kwa movie zote nawapendaa ❤️🎉🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪 movie nzuri ila benroyal aiii nawaona sana
Hongereni kwa kazi nzuri yenye mafundisho ndani yake
Bennroyal mko vizuri sana , nimeipenda sana hii movie hongereni sana ..🎉🎉🎉🎉🎉.
Ushauli wangu weka mwendelezo iendele maana mlipo ishia inawezekana kutunga story nyingine ya maisha yenu nyie wawili ❤❤❤
Kazi nzuri kabisaaa
Kazi nzuri pambana brooo
kamependeza sana kamovie,muandae na kengine❤❤❤❤❤❤❤❤uzuri hauko kwenye mavazi
Hakika move zenu zinaukonga moyo wangu nawapenda sana Bp❤❤❤❤
KAZI ZOOTE MLIZOZIFANYA ZIMEKUA NA FAIDA SANA KWANGU HUNA NAJIFUNZA MENGI SANA KUPITIA NYINYI
MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAPA AFYA NJEMA, MAARIFA YA KUTENGENEZA KAZI ÑZURI BA NYINGI ZAIDI
BILA KUSAHAU NASUBIRI MUENDELEZO WA MOVIE YA ( AMANI EPISODE 5)
KILA YA KHERI ✨✨👏🤝
MB zangu zimeenda kwa haki Asante sana nimejifunza kitu
Mmetisha sana
Woow kazi nzuri sana
good job broo, ila mona ni zaid ya rafki wa kwelii
Movie nzur sanaaaaaaa💯💯💯💯💯💯💯🥺I like it
🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Nzuri sana ❤❤🎉🎉
Kazi nzuli sana🎉
Nawakubali sana mwana na Bana boy
Nisiwe mchoyo wa fadhila kiukweli mmeuwa xanaa ani mwanzo mwisho sijarusha hata kipande jah awa bless xana Bro seba acha mitungi mchumba kakuacha😂 boe from #SIMIKE✊
Hakuna kupoa Rafiki ni 🔥🔥
Paula and peter also ben royal pictures i like you all guys ❤❤❤🇧🇮🇳🇦
hii movie nimejifunza meng sana ongern guys 🎉🎉🎉
Hongera sana Mr Benard
Natakaaa namba yakooo😅😅😅ilaaa nyieee nikooo paleeeeeee rafikiii
Ila ben uyu nikimkamata napigaaaa😂😂😂😂
Nisamehe bure🤣
Haya bhana,, mnajua🙌
Kazi nzuri jaman 🙏🙏
Nitapata wapi mwanaume kma barnaba 😢 kam yupo kwa jina la yesu ajitokeze 😊
Kazi kuntu benrayol nimependa kazi yenu
Mmetisha sanaa MUNGU awazidishie maarifa👏👏👏👏
❤big up barnaba much love ❤
Nawakubari sana🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Benroyal mnajua sana tena mnajua haswa bonge moja la muvi yani natamani isiishe 😂
Kazi nzuri sana hongeraaaa
Next 🎉🎉🎉🎉🎉
Ben Royal never disappoint 🙌🏾
Your the best
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼chuma kabisa
Umeanza na kumaliza vizur
Pokeen maua yenu love story ♥️ amazing thanks
Very interesting
Kazi nzuri sanaa
Nicee
Mona nakupenda Dadaangu
Kama ningekuw mbeya ningefaiti sana tukutane na mm nijiungee kweny iih cruel natokea morogoro nawakubalii sanaaaa
54:41 hivi ndio imeisha Mungu aendelee kuwatunza wadada kama mna na kaka barnaba
Nakubali achilieni vitu
Uandishi wa viwango sana💪
Nileteeni waigizaji wote duniani ila boni na Paula ndio first kwangu
Unyama🎉🎉🎉
Movie ninzur ❤❤
aiyeee movie kali hatarii broo tupe na ile nyingie ya amani bac uliishia njiani
The best always on🔥🔥
Kazi safi❤
My favourite channel