kazi nzuri sana clam ukiachana na comedy hii nayo ni nzuri inatuelimisha vijana wapambanaji wapi huwaga tunakosea ukiacha changamoto za ugumu wa life kitaa
movies zenu zote nimeziappreciate hongereni sana asei kila season ambayo mmetoa nyie naipenda asei me sio mpenzi wa bongo movies lakin zakwenu nimezipenda sana mpo vizuri jamn
Ni bonge la movie na ukituliza akili Ina bonge la ujumbe kwenye maisha halisi tunayo ishi na hapa ndo utagundua utajiri ni Siri ngumu na inahitaji kuwa na roho ngumu sana mfano Clam amepata utajiri ila anaweza kusaidia majirani lakini anashindwa kumsaidia mama yake Mzazi hivi familia inayokuzunguka itakuelewaje na wanajua ww ni tajiri
Leo ndio nimepata muda wa kuangalia mwanzo hadi mwisho, nime'enjoy, nimefurah, wote mmefanya vizuri sana asee sana sana, msela wake kipara nimemkubali sana 😂
Clam na timu yako mmefanya kitu kizuri sana Quality, keepItUp inafurahisha, inafundisha na inaonya pia usikate tamaa kwa changamoto unazozipitia kuanzia production na team nzima , #BOSS ♥️🔥
Huyu bingwa mbona kama kanumba😢 Ndio maana utapata matajiri wako na roho katili wanasahau Hadi wazazi wao walio walea kumbe Kisha ni vyama😢 MOLA ANIPE HIKMA NISIISAHAU FAMILIA YANGU NA NILIPOTOKA🤲🇰🇪💞🇰🇪🇰🇪
I like this combination of episodes...... it's real encouraging and stress removal when watching fully ❤❤❤❤❤ bring season two fully... always from Kenya bro❤
Nimejifunza kitu kwa hii movie yani hiki chama ni bora usaidie watu wainje kuliko watu wako ghai heri nife hivo kuliko niwe tajiri na mamangu hana chakula😢😢
wakwanza leo jamani from drc Congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni like zangu musiwe wa choyo
Leo me wakwanza jamani kwa hii season ya kwanza wap like zenu mnaompenda @clam vevo
Hii ndio bongo Sasa 😂😂😂 safi kabisa angalau mnaturudisha kwenye ubora wa zamani l love bongo movie, mzidi kutuboreshea kazi hizi, Martin nikiwa Kenya.
Kuna season 2 maana hii movie nzuri Sana unafanya kazi nzuri Sana clam
Clam Hana kaazi mbovu nani anabisha❤😂
😂😂
Wa kwanza nipeni like zangu from 🇧🇮 😆😆😆😆
Unafatiliya Big Boss Ukiwa Wapiiii❤❤❤❤❤
Hii movie imenifundisha vitu vingi sana, HONGERA KWENU WOOTE MRIO SHIRIKI.💯💯💯
KUTOKEA 🇹🇿.
Asante san
wakwanza leo mim nipen likes
Haya bwana
Unakula like au
Wote tulioenjoy BIG BOSS seasson tujuane kwa likes hapa,mi nimeenjoy sanaa vp wew❤🙌🙌
😂Dude hili hapa full kddk
czcams.com/video/wMQV7d-Y2EU/video.html
Respect bro gaga-bizzo frm burundiano❤❤❤
kazi nzuri sana clam ukiachana na comedy hii nayo ni nzuri inatuelimisha vijana wapambanaji wapi huwaga tunakosea ukiacha changamoto za ugumu wa life kitaa
Fact
Mwakatobe: mkuu mwenzio sijisikii vzr najisikia kufakufa yani kama nina UTI 😂
😅😅😅
Kivumbi leo 🔥🔥🔥hii movie Kali sana 🔥💪 clam
Umenoga Leo kuiweka full , big up mwandaaji na washiriki wa BIG BOSS tunasubiri SEASON 2
Binafsi nilikua simuelew clam ila hii movie imefanya niwe miongon mwa fans wake good job🔥
Ni kweli amekuja kitofauti sana kwa hii move
Wadau tujuane ambao tunaikubali BIG BOSS NAOMBA LIKE ZENU❤❤❤💯💯💯
Wakwanza wapi likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakwanza leo kutoka Tanzania kama unamkubali Clam vevo weka like apa tujuane ❤❤
Future kanumba!!! Clam unaigiza vizuri jaman ❤😊
Huyu ni Kanumba mpya
Wangapi tumeanza upya BIG BOSS season 1 huku tumeshaangalia mpaka sehem ya 11 gonga like tujuane😊😊
Wanatufuruga 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
movies zenu zote nimeziappreciate hongereni sana asei kila season ambayo mmetoa nyie naipenda asei me sio mpenzi wa bongo movies lakin zakwenu nimezipenda sana mpo vizuri jamn
😂😂😂Tupo baba
Mambo❤❤❤❤❤❤❤
Mwakatobe ana vaibu sana kwenye hii move😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂ako na experience
😂😂😂😂😂nimecheka pale makabulini
anaviaibu halafu anakuchana ukwel mkavumkavu😆😆😆😆😆😆
Zuchuuuu tu😂
Mwakatobe ananifanya nirudie Mara 2 2 hii movie
Wale wapenzi wa full season ya Big Boss tayari hukuu Mambo yametik. Kama unasoma comment huku ukiangalia weka like 😂😂😂
Mi naishiya apa nasubiri season 2
😂😂😂😂🤣🤣
Orally
@@AsAs-lj4ob aclam umetisha mwan
@@AsAs-lj4obcbsgey
Hakuna movie iliyonitoa machozi Kama hii oyaa nmejifunza vingi sana oiii CLAM VEVO keep up bro
Ni bonge la movie na ukituliza akili Ina bonge la ujumbe kwenye maisha halisi tunayo ishi na hapa ndo utagundua utajiri ni Siri ngumu na inahitaji kuwa na roho ngumu sana mfano Clam amepata utajiri ila anaweza kusaidia majirani lakini anashindwa kumsaidia mama yake Mzazi hivi familia inayokuzunguka itakuelewaje na wanajua ww ni tajiri
Mmeamua kutuwekea full 😂😂😂bado tunasubir season 2
Ongera sana kaka umepiga atua kubwa sana Kwa kuungalisha big boss kua single move
I'm Big fan for you Big Brother... Always from Burundian boy 🇧🇮
🇧🇮🇧🇮😜🌹🌹👇👇👇🌹🌹www.youtube.com/@guenstoryhero
Big up sana mmenifanya kidogo nifrahie move za kibongo maana mmezingatia Kila kipengele ongere sana Wana wote WA big boss
Much love Kwa clam vevooo kanumba wetu ❤❤
Wapi likes za mwakatobe
Watanzania Kwa hii movie mmetisha sana❤❤❤, nipeni subscription angalau nifike 1k subscribers
Hivi Kanumba karud
Season nzuli
Unatokea nchi gani kaka?
@@Elizabeth-my2yx 😂😂😂
Jamani hii movie naielewa sana zaidi ya sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wa kwanza kwa BIG BOSS LEO HOPE NI 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💯💯💣💣
Kaka nimeifuatilia tangu awali mpaka sasa mmetoa season 1 hongereni 💪🔥 ,mungu azidi kuwapa maarifa zaidi katka kazi za mikono yenu .#clame vevo
Oàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa claaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam nakuita mara 100 sema nn we jamaa unajua sana umenifundisha
Clam hawezi ziba pengo la kanumba lakini bigUP kwa kazi poa 👍 achunge asi ingine huko☠️😈
Akikaza anaweza kuliziba na kufanya makubwa zaid kuliko hata huyo Kanumba
Tupeni tena season 2 imepoa haiozi💪🔥👊.
Number one ku angaliya big boss ❤
Wa mwisho kuiona Big boss full movie😢 clam unatisha sanaa blaza
Big up clam, I'm proud of you all. from DRC
Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu
Jaman mm ndo wamwisho leo naomba likes zangu😄😄
Big Boss mmetisha sana na nmeipenda kazi yenu hongera sana❤❤🎉
Nakubali hii filamu am from Kenya
❤🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇭🇲 kwanza Leo ni mimi naomba like zangu
czcams.com/video/upSIEbNVaLA/video.html
🎉🎉🎉
Marrio
Good
Kama unamkubali clam gonga like hapa
Kutoka Kenya 🇰🇪 nimeiangalia nikiwa Saudi Arabia good 👍 job clam Vevo Allah azidi kuku bariki na akutangulie kwenye kazi nzuri zaidi ❤❤❤❤❤
We are waiting for a season 2 of big boss.
RAJA from D.R.Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Waiting for season 2, nzuri kabisa sijawahi ona clam vevo akiwa serious ivo
CLAM VEVO.... season 1 imekua moto w kuotea mbli... hope season 2 itakua zaidi
Leo ndio nimepata muda wa kuangalia mwanzo hadi mwisho, nime'enjoy, nimefurah, wote mmefanya vizuri sana asee sana sana, msela wake kipara nimemkubali sana 😂
Big love from Kenya vevo to the world
Nasemaje Nnasemajee Kama umemkubali CLAM nipe like zangu
IMAGINE I VAVE SPENT TWO HRS ONLINE BECAUSE OF YOU CLAM VEVO KEEP IT UP THE GOOD WORK
😂😂😂makatobe uko vizuri my bratha😂😂🎉
Jamani clam umecheza vizuri.mimi napenda Sana movies zako.mimi fan wako kutoka Kenya
I like it ,,,its good combination of all the episode,,good work.
Waiting season 2,please
A very nice and educational movie waiting for season 2
Wa kwanz 😂❤❤ big up Clam Vevo 🎉🎉🎉🎉🎉
😢😢😢hii move ni fundisho kwa watu wote usiwe na roho nzur kupitiliza na usiwe na roho mbaya kupitiliza
fanyeni haraka mtuletee season 2 plz maana so kwaukali huuu daa asei bid up sana and good job
Waa ,, the best movie 😂wa TZ mnatubamba sana ... Kenya tuko na nyinyi unyo unyo
hahahah eti unyounyo tunawapenda pia ndugu zetu
Team clam VEVO tujuane hapa kwa like🔥🔥🔥
Wee neng'enekaaa tuu...utauponza, mwakatobe shikamoo 😂😂😂
😂
Eti nani anaweza kulicheza sagarumba 🤣🤣🤣
Barikiwa kwa kazi nzuri binafsi nimejifunza mengi
Wa kwanza mimi naomba like zangu plz.
SESSION MMEPIGA MASAA MAWILI MKIUNGANISHA DAKIKA KUMI NA TISA TISA,UNYAMA UO MNATISHA🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kanumba is back kupitia clam..sasa naweza keti nikatazame bongo movie kwa umakinifu.
From kenya...plz prepare the second season earlier you can....among them you deserve to be included and congratulated 👍👍👍
Clam na timu yako mmefanya kitu kizuri sana Quality, keepItUp inafurahisha, inafundisha na inaonya pia usikate tamaa kwa changamoto unazozipitia kuanzia production na team nzima , #BOSS ♥️🔥
Jaman mtu anisaidie jina la huyo doctor... Natafta movie yake ingine hapo siijui jina mybe Niki search na jina lake kamili naeza ipata please
Better late than never clam vevo the big boss ...going far mnyama watishaaaa💥💥💥💥💥↗️💗💗 one love to clam vevo wadau wangu....
Hapo lazima niwepo Big boss sison 2 good job nipo Kenya sehem almarufu kama mtwapa kilifi county
❤
Movie nzuri sana tena yenye mafunzo mengi haswaa kw vijana❤❤🇰🇪
Asante Sana kwa mafundisho sitokuja kutamani viatu alivyo vivaa mwenzangu kwani akinipa Mimi nivae avito nitosha
Big Up Bro Clam by CHRIS 7 BUJA
Big boss Clam 🔥
THIS IS LEGENDARY,,,THE TANZANIAN FILM KING RIGHT NOW,,KENYA LOVES YOU❤,,,I CAN SEE AND TELL THE WORK PUT ON HERE,,PURE GRACE BRO CLAM 🔥
Right now this guy is doing very well in the film industry we're proud for having him in our nation
Big boss ni bonge ya move na inamafundisho mazuri sana big up clam🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like kwenu jamni
washabiki wa clam vevo tujuane mahali tunatoka mmi kutoka kenya cheza na sticker 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪
Hivi ndio nilitaka asante kwa kuskiza ombi letu movie hatari kwakweli...
Huyu bingwa mbona kama kanumba😢 Ndio maana utapata matajiri wako na roho katili wanasahau Hadi wazazi wao walio walea kumbe Kisha ni vyama😢
MOLA ANIPE HIKMA NISIISAHAU FAMILIA YANGU NA NILIPOTOKA🤲🇰🇪💞🇰🇪🇰🇪
Great job umenifanya nirudi kwa bongo movie waiting for season 2 🇰🇪🇰🇪 bongo movie is back
Tuletee moto 🔥🔥🔥zaid ya hii jmn clam mob love 😘❤
Dah nlijuwa seson2😢mbona unatutesa clam kila ck tunaeka bando kw ajili yko
😂😂😂
Kwa hii filamu nimejifunza kama mungu hajanipa utajiri Bora niwe maskin mpaka mwisho wangu
❤❤clam hawezekani ❤
Wewe ni king 👑 bro
Naona mmeonganisha episode zote kuwa moja me nilijua mtaanzia pale mlipoishia sijaenjoy hata kidogo
Dah mwamba umetsha sana namuona kanumba upya hivyo basi naimani nitamuona magu pia mda utaongea tu
Mwanangu nna ugwadu mwakatobe ovyooo chefuuu unawashwa wewe😂😂😂😂
Leo nimekuwa wakwanza nipee likes basi😅
We can't wait season 2 aki
We are waiting for the Season 2🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩WE love you ✌️
Big Boss wow Clam VEVO ❤❤❤ Hongera sana Brother ❤❤❤
Wapi like ya msanii Milton mkali
I like this combination of episodes...... it's real encouraging and stress removal when watching fully ❤❤❤❤❤ bring season two fully... always from Kenya bro❤
That good bro
Mambo
Karibu sana kaka mkubwa from Kenya
Nimejifunza kitu kwa hii movie yani hiki chama ni bora usaidie watu wainje kuliko watu wako ghai heri nife hivo kuliko niwe tajiri na mamangu hana chakula😢😢
Namimi naomba like jmn
Yaani nimefunguwa kwa haraka nafkir tunaendelea na episod ya 2😢
Mimi pia😂😂
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Nimejifunza kuwa watu hawahitaji wema tunao wafanyia.......😢
Kbs
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Hii movie ukiangalia vzur Ina mafundisho mazur likes za clam zikowp❤
Much love from kenya🇰🇪
We love u our good neighbor
Haya namim naombeni like jamani hata mbili tu😢
Tumesha kupa bro 😂
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣