Highlights | Simba Queens 2-0 Amani Queens | Ligi Kuu ya Wanawake 05/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 05. 2024
  • Simba Queens imeendelea kutamba kwenye ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara kwa kuipiga Amani Queens mabao 2-0, mchezo ukipigwa Azam Complex, Chamazi.
    Simba wamelazimika kusubiri hadi kipindi cha pili kupata magoli hayo yakitoka kwa Ruth Ingosi dakika ya 60 na Jentrix Shikangwa dakika ya 78.
  • Sport

Komentáře • 27