WALITAKA KUNIUA KUNITUPA KWENYE MAJI | NIMEENDA NCHI 15 KIBAHARIA
Vložit
- čas přidán 19. 02. 2022
- SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
Yaaani Kuna maisha watu wanapitia mpaka unaona wewe umebalikiwa hata kama huna kitu
Maximum Tv .....kuna mshkaji kama mtapata muda mtafuteni ana simulizi nyingi mno za kibaharia ...........waweza nicheki
Dan story nzuri sana nangoja ingine. Nairobi Kenya tupo
Baharia dani mwana kazimoto bagamoyo safi jeshi
Nilichokipenda kwa huyu jamaa, kila hatua anamtaja Mungu,
Blaza wee muomb namba zake nitumie namb zauyo muhuni
Ugonjwa unaitwa burudani daaa mabaharia wanapamba sana Wana risk sana
Uandishi wa habari unakufaa sana mungu akupe maisha marefu
Mmmh nyie maisha Aya ya utafutaji achenii
Mungu mkubwa uko sawa bro animpambaaji
Usikate tamaa baharia, baharia hakati tamaa 😀😀😀
Kipind kizur vyema muwe na maik mbili itakua vyema zaid ktk mahojiano ili unaemuhoj bas anakua na ulivu mzur zaid
Wachina ni mbwa nawajuwa awampendi mtu mweusi na shangaa serikali ya bongo wanapenda sana wachina awana mpango
Wambie hao waache ushamba mtu anakwenda kutafuta alafu unamuweka jela kwa nini kwa nini serikali ya tanzania ni yawashamba sana
Ukiwa na Roho ya kibaharia uwezi kukata tamaa
Wa kwanz mkono Kwa mkono na broo Sky......✌️
Tunasubiri part 2
Mara ya kwanza kusikia neno mara ya kwanza mara nyingi hivi…
Braza kasema kweli serekali musitufunge tunaporegeshwa
Inshalaah utatusua tu
Hatutaki story za barabarani sisi ma baharia
Pole Sana maisha aya
Jamaa muongo uyu cape town to Kinshasa to olivetambo😅😅😅
Watatu leo
❤❤❤ good opp travel
Mmmh kama stor aina uharisia
Hiv huyu jamaa ana mjua nyenga kweli🤣🤣🤣🤣
tuna taka mwendelezo wa dan
Mimi natafuta Mke wa Tanga wewe unatafuta maisha kweli Dunia Kila mtu na dream yake
Milion 20 usingehangaika
Oya mtafute huyo jamaa upige nae story tena ziwe hata 10 anajua kujieleza sana
Jamaa muongo ni kama amekaa maskan na mabaharia akawa ywaskiza story zao
Burudaniii
Oya sisi tunajua meli uyo anaongea sana muongo tu elijificha sehemu gani
Makenge Kama nyie hamkosekani
Mgiriki akupe dollar 1000€ hapo hapo?? Hakuna kitu kama hicho niko ugiriki miaka 5 sasa nawajua vizuri sana...mgiriki ndo mzungu wa mwisho kwa ubahili😂
Yasass
Humjui Mreno wewe.
Sorry agnes unaweza nisaidia number zako
Ugiriki na uturuki ziko karibu
Naweza kuja ugiriki kupitia visa ya uturuki
Huyu jamaa Nina wasiwasi nae, nadhani ni Big Liar. Anatoa simulizi alizo simuliwa na wenzie na kujifanya yeye