Historia ya mji wa Mombasa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 08. 2024
  • Mji Wa Mombasa Ni Mji Wenye Historia Ndefu Na Ya Jadi, Wanahistoria Wakisema Kuwa Mombasa Ilikuwepo Tangu Karne Ya 12. Katika Eneo Hili La Pwani, Historia Ya Kwa Nini Wanaoishi Mji Huu Wameitwa Waswahili Na Hata Kuzungumza Lugha Ya Kiswahili Kwa Ufasaha, Mavazi Na Vyakula Pia Vikiwa Tofauti Na Vya Maeneo Mengine Ya Kenya. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki, Mombasa Ilikuwa Bandari Kabla Ya Kuwa Mji Mkuu Wa Pili Nchini Baada Ya Nairobi.

Komentáře • 20

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 Před 3 měsíci +6

    Mombasa Raha ❤
    001
    Historia yake ndefu sana
    Ibn Batuta alipita Mombasa.
    Safi kabisa Boss

  • @nassernasser1457
    @nassernasser1457 Před 3 měsíci +8

    And mwanamkisi was the queen of Sheba, we even have a Swahili calendar by the way called Neiruz

    • @kevinswahili1991
      @kevinswahili1991 Před 3 měsíci +2

      this information should be posted ili kizazi kipya kijue

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 Před 3 měsíci +3

    Nice one
    Shukran sana kwa historia ya Mombasa

  • @Blackmuslimtiger3025
    @Blackmuslimtiger3025 Před 3 měsíci +2

    Hatutaki miraa Mombasa yetu

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 Před 3 měsíci +5

    Miraa itaondoka tu pwani, na iuzwe huko huko kwenye mbuzi. Tumechoka watu wetu kufanywa mifugo. Miraa is one of the getaway drugs. Ukishakula then it'll be easy to do other drugs, some use pills or cannabis ndio walale.

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 Před 3 měsíci +1

    Mombasa ilikua si kenyaaaaaaaaa!!!!!!!!!

  • @nassernasser1457
    @nassernasser1457 Před 3 měsíci +5

    Karne ya Saba waswahili tulikuwepo, na makavazi yapo ku backup our claims soma kitabu Cha the peripelous of the Eritrean sea written by a Greek explorer in the 7th century

    • @stevemendel7161
      @stevemendel7161 Před 3 měsíci +3

      The problem is that our history was written by other people we don't know whether it was edited...

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 Před 3 měsíci +4

    Mombasa has two stages docks and ferry😂😂

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p Před 3 měsíci

    Kisauni ni neno la kijomvu
    inamanisha kituoni
    tusau kijomvu maana yake ni tupumzikeni kwa mda mikiwa safarini
    Nilisau kwa siku chache tulipofika Kilifi yani mulitulia kwa siku chache

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p Před 3 měsíci

    Kisauni ni neno la kijomvu

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 Před 3 měsíci

    Apo kwa likoni umetudanganya,palikua panaitwa rikoni,inamaanisha mahali pakuvukia kwa lugha ya kimijikenda

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Před 3 měsíci

    Ila hakuna kabila la wachangamwe wala wajomvu

  • @CarolineAdhiambo-zk3ct
    @CarolineAdhiambo-zk3ct Před 3 měsíci

    Mobaslaseako

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt Před 3 měsíci +4

    Mbona fupi, give it time at least nusu saa