Inaumiza sana kiukwel, na mimi nimempoteza ndg yangu hapo hapo dar Mbezi Beach, tokea tarehe 31 ya mwezi wa 3, na had leo hatujafanikiwa kumpata, inaumiza sana kiukweli hili swala. Mungu abarik aonekane na tuwapate ndg zetu wote waliopotea.
@@HanifaOman-oo4pl yani kupoteza mtu kwenye familia ndio mwanzo wa kuyumba kiuchumi ki familia mzima, maana had sasahivi mambo yalivyo kwenye familia yetu yamekuwa magumu sana kiukwel.
Kuna video imewekwa kwenye akaunt ya samsago inaonyesha kaonekana huyo SATIVA, kaonekana Katavi, ila amepigwa sana, wanaemfaham kwa sana watembelee akaunt ya samsago.
Ukisoma ripoti za haki za binadam kuhusu Tz mmmh sio sehem salama saaana , tena kuna balozi wameanisha maenezo ambayo ni hatari kuishi au kutembelea nyakati za usiku na maeneo ya mbezi , kimara wamejaa watu wa kaskazini kuna matukio ya ujambazi saaana
Mzee wa kubet huyo muuza Mikeka ya mtandaoni," wanashirikiana na makampuni ya Betting kushawishi watu wajiingize kwenye Betting kwa mikeka Yao ya kueditt'
@@jumaamohamed2815mikeka ya ku edit wewe Kuma Kama hujui kitu Kaa kimya mwana tu napiga nae kazi ya betting mimi ni zaidi ya miezi 6 now na tume tengeneza pesa nyingi kupitia betting zake tuna nunua mikeka kwake na ku bet mikeka anayo post mwana anajua kisenge KUNA WEWE🚮
It's okay ila usipende sana kuwa in negative thoughts most time,basi utakuwa huna mtu karibu maisha yako yote ama hutakuwa na mtu wa kushirikiana nae..it's okay urafiki umekuwa mtihani ila haimaanishi kuwa ndio hutakuwa na mtu wa karibu wa kushirikiana nae ktk mambo madogo madogo
Mungu Aliye hai amlinde na kumrudisha salama kwa familia yake Katika jina la Yesu! Amen!
Amen 🙏
Mungu mlinde sativa popote alipo arejee akiwa salamaa
kapatikana @@ginimbifamily3995
Kashapatikana Mkoa wa Katavi yupo hoi Subhannallah
Huyu ndio rafiki wa kweli ❤😊
Huyu sativa yupo peace sana❤ na watu nmuonea huruma mam yake😢
Huyu kk ni rafiki wa kwer❤❤
Sana
usiseme hvo😢, binadamu tunasiri sana yan sana, na usiamuamini kila mtu
@@nancyg8664kabisa kabisa
Unaweza kukuta nae anahusika usiusemee moyo wa binadam😅
Hujui kitu kumanyoko , @@joycekalago532
Asante sana Millard kwa kutuongezea nguvu
watu wanatekwa na kuuliwa sijui shida ni nini 😢😢😢 binadam hawana huruma
Huu mtindo umerudi sikuizi watu hatupo salama hata kidogo nchini kwetu km Gaza tu
😨😨😨😨
Unapajuaaa GAZA
sisi wenye dii mbili tushaelew ila mh
Mwenyewezi Mungu amlinde ,arudi akiwa mzima kabisa
UMOJA NI NGUVU KIJANA APATIKANE
KIJANA ASIYEKUWA NA SHIDA NA MTU🙏
Daaah huyu ndorafiki wa kweli
Dah J polen sana mwanangu
Big up mtangazaji unahoji maswali muhimu
Inaumiza sana kiukwel, na mimi nimempoteza ndg yangu hapo hapo dar Mbezi Beach, tokea tarehe 31 ya mwezi wa 3, na had leo hatujafanikiwa kumpata, inaumiza sana kiukweli hili swala. Mungu abarik aonekane na tuwapate ndg zetu wote waliopotea.
Subuhanallah. Pole mtihani sijuiwanawapelekagawapi.
@@HanifaOman-oo4pl yani kupoteza mtu kwenye familia ndio mwanzo wa kuyumba kiuchumi ki familia mzima, maana had sasahivi mambo yalivyo kwenye familia yetu yamekuwa magumu sana kiukwel.
L
l@@KitangariGenerations
😊 4:00
#WhereIsSativa mungu amlinde huko alipo 🙏🙏
hatupo salama wakuu😢
Oy wazee mm nina shida na uyoo jamaa anae hojiwa hapo Taivana mc ... Anajulikana vipi kwa social medias
Subuhanallah. Mtihani
Jamani ameenda wp kijana wa watu dah mungu mpe uzima mlinde na maadui mana kupotea kwa vijana imekua kawaida 😢
Kikubwa amepatika
Yani inaumiza sana
Miradiayo, nami Nina taarifa hapa naomba mnisaidie kunipazia sauti! Nimetafuta namba zenu nikazikosa, Niko mwanza!
Wasiojulikana hao ndio mtindo wä siku hizi.
Kapatikana katavi yu Hoi 🙌🙌🙌
Kama ni kweli tunamshukuru Mungu
Kweliii kpatkana Mung n mwema😢@@evasilaa9064
Tusaidieni mwanetu apatikane🙏
Au Kuna MTU alipigwa mamillion kwenye betting,,,, akasema sikubari
Dah mtihani
jmn tutaogopa kuwa maarufu
Kuna video imewekwa kwenye akaunt ya samsago inaonyesha kaonekana huyo SATIVA, kaonekana Katavi, ila amepigwa sana, wanaemfaham kwa sana watembelee akaunt ya samsago.
Ndio kapatikana ila kapigwa vibaya mno sijuk ata aliwakosea nini mpaka wakamteka jmn😢😢😢😢
Nchi hii daah😢 mambo haya yana rudi sasa 😢
Dah hadi chozi limenitoka 🥺
Taivina ni rafiki haswaaa
Oya na mpatajee uyoo taivina ni blood yangu classmates
Kwaiyo Mama nae ameamua atuteke sio.. 🙄🙄
Get well soon broh
Ukisoma ripoti za haki za binadam kuhusu Tz mmmh sio sehem salama saaana , tena kuna balozi wameanisha maenezo ambayo ni hatari kuishi au kutembelea nyakati za usiku na maeneo ya mbezi , kimara wamejaa watu wa kaskazini kuna matukio ya ujambazi saaana
Kwamba watu wa kaskazini ndo wanaongoza kwa ujambazi😅😅
sisi wa kaskazini ni wastaarabu sana labd utuchokoze
MAMBO YA MATUSI AYO SIO MAZULI JAMANI😂
Tunamshukuru Mungu Amepatkana salama ila amepigwa vbaya sana 😢😢
Sa iv dar imebadilika imekua ya kutekana kuuwana Kila sku inahuzunisha sana
Ya kweli
Nikweli kapatikana au unatufariji.bas ashukuriwe Mungu
@@user-yc1rr7ry9u Hakuna uhakika
Kweli kapatikana huko Katavi
@@user-vz6kk8id2faisee kutoka dar mpk katavi M.MUNGU amfanyie wepesi amnusulu hilo na lingine tena.
Au kaenda kenya kwenye maandamano
Taivina,sativa na sadati,,,hizi AKA kulikoni
sorry, mtangazaji usikunje sana sura jmn kah unakua kama imelda wa global bhn😢
😂😂😂watu mnatoaga huu ujinga wp lkn jmn😅😅😅
@@juniorsonofgod5675 😆😆😆
😅😅😅
Tanzania na watu wasiojulikana nchi ya mama Samia kwanini Hilo?
Hivi hi sehemu anayoishi usiku anarudi vipi?mmmh
Alikuwa anajihusisha na siasa za upinzani Kwanza?
Kubet
uyu itakua mambo ya siasaaa maan nackia alikua maaarufuu twitter 🌚🌚🌚
Mzee wa kubet huyo muuza Mikeka ya mtandaoni," wanashirikiana na makampuni ya Betting kushawishi watu wajiingize kwenye Betting kwa mikeka Yao ya kueditt'
@@jumaamohamed2815mikeka ya ku edit wewe Kuma Kama hujui kitu Kaa kimya mwana tu napiga nae kazi ya betting mimi ni zaidi ya miezi 6 now na tume tengeneza pesa nyingi kupitia betting zake tuna nunua mikeka kwake na ku bet mikeka anayo post mwana anajua kisenge KUNA WEWE🚮
@@herotv3609biashara za kishetani hizo ndo zinapelekea kudhulumiana mwisho zinaishia hivyo!
Nyumban huku Masikini nime misss home 😢
Mpuuzi kweri wew si uwende yani sis tunahuzuni alafu wew unatuambia umemis kwenu kwenu kwenyew Kuna upotevu wa watu alafu unatulingia
@@user-sv6zy3hc8o Ahsante sana my dear friend Ubarikiwe ❤️
@@user-sv6zy3hc8oKunywa maji makubwa nakuja kulipa mana umenifurahisha
Kina partnership haoo
WHERE SATIVA
Kumbe hii ya kupotea watu kwenda wasikojulikana bdo ipo??duh!!!!!!!nikajua maguful alikufa nayo
Pray 4 SATIVA
Mungu amponye - EMEN !!
Dogo amepatikana leo ila kaumia
Uenda amegogwa na Gari jamani Mara nyingine inatokeq mtu kagigwa vibaya mpaka ajulikani Mungu
Alitekwa kapatikana hifadhi ya katavi huko
TAIVINA I SEE U
Oy taivina ana tumia jina gan Instagram
Dar napaogopa sana, na ndio nahamishiwa huko kikazi. Da!
Pole ukifika nitafute nitakuwekea ulizi pia mwenye wako
Ukifika unitafute nikufunze mapambano lmenikuta swala mwaka juz ilikuwa hatari
Ni hiyo post ya mwisho
Jamaa kapitikana ila wamempiga sana 😢
Wap kapatkana
@@user-yc1rr7ry9u hifadhi ya Katavi
Katavi@@user-yc1rr7ry9u
Mungu wa mbinguni amtetee apone
Mmmhh
#free sativa
free "angekua lock up ya police kweli"
Kama Gaza
Amepatikana kapigwa sana Mungu amsaudie apone😢
Wee kweli?
Kapatikana wapi jamani. Sababu ya kupigwa je. Mungu msaidie jamani kaka wa watu
@@HappyMwaigwisyaamepatikana hifadhi ya katavi national park
Amepotea dar es salaam kapatikana kativi mkoa wa rukwa huko ameumizwa vibaya
@@fraitmgala5966Mungu wangu😢
Post yake ya mwisho imemponza
Kwanini mtangazaji anamuhoji mtu uku anaangalia pembeni? Naona ni kama dharau hivi!
Siyo dharau bwana wengi wao huwa wanaogopa camera 📸 kukaa mbele ya camera sio mchezo
Jeshi la polisi na vyombo vyote vya usalama linajificha hamnazo kila siku watu wanapotea tu
Sativa au Santiva?
IT'S TYPING ERROR MZEE
Sativa
Two years back nilikuwa nafanya nae mazoezi mkwajuni
But Leo hii inauma sana kusikia tarifaa hii😢
Allah amfanyie uwepesi
Huyo rafiki pia si wa kumuamini wambane tu siri itajulikana. Siku hizi hakuna ndugu wala rafiki wa ukweli ni tamaa kwenda mbele!
It's okay ila usipende sana kuwa in negative thoughts most time,basi utakuwa huna mtu karibu maisha yako yote ama hutakuwa na mtu wa kushirikiana nae..it's okay urafiki umekuwa mtihani ila haimaanishi kuwa ndio hutakuwa na mtu wa karibu wa kushirikiana nae ktk mambo madogo madogo
Huoni Kuna watu wamefia ndani kwa miaka miwili kwa kukosa kuwa karibu na watu mpaka miaka miwili watu ndo wanajua kafia ndani toa hoja zako za upuuzi
𝗠𝗶𝗺𝗶 𝗽𝗶𝗮 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗺𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗬𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘆𝗮𝗮𝗻 𝗔𝗺𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗺𝗲𝗮𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗸𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝘃𝗶𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗷𝗶𝗼𝗻 𝗠𝗱𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗵𝗮𝗸𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗮𝗱𝗶 𝗟𝗲𝗼 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗶𝗻𝗻𝗲
💯
🐊
😂😂😂