Jambo Christina mbilinyi WIMBO nasubiri Mimi naipenda sanaa ♥️ nataka na mimi ni.imbe iyi wimbo kwako irudiliye🙏 nifanye rex ya WIMBO wako sijuwi Kama unaniambiya je? Juu naipendaka sanaa wimbo iyi mimi ni muimbaji kutoka uganda 🇺🇬 nitumiye kwanza namba yako whstp
Hongera Dada Kwa nzuri
Nyimbo nzuri sana ina mafundisho pia
Hongera dada unafanya vizuri
Amen ✍️ inabidi subira ili upate baraka zako
Mungu hajawai shindwa kamwe barikiwa Sana dada toka congo Bukavu 🇨🇩 umetubariki sana
Hongera sana dadaangu
Na barikiwa sana na huu wimbo mungu azidi kukuinua mama❤❤
Amina kubwa
Naipenda Sana hiyi song mungu akubalike Dada
Amina kubwa
Mama yangu una kaz mbaya mungu akuweke maisha marefu kwenye uwimbaji
Napenda nyimbo zako wa jina wangu❤❤❤
Asante sana
Tunaendelea kubarikiwa2 zaidi na zaidi 🙏
"MUNGU AKUBARIKI SANA" 🥰
Mungu akubariki mama hii nyimbo huwa inanibariki sana
Amina karibu kwenye Chanel yangu ujiunge nami kwa subscribe
Mungu yu pamoja nas, God bless you ❤❤❤
Nyimbo zako nzuri nimezipenda
Kazi njema sana by Emola mbilinyi hapa 🙏🏾🙏🏼🙏
On my playlist all the time, barikiwa Sana Dada
Nyimbo inaishi na ujumbe wake
Nahitaji kwaya ya KUOKOKA NI LAZIMA
Ninasubiri baraka yangu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Christina mbilinyi
Mungu Akubriki Jamani
Amina kubwa
Kama hizi ndizo nyimb
Amen God bless you
Have been listening to this song since 2015 until 2023❤ it's kinda song that that I'll never get tired of it
nishawahi piga kama show
Haya❤
Mungu akubariki Christinabilinyi
Ubarikiwe
Jambo Christina mbilinyi WIMBO nasubiri Mimi naipenda sanaa ♥️ nataka na mimi ni.imbe iyi wimbo kwako irudiliye🙏 nifanye rex ya WIMBO wako sijuwi Kama unaniambiya je? Juu naipendaka sanaa wimbo iyi mimi ni muimbaji kutoka uganda 🇺🇬 nitumiye kwanza namba yako whstp
Nitumie namba yako nitakucheki kwa whtsp
+255688824787
+255688824787
hongera mwanangu
Hii nyimbo shangazi uliimba buana
Naipnda Sana nyimbo yako kutoka moyon
Nasubir baraka zangu kutoka kwa Bwana🙏
Aminaaaaaa
Mngu akubaliki
Hongera dada
Ni siku nyingi jmn tangu nisikie huu wimbo kwenye redio ya shangazi yangu
Asante sana
2024
Amen Amen
💖💖💖
🙏🙏🙏🤝
❤🎉
Ndugu kundi lake mungu
Rusiya
amena
Amin
Amen
Hali amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwl kbx
Nahitaji kwaya ya KUOKOKA NI LAZIMA