MDOGO WA DIRECTOR KHALMANDRO AWACHANA WASANII HAWA KUTOFIKA MSIBANI| ALIWATOA KWANINI HAWAJAJA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 05. 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SIMU MUDA HUU
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    0753393036
    0625466848
    0679393030
    ZOTE ZINAPATIKANA WHATSAPP
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    INSTA; Homemediatz
    TIKTOK; homemediatz
    FACEBOOK; homemediatz
  • Hudba

Komentáře • 34

  • @MwasityPonda
    @MwasityPonda Před měsícem

    Lazima tuwambie u kweli tuisaidie familia ya #khalfan Na tusimsahau kumwombea DUWA.... Allah atufanyie wepesi... ❤

  • @user-br4tl7jv9j
    @user-br4tl7jv9j Před měsícem +2

    Ila me ninachoona sio lazima mtu aje msiban kama mtu tabia yake ni hyo awez acha…tatzo wasanii mashauzi kibao sanaaa kujiona, majivuno ndio kitu wanaweza 🙌🙌🙌

  • @Zuu673
    @Zuu673 Před měsícem +3

    Mmh sasa km mtu hakupata nafasi yakuja jaman sio vizuri aliyekuja shukuru mungu sio kutaja majina watu

  • @isnpiration
    @isnpiration Před měsícem

    khaliphan na hanscan wamefundishwana nisher

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 Před měsícem

    Poleni nduguzagu wa Tanzania

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před měsícem

    Maskn kaumia Sana AZIZI😢😢. KIFO NI FUMBO.
    POLE SANA❤

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Před měsícem

    Tuna muomba Allah amlaze pahali pema. Amiin

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Před měsícem +2

    Uyu dada anajua kuhoji😊😊😊

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j Před měsícem +6

    Kifo kiskie ila kifo kinauma sana kwa wafiwa,ila tumuombee duwa ,ila wasanii ni wanafiki

    • @shukrishuu9672
      @shukrishuu9672 Před měsícem

      Kweli kabisa ukifiwa ndiyo utaelewa mungu awape subra

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Před měsícem +6

    Mwandishi unakose a sana huyo mdogo wa marehemu yupo kwenye huzuni mii n aona ungemuuliza k uhusu msiba tu ha yo mambo ya alfani sijui Nani kamfundi sha mwenzie yani w ala haipebdezi kabi sa mkihoji watu mju e mnawahoji wakati gani na Muddy gani

    • @salimmbarak618
      @salimmbarak618 Před měsícem +1

      Hawa si watangazaji ni wapita njia na Mike ... Wanatafuta Views tuu

    • @FameTrendz
      @FameTrendz Před měsícem

      😂😂😂😂

    • @FameTrendz
      @FameTrendz Před měsícem

      kama aliomba kuulizwa😂😂😂😂😂😂😂

    • @sadiqadam7971
      @sadiqadam7971 Před měsícem

      Upo sahihi kabisa

    • @fauzibinzoo6563
      @fauzibinzoo6563 Před měsícem +1

      Huyu dada hajitambui huwezi kuuliza maswali ya kipumbavu kama hayo

  • @user-cr7vi4qp9c
    @user-cr7vi4qp9c Před měsícem +2

    Wasanii kawaida yao WENYEWE kazi yao kusema wanatumia ml3kwa siku

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth Před měsícem

    Huyo mtangazaji n mpuuz kbsa yaan unaenda msiban ujajistir tena msikitin

  • @Mgema001
    @Mgema001 Před měsícem

    Mh kwa azizi kuna usalama kweli😂

  • @user-sl7qh8kk8n
    @user-sl7qh8kk8n Před měsícem +1

    Pole ila usem unachoulizwa sio unachotak

    • @Az__2012
      @Az__2012 Před měsícem

      Director kenny ni snitch,, sisi ndo tunajua. Wacha dogo aongee

  • @alisaid1347
    @alisaid1347 Před měsícem

    UKUMBUSHO TU MAREHEMU ANATAKIWA AKUMBUKWE KWA DUA ALLAH AMSAMEHE DHAMBI ZAKE NA AMKUNJUKIE KABURI LAKE , LAKIN SIO TUMKUMBUKE KWA KAZI ALIOIFANYA COZ HIYO KAZI ALIOKUA ANAFANYA SIO KAZI YA KUMRIDHISHA ALLAH SASA SIO SAWA KULINGANIA WATU WAMKUMBUKE KWA KAZI YAKE, NA HAO WANAFUNZI WAKE SIO JAMBO LA KUJIVUNIA KWAKE COZ WAO SIO SWADAKATUN JAARIA. (HAYA NJOONI MTUKANE ALAFU TUKUTANE KWA ALLAH SIKU YA QIAYAMA)

    • @pwanihabari
      @pwanihabari Před měsícem

      Ni kweli kaka, hakuchagua kazi sahihi ya kufanya katika maisha yake kama muislam yani ni majuto juu ya majuto sema wengi hawalijui hilo ila ni mtihani mkubwa kwake😭😭😭😭

    • @FameTrendz
      @FameTrendz Před měsícem

      😂😂😂😂😂

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před měsícem

    USITEGEMEE L MSAADA WA MTU,,PAMBANA KIVYAKO

    • @Sham829
      @Sham829 Před měsícem

      Kumbuka sigara zime katazwa kuvutwa hazarani, lakin pia nina mashaka na uraia wako inaonekana ww co mtanzania, kama hauna lakuongea bora ukae kimya.

    • @user-pu6pr5jt4n
      @user-pu6pr5jt4n Před měsícem

      Hii ni kukumbushana tu, SIO amri kenge ww acha ubwege. Unajua kesho yko ww mxxxieeee

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Před měsícem

    Unaona maswali ya kijinga hayo ulizia m siba jamani waandi shi vipi

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt Před měsícem

      Na domo lake ka domo kaya 😂

    • @pwanihabari
      @pwanihabari Před měsícem

      Maswali ya msingi ni yepi? kama vipi acha kazi unayofanya kafanye huo uandishi ili uulize maswali ya form six, acha kudharau wenzako na kazi watu bwana hata wanaofanya kazi huko maafisi wanafanya makosa mengi tu sema kazi zao hazishuhudiwi na watu, na kosa la mmoja usiliangushe kwa waandishi wote sawa

    • @FameTrendz
      @FameTrendz Před měsícem

      😂😂😂sasa mlitaka niulize nn jaman vipenzi vyangu