VIJANA WA PANGONI NO 1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 05. 2020
  • Hakika Mungu ni muweza kweli atakalo huwa kwani Historia hii inaelezea ,namna Watu walivyotaabika kuhakikisha Mungu Anaambudiwa dunia kwa haki kiasi cha kutoa hata maisha yao ,Heshimu dini hasa ikiwa ni dini sahihi mbele ya MUNGU,Wapo walioteseka na kumwaga kwa ajili hiyo,hawa ni vijana Waliopinga Ibada ya Masanamu,Ni miaka 130 hadi hamsini hawakuwa watu wakiabudia masanamu baada ya NABII ISSA KUPAA MBINGUNI .
    Vijana hawa ndio waliopingana na Utawala wa Roma ambao uliwaletea Ibada ya Kuabudia masanam, Waliteswa sana baadaye walibahatika kutoroka na kwenda Kujificha Pangoni Huko Mungu Akawalaza Miaka 309 Mpaka ukapita utawala wa kiongozi katili Aliyewatesa alIyehamika kama Deoclatia ZIKAPITA tawala nyingi .Ila ilipofika mwaka wa 309 T MUNGU Akawamsha ,walipoamaka walijikuta wamechoka sana Mili inauma SANA .Tena wakihisi njaa kali kweli.Hapo ndipo walipomtuma mmoja wao aende Mjini akatafute chakula ,awaletee wale Ila walimuomba aende kwa uangalifu asije akakamatwa na Kiongozi huyo katili Deoclatia KWANI WAO WALIAMINI WAMELALA NUSU SIKU AU SIKU MOJA NA KUMBE WAMELALA MIAKA 309 ,Hawakujua kuwa deoclatia keshakufa miaka 100 NYUMA.
    Alipofika mjini alikamata pale alaipokwenda kununua mikate kwani pesa aliyotaka kulipa ilikwisha tumika miaka 300 nyuma na kwa wakati huo haikuwa ikitumika kwani mtawala wa wakati huo alishakufa na niutawala mwingine....FUATILIA KISA HIKI KIZULI .Umjue Mungu ukubwa wake na Uwezo wake. ILA NAKUKUMBUSHA PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE.

Komentáře •