KILA NAFSI ITAONJA MAUTI | SHEIKH OTHMAN MAALIM | MAWAIDHA JUU YA KIFO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 09. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    cc: Sadia Rashid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Hairath Haroub
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Komentáře • 67

  • @aisha.a.j2707
    @aisha.a.j2707 Před 5 lety +9

    Nampenda saaaana sheikh Othman mpka nashindwa kujizuia,Allah anisamehe kama nakosea

  • @hamissifurah6851
    @hamissifurah6851 Před 5 lety +6

    Shukran ktv tz online

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 Před 5 lety +3

    Asante sana sheikhe wetu kwa ukumbusho wako Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 Před 5 lety +4

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @ishermbelwa5952
    @ishermbelwa5952 Před 4 lety +2

    Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu umenifundisha Mengi na umenifanya nirudi katika dini yangu kwa ukaribu

  • @abdallahyahaya9760
    @abdallahyahaya9760 Před 4 lety +3

    Mashaallah mungu atupe mwisho mwema.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 Před 5 lety +5

    Allah atujaalie mwisho mwema sote waumini ulimwenguni kwa rehmma zake Allah

    • @AbduBwika
      @AbduBwika Před 4 měsíci

      Amin Ya Rabbal Alamin Ya RABB

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Před 3 lety +1

    Shukrani shekhe'''''Nijaalie mwisho mwema Yarrab.

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 Před 5 lety +5

    Masha Allah mawaidha mazuri yakusisimua nafsi, Allah akulipe mema fi dunia wal akhera sheikhuna

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 Před 5 lety

      Leo Ktv wamekosa udaku mashaallah wakatulete kitu masikio napenda sikiliza nafsi ikafarijika Allah awalipeni kila la kher Ktv tz online kidoti bandika bandua

    • @ukhtysakinaa7664
      @ukhtysakinaa7664 Před 5 lety

      @@zayyatiyussuf9566 Amiin

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 Před 5 lety

      @@ukhtysakinaa7664 Allahumma amin

  • @mohdissa8973
    @mohdissa8973 Před 5 lety +5

    Shukran SHEKH kwa mawaidha mazur

  • @halimaramadan6406
    @halimaramadan6406 Před 5 lety +4

    Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema tufe hali ya kua yuko radhi nasis in shaa Allah

  • @sulehmaneno4028
    @sulehmaneno4028 Před 3 lety +1

    Ma sha Allah. Mungu akupe umri mrefu uzidi kutushafisha nafsi zetu.

  • @zaujahamisi1461
    @zaujahamisi1461 Před 4 lety +1

    shukran jazila

  • @ssur5797
    @ssur5797 Před 5 lety +16

    Subhanallah mola atupe kauli ya Ash hadualailah Wash haduannamuhammada rasulullah
    Insha'allah

  • @abubakallyissapumzikakwaam7651

    MashaALLAH ALLAH akupe umri mlefu duzidi kujifunza mengi kupitia wew SHEKHE OTHUMAN MAALIM

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 Před 4 lety +2

    aaallah atupe mwisho mema

  • @rajabissa7308
    @rajabissa7308 Před 4 lety +1

    Mwenye zimungu akuzidishie maisha malefu yenye balaka

  • @sirqiutaislaamahambe1535
    @sirqiutaislaamahambe1535 Před 5 lety +6

    Naaam Maalimu upo vizuri With Daawa

  • @isumailisaidi8340
    @isumailisaidi8340 Před 4 lety +2

    Wangapi tupo apa 2020

  • @generalligalgallo7032
    @generalligalgallo7032 Před 4 lety +2

    May Allah grant us Jannah

  • @julyomwatari9171
    @julyomwatari9171 Před 5 lety +4

    Yaarbi tujlie mwsho mwma inshallah

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 Před 4 lety +1

    Allah akuzidishie umri mrefu uzidi tuelimishe na Allah akupe janat firdaus 🤲

  • @samamussakibwana5703
    @samamussakibwana5703 Před 4 lety +1

    Yaaaallah tupe mwisho mwema inshallah

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 Před 5 lety +5

    Subhna Allah Shukran Sheikh wetu kwa Nasaa Nzuri Ya Rabby tusamehe makosa yetu😢😢

  • @makulatasalumu7710
    @makulatasalumu7710 Před 5 lety +3

    Allahu akbar

  • @mishibomba2037
    @mishibomba2037 Před 4 lety +1

    Allah nipe mwisho mwema

  • @samirarama9442
    @samirarama9442 Před 5 lety +7

    MAASHALLAH HUPENDA KISIKIZA MAWAIDHA YA MAUTI

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 Před 3 lety

    MaashaaAllah

  • @fadhilakadria2819
    @fadhilakadria2819 Před 4 lety +1

    Subhannallah Malik

  • @neemamaiko3854
    @neemamaiko3854 Před 3 lety

    Maaashallah sheikh othman Allah akusimamie na akuongezee elimu

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 Před 4 lety +1

    Maashaallah

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 Před 4 lety +1

    Allah atupu mwisho mwema inshallah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 Před 5 lety +4

    Haijambo leo mawaidha

  • @footballskills1029
    @footballskills1029 Před 4 lety +2

    Mashaallah

  • @jumasungura7945
    @jumasungura7945 Před 3 lety

    Tumtegemee Allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 Před 4 lety +2

    Subiri nishee kwanza tupate kukumbushana

  • @suleimanbwela9170
    @suleimanbwela9170 Před 3 lety

    Maaashaaaallllah

  • @nussmam2009
    @nussmam2009 Před 5 lety +3

    Mawaidha mazur

  • @wardasultan4424
    @wardasultan4424 Před 4 lety +1

    Allah Akbaru

  • @mohdissa8973
    @mohdissa8973 Před 5 lety +4

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu hivii ndio tumeanzaa au

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 Před 5 lety +2

    sheigh maulidi si bidaaa

    • @Twariqabaalwy
      @Twariqabaalwy Před 5 lety

      Anasema hivi;
      Asili ya neno bidaa ni kile kilichokuja baada ya mtume swalallahu aleihi wa salaam Ni moja katika kanuni za kishariah kwa jambo lenye kuendana kinyume na Sunnah na hivyo kuwa dhwalala. Kimsingi jambo hilo kama likiwa ni zuri kisharia basi linakuwa bidaatul Hassana, kama jambo hilo likiwa halikubaliani na shariah basi linakuwa mustaqbaha, vilevile kama litakuwa linakubalika na baadhi linakuwa Mubah.
      Vilevile Bidaa inaweza kugawanyika katika vipengele vitano. Hapa Ibn Hajar hajatuletea hoja za bidaa ya Kilugha bali jinsi anavyoelewa neno Bidaa.
      Kilichotokea hapa ni kuwa Umar alianzisha mwenendo mwema na hivyo yeye na maswahaba wengine waliohusika wataendelea kupata malipo yao mpaka siku ya kiyama, kama ilivyo katika hadithi nyingine ya Mtume swalallahu aleihi wa salaam
      من سنّ في الإسلام سنّةً حسنة فله أجرها وأجر من عمل بها بعده من غير أن ينقص من
      أجورهم شىء، ومن سنّ في الإسلام سنّة سيئة كان عليه وزرها ووزر من عمل بها من
      بعده من غير أن ينقص من أوزارهم شىء.
      Hadithi inasema: "Atakayeanzisha mwenendo mwema "سُنَّةً حَسَنَةً katika Uislamu atapata ujira wake na ujira wa atakayetenda wema huo hadi siku ya Qiyaamah bila ya kupungua kitu katika ujira wa waliotenda, na atakayeanzisha mwenenedo mbaya سُنَّةً سَيِّئَةً atapata madhambi yake na madhambi ya atakayetenda madhambi hayo mpaka siku ya Qiyaamah bila ya kupungua kitu katika madhambi yao." (Swahih al- Muslim na At-Tirmidhy na An-Nasaaiy na wengine)
      Sasa tuawaulize wale wanaonadi kila bidaa ni upotofu na vipi je kuna Sunnah mbovu waijuayo?hadith hii huiruka sana na kujifanya hawaitambui au kuwa hap si mahala pake. Bidaa nyingine tuipatayo kwenye vitabu vya Sunnah.
      Mbali na Tashahud ya kawaida tuijuayo Abdullah Ibn `Umar. Alifanya nyongeza katika mwanzo wa Tashahud (Tahiyatu) kwa kuanza kusema (Basmallah) yaani Bismillah Rahman Rahim, na mwisho akaongeza Talbia; "labbaika wa sa'daika wal khayru bi yadayka wal raghba'u ilayika wal `amalu" Haya yameelezwa katika Bukhari na Muslim.
      Baadhi ya Bidaa njema za miaka ya hivi karibuni:
      Watu kukusanyika katika misikiti miwili mitukufu ya Makkah na Madinah na misikiti mingi duniani kuswali Tahajud baada ya salat Taraweh nyuma ya Imam mmoja (wakibadilisha na wasomaji mara nyingi)Kusoma dua ya kukhitimisha Quraan katika swala ya Taraweh na vilevile katikaTahajud mwezi wa Ramadhan!
      Kufanya mwezi 27 siku ya kukhitimisha Quraan katika misikiti miwili Makkah na MadinahMuadhin kusema maneno Allah akulipeni malipo mema(bora), baada ya kumaliza Taraweh na Qiyam katika misikiti miwili ya Makkah na Madinah
      Hatuyakatai haya kwani twajua msingi wake ni Bidaa iliyo nzuri , ila twasema kuwawale wapingao Maulid , hakika hawajioni na hujifunga wao wenyewe dhidi ya kauli zao wenyewe kwa kusema kuwa kila ambalo hakulifanya Mtume S.A.W au swahaba zake ni upotofu, kwa mantiki hii basi wao pia wako katika upotofu kwa kuanzisha haya na mengineyo...
      Au Bidaa hizi ni za ‘’Kilugha(lughawiyah)?
      Maana ya كُلُّ بِدعةٍ ضَلالةٌ:
      Hafidh Ibn Hajar Al Asqalani, aliyefanyia sherhe Al Bukhari, anatuambia kuhusu bidaa, " Chochote kile ambacho hakikuwepo wakati wa mtume S.A.W kinaitwa Bida’a lakini kuna Bida’a njema na Bida’a mbaya. Abu Na'im, anasimulia kutoka kwa Ibrahim Al Junaid, asema , "Nimemsikia Ash-Shafi'i anasema, "Bida’a zipo za aina mbili , bida’a njema(hasana) na chochote kile kitakataana na Sunnah ni dhwalalah(ni bida’a mbaya) na bida’a mbaya (dhwalala)
      Suali linakuja Maulid yapingana na na Quraan na Sunnah?
      Al-Hafidh al Bayhaqi, Manaqib As-Shafiy(1: 469)
      "Al Muhadithatu min umuri darbani alduhuma ma uhitha yukhalifu kitaban aw sunatan aw atharan aw ijma’an fa hadhihi al bidaatul dhalala wal althaniyatu ma uhdidha min khairi la khilafa fihi li wahidin min hadhihi wa hadhihi muhdathatun ghayru madhmuma"
      Imam Albayhaqi anasimulia katika Manaqib Ash-Shafi'i ya kwamba Ash-Shafi'i anasema kuwa , Bidaa zipo za aina mbili , ile ikataanayo na Quraan na Sunnah(Bidaa’t dhalala) na Bidaa nzuri ni ile ambayo haipingani na hivi(yaani Quraan na Sunnah)
      Al `Izz bin Abdussalam anasema mwisho wa kitabu chake , Al Qawa'id,
      Bidaa imegawanyika katika ulazima, ilokatazwa , inayopendekezwa, isokubalika na inayokubalika, na ukitaka kuifahamu basi angalia ile inayopishana na shariah (Quraan na Sunnah)
      Pamoja na kwamba iliwachukua waislamu takriban karne nne kuzinduka kuhusiana na swala hili la maulid, hiyo siyo hoja kuwa jambo hilo linakwa haram, kwani kuna rekodi sahihi za wanachouni wengine kabla ya hapo kujihusisha kwa namna moja au nyingine kumsifu mtume na kumshangilia, hivyo maulid yanakuwa ni maendeleo mwafaka katika mrengo huu. Na hata wale wanachuoni waliokuja baadaye wanaohesabiwa kuwa ni wanachuoni wa mrengo wa ki-salaf, pia walijihusisha na maulid kwa kuandika vitabu n.k kuonyesha kuwa swala hili halipingani na mafunzo sahihi ya Mtume.
      Sheikh Ibn Taymiah baba wa Usalafiyah anasema hivi kwenye kitabu chake Iqtidaswiratal mustaqim chapa ya Dar Hadith ("Majma' Fatawi Ibn Taymiyya,") Mujaraba wa. 23, uk . 163:
      "fa-ta'adhwm al-Maulid wat-tikhaadhuhu mawsiman qad yaf'alahu ba'ad an-naasi wa yakunu lahu fihi ajra`adhwim lihusni qasdihi ta'adhwimihi li-Rasulillahi, swalallahu aleihi wa salaam"
      "Kusheherekea na kuitukuza siku ya mazazi ya Kipenzi Muhammad S.A.W na watu kufanya ni msimu wa sherehe, kama wafanyavyo baadhi ya watu ni nzuri na wanapata ujira mkubwa katika kutokana na nia yaonjema kwa jambo hili la kumuenzi Rasullulah swalallahu aleihi wa salaam"
      Ibn Tay'miah anaendelea kwa kusema katika kitabu chake hicho, ukurasa wa 266 sentensi ya 5 toka chini Kwa jinsi watu wanavyofanya wakati wa sherehe hizi za maulid kama ni ushindani dhidi ya wakiristo wafanyavyo wakati wa kirisimasi kusheherekea uzao wa Nabii Issa aleihisalaam au ni hali ya kuonyesha mahabba kwa kipenzi chetu Muhammad swalallahu aleihi wa salaam na dalili ya mapenzi juu ya Mtume wetu kipenzi swalallahu aleihi wa salaam, Allah atawalipa malipo mema kwa ijtihad yao hiyo mbali ya kuwa kitendo hiki ni bida’a. Hii ni kutokana na mapenzi yao na nia yao njema kwa suala hili. Ibn Taymiah anaendelea kusema, "Twajua kuwa Maulid haikuwahi kufanywa na salaf, wangeifanya kama wangetaka kwani hakuna kipingamizi chochote cha kisharia kilichowakataza waisifanye maulid"
      Kipande hiki na vingine vingi mno katika vitabu vya Ibn Taymiah na wengineovimeondoshwa kwa makusudi kabisa na Masalafiyah( Mawahabi) kama wafanyavyo kwenye vitabu vingi vya Sunnah na maandiko ya kihistoria kupotosha ummah. Kuna editor wa Kiwahabi kwa jina Muhammad Hamid al Fiqqi , ameandika maneno yafuatayo kwenye sherhe yake chini kwa mshangao mkubwa sana eti…"kayfa yakunu lahum thawabun ala hadhaa…?Ayu ijtahadun fi hadhaa??"
      Ibn Jawz ameandika kitabu cha mashairi kuhusu mazazi ya Mtume (Maulid), Ibn Jawz ameandika kitabu cha maulid kwa mashairi kwa kuanza na beti hii….Alhamdullilah al-ladhiy abraza ghurrati aru’si al hadharat subhan Mustanira……

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 Před 5 lety

      habib swaleh naona umenipa maelezo mengi tu ..kwanza nikatae kwa uongo uliouonyesha kwamba sheigh wa kisalafi aliamuru maulidi .....kisha tu niseme ..hivi hii hadithi mtume alieyosema kwamba ..utafarikiana umma wangu mpk utafikia makundi 73 ..yote yatakwenda motoni ila 1 tu ...maswahaba wakamuuliza..mtume ni lipi hilo ..mtume akawajibu ni lile ambalo litafanya au litafuata ambacho mm na maswahaba zangu hii leo..je hiyo hadithi ni dhaifu?Km si dhaifu nini mana ya hio hadithi.....kisha tu niulize....je km kumpenda mtume sisi tunawakaribia maswahaba kwa mapenzi dhidi ya mtume?mbona hawajafanya ....mbona maimamu hawakufanya ...na iweje maulidi yaanze kipindi ambacho hakina watu hususan kwenye dini ?tuseme tumewashinda kufkiri maswahaba Sisi? au kielimu? au kifikra? au kimapenzi kwa mtume?iweje km nijambo jema wasilifanye wao sisi tufanye? ivi sisi tuna fikra kubwa..kisha unajua uzushi mana yake? mana ya uzushi ni upotevu ..na hadithi haikufafanua bidaa flani ..imesema kila bidaa ni upotevu...haijalishi iyo bidaa inamsifu mtume au laaa ..na huwezi kutoa bidaa ktk quran wala hadithi....hili jambo mtume hakulifanya wala maswahaba wala hajasema lifanywe...iweje sisi tu....hapa kuna siri kubwa ktk maulidi inafichwa