MURO: KUFURU YA PESA! STRICKER LA AFCON KUTUA SIMBA!! MILION 800 KUVUNJA MKATABA! HAPONI MTU...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 05. 2024
  • #tpmazembe #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumoNukuu#mamelodi
  • Sport

Komentáře • 31

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 Před 8 dny

    Simba mtakosea sana kama mtaleta kocha mgeni na mkamuondoa mazima Mgunda pamoja na usajili wote huo

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 Před 12 dny

    Simba haina uwezo atahusishwa lakn atabaki kuwa mpenzi Mtazamaji😂😂😂😂😂😂

  • @fubuumsb8860
    @fubuumsb8860 Před 29 dny +1

    Mnatuleteaa mbabu vijanaa awapoo

  • @user-wq5gb2pr6r
    @user-wq5gb2pr6r Před měsícem +3

    Yanga Kila kukicha anafungiwa na fifa Kwa ajili ya kuwadhulumu wachezaji wake simba ni pepo Kwa wachezaji

    • @user-mn3ze7hk5h
      @user-mn3ze7hk5h Před měsícem

      Hivi kufungiwa Yanga, wewe kinakuhusu nini. Wachezaji wanazulumiwa Yanga ingekuwepo mpaka leo? Mnadandandia yasiyowahusu, mradi tu mkomenti. Ila Yanga bingwa.

  • @HalfaniMohusen
    @HalfaniMohusen Před 10 dny

    M wemnaongea vitu fya ukwelii

  • @PIUSSELEMAN
    @PIUSSELEMAN Před 29 dny

    Simba mkimbakiza saidoo mtatushangaza sana mashabiki wenu😮!!!! Make anakera sana😞😞☹️

  • @JuliusLwiva
    @JuliusLwiva Před 15 dny

    Uyo mwamba akitua kwel

  • @DanielyKalengo-lz9xm
    @DanielyKalengo-lz9xm Před měsícem

    Atupe listi ya wanao Achwa na simba

  • @MusaMalegi
    @MusaMalegi Před 23 dny

    Hatari mabururu hajui mpira bora mumlete hata mbape

  • @rehemakiula
    @rehemakiula Před měsícem

    Muro hiyo miwani nifasheni au sijawahi kuiona usoni zaidi yakichwani

  • @maase2023
    @maase2023 Před měsícem

    Mmmhhh anakuja kukopwa huyo na ataondoka bila kulipwa naona haijui simba huyo tunamuonea huruma sana!😊

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 Před měsícem

    Jamani muwe mnasema ukweli

  • @MwitaMhoni
    @MwitaMhoni Před měsícem

    Hayo mnayoyaxema yanaukweli lakini mabululu ninaemfaham ndoanaekuja ama maneno.

  • @JoyceMasatu
    @JoyceMasatu Před měsícem

    Camera mbovu mzee

  • @MwitaMhoni
    @MwitaMhoni Před měsícem

    Hayo mnayoyaxema yanaukweli lakini mabululu ninaemfaham ndoanaekuja ama maneno

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před měsícem

    Story nyingi mnooo.

  • @thadeylyimo9772
    @thadeylyimo9772 Před měsícem

    Huyo ni saido part 2.. Yanga ameshavuka huko kwa kusajili wachezaji ambao wameshatumika Sana...

    • @user-tg7xh5tt1m
      @user-tg7xh5tt1m Před měsícem

      😂

    • @saedsoud9181
      @saedsoud9181 Před měsícem

      Kama ni kweli mabululu bado anao umri wa kucheza hata misimu mitatu minne mbele. Jamaa anajua na kafunga magoli afcon ya 2023. Kama kweli anakuja Simba basi ukweli usemwe jamaa anajua mpira.

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Před měsícem

    Tupe habali hadithi nyingi zinatumalizia vifurushi bure

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 Před měsícem

    Simba wanaongea tu hakuna usajiri hapo ni maneno tu

  • @DONALDYOWAS-rr7tz
    @DONALDYOWAS-rr7tz Před měsícem

    Mneno hoyo niya ukwel

  • @khamismohamed3100
    @khamismohamed3100 Před měsícem +1

    Muru wewe unajua sana nakukubali sana ni mchambuzi nanusu

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Před měsícem

    Wewe unayesoma maoni yetu waambie hao na mahadithi yao

  • @user-gp3pm4qp5y
    @user-gp3pm4qp5y Před měsícem

    Huyo kibabu hatumtaki

  • @dismaslimo1444
    @dismaslimo1444 Před měsícem

    Huyo nikama bokotu.leteni wa afconi ya 2023

    • @saedsoud9181
      @saedsoud9181 Před měsícem

      kama ni kweli mabululu kacheza afcon 2023 na alifunga magoli kama matatu hivi

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Před měsícem

    Kifo kimeumbwa.

  • @khamismohamed3100
    @khamismohamed3100 Před měsícem

    Muru wewe unajua sana nakukubali sana ni mchambuzi nanusu