TAZAMA MANARA AMWANGIA PESA RUBY, KWENYE BIRTHDAY PARTY YA WEMA SEPETU NI BALAA
Vložit
- čas přidán 27. 09. 2023
- Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv - Zábava
Ruby unajuwa na unajuwa tena❤❤ fro USA Kentucky 🇺🇸 ❤❤
She's very talented Miss Ruby ❤❤❤❤❤❤❤
My best female artist of all time❤❤❤❤❤❤
Kaimba vizuri sana💥💥💥💥
Kweli leo nimeamini kuna nyota.. Na ya ruby sijui what happened coz SHE IS THE BEST SINGER LIVE,STUDIO ,ENGLISH,SWAHILI IN EAST AFRICA.. GOD OPEN HER STAR❤❤❤❤
We dada mungu akuvushe unajua kuimba sana we dada unakipaji Cha kuzaliwa
Mashallah rubby
Elle chante jusqu’à j’ai le chair de poule vraiment makofi kwako Ruby. 👏🏼👏🏼👏🏼
Unajuwa dada Aki nakupenda rubby ❤❤wanguuu
Ruby kaimba hadi kwa hisia kali nimehisi kulia mweeh 🙌🙌 jamn dada anajua kuimba hadi mwili unasisimka kwa furah🎉❤
Sana yani
😢😢😢😢❤❤❤
Dah yani you are the best artist have never seen and u have a unique voice
Ruby you are a shining star in your making not even zuchu hakufiki
She is talented❤❤❤❤❤
Ruby Ruby Ruby ❤❤❤❤❤ umebarikiwa the hot talent kubwa mno🎉🎉🎉🎉🎉 congrats
She is so blessed ❤❤❤ my favourite song
Rubby unajua hapo unaimba live sauti nzuriiiii Kama imechujwa
Haki na mpenda sana chi mm.allway love yuuuuuuu penda sana ww
Ruby ni fire jamn sio kwa saut iyo jmn 🙌🙌🙌🙌
Rubby shkamooo nakuonea mbaaaali sana
The Best Female Singer All the Time 🙌🏽
Day hatar sana huyu ndy ruby❤❤❤❤❤
Goosebumps allover 🥰🥰🥰
This girl is on fire❤❤❤❤❤
Today i fill like dishing the big fish in the industry listening to her tells more as to why ruby speaks on her media page dada wanakuogopa simama na mungu
Hahaha
This girl on fire 🔥🔥 Ruby maua🎉 yako
Woooow🎉rubby
Wah Ruby m'a sœur Ruby la voix d'or
Machallah merci beaucoup pour cette chanson très belle chanson 👌👌👌👌👌👌👍👍👍👍🎩🎩🎩🎩 bravo ma chérie 💖💞💞💖💖💖💖 j'ador j'ador cette chanson 💃🎩🎩👍🦸♂️🎤🇲🇫🇲🇫🇲🇫🇲🇫🇲🇫🇲🇫 bravo 💐 merci beaucoup
Ruby is the best bongo nzima ruby come uk please ukuje if any is kaz uku utapenda ak
Ruby ❤🔥🔥🔥🔥🔥
Bahati mbaya sana hizi kazi unazifanyia Tanzania😢
Kabisa 😂
Ur de best and very talented dear I like u so so much
Yuko vinzuri sana ruby haki duuu ❤❤❤❤
ruby we need to see you in usa american go talent
Aiseeeeeee 🙌🙌🙌🙌🥰🥰dada anajuaaaa
Nampendaga saaana❤
Ametisha Sana wow big up mamaa
Helooooooo Tanzania people wekiapuniii jamani Ruby is the most talented jamani daah
yani apo vyombo ni vya kishenzi , no any autotune na mtu kaimba hivyoo RUBY ni really talent
For sure
Uwa nakuelewa ruby voice unayo
Huyu Ruby ni Rihana wa Tanzanie kweli ❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
rubby wa moto hujapoa leo humenifrahisha❤❤❤❤
Ruby 🔥 nampenda bure
Mae ruby mbn unajuw weeeeee akh hongr sn
Ako nakipaji🤗🤗🤗🤗🤗🤗😢
Umeua rubi❤❤❤❤❤❤❤❤
Nice voice 👌
Hongera be bless
ruby all the way up gal
Woooow❤❤❤❤❤❤❤❤woooow
happy birthday miss sepenga
Duh utasema Whitney kafufuka❤❤
Congratulations Ruby
Aaaa huyu dada kiboko❤❤❤❤
Zuchi afiki kwa Ruby kwasauti kuhimba aki ❤❤
Hongera sana Mrs kusah
Waoooh ❤❤❤❤❤
Whitney wa tz sema nyota imegoma ila sauti kinanda❤❤❤
Esta bhana😂😂
Ukisikia uchawi upo ndio huo
Cku yake Bado ila One day yes 🤲❤️🤲❤️🤲❤️
Wanam'bania kwa sababu anamisimamo Sana,sio mwanamke wa kutumia mwili wake ili afanikiwe kimziki.Anajiheshimu sana💪👍
@@konshazikonsha6180 wengi tz ukiona ametika kirahisi ujuwe kunakitu nyuma ya pazia ila ukiwa na misimamo yako ndio wanakubania, lakini hakuna demu aliokuwa na sauti nzuli kama huyu hamna tuseme ukweli wengine ndio wamebaki wanatumika kingono wanafisi wawe juu kimziki lakini wapi.
She’s talented
Ruby ni Whitney Houston wa bongo kwa kuimba,kma angezaliwa ulaya huyu angekuwa Whitney wa pili
My Rubby ❤❤❤
Wawwwwwwwwwwwwweeeeee😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mwili umenisisimka duh
mashaAllah
Kuna watu wanajua kufunga riziki za watu dada Mungu akukumbuke
Sauti nzuri Sana kuimba pia anajua ila nyota yabundi kutuumiwa uchawi
Nikajua Celine kumbee n ruby jamniiii😢
Exactly
A version of Whitney Houston ❤❤❤
Nity🎉
Rubby wetu❤ ila sion pakusupclub mwandsh😅😅😅
Daah ruby anajua mpk anakela bn❤❤❤ sema kajeuri bc tuu😂
manara oyeeeeh
Ruby 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amazing voice nani huyu bongo?
Sijui natabasam nini yani rubby kiboko👏
Duh ruby wewe ni mkali sana🎉
Dada saut mungu alikupatia kwei
Haki rubby ameimba na hisiya zake zote wema wafa kuringa mama ringa ww wa pendwa bwana wema ww ni mwema kama jina lako I WILL OLWYS LOVS Yuuuuuuuuuuu
Kapendeza sana
Asante ruby whitney wa bongo ❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow!... That's Tanzanian 'Whitney H'
Wow
👏👏👏
Harari kabisa❤
Huyu dame ndio star wa bongo
Ruby❤❤❤
Huko Alipo Whitney Houston lazima ametabasamu kwa furaha huo wimbo umeutendea haki mno..r.i.p Whitney 😢
Ruby,Ruby,Ruby hapanaaaaasa
Bendi imemtendea haki❤
❤ruby❤
I got goosebumps 😢
same
❤❤
Yani machozi yamenitokaa 🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Mke mwenziwe na mama nono
❤❤❤❤❤❤
Nimelia sijui kwa nn
Dada Rubby shikamoo
Shwaaaaa
Bado anampenda kusah aise
Namuona Rihana apa tanzania😅😅