Ni vizuri Tanzania tukawa na publishers wa nyimbo za songwriters/composers ambazo zinaweza kuwa accessed na wasanii wetu, hasa za kiingereza. Kuna watunzi wazuri ambao sio performers.
Iyo kweli kabisa hata waandishi wa vitabu wana editors, sasa mistari ya kichovu watu wanaojielewa hatuwezi sikiliza inakuwa kama ni mazoezi ya kujifunza ujinga, bora huo wimbo wa zanzibar unasikilizika kwa mwaka huu kati ya nyimbo zenye english kwa mbali
Kwer kuinvest ndo Kila kitu Yani,,mim mwenyewe ni chizi viwanja kama master j,,wow mungu atubariki na awabariki pia,,
JAMANI ENGLISH YA MZIKI SIO YA PRESENTATION
Ni vizuri Tanzania tukawa na publishers wa nyimbo za songwriters/composers ambazo zinaweza kuwa accessed na wasanii wetu, hasa za kiingereza. Kuna watunzi wazuri ambao sio performers.
Master j nouma sana huu mziki kautoa mbali
Mim ndomana nakupendaga master j Kwasababu unaongeaga point zoootee,,na wenye akili wamekuelewa
That's Master J
Well said MJ.
Master J. Is talking Real.
Master jay 📌📌📌
Iyo kweli kabisa hata waandishi wa vitabu wana editors, sasa mistari ya kichovu watu wanaojielewa hatuwezi sikiliza inakuwa kama ni mazoezi ya kujifunza ujinga, bora huo wimbo wa zanzibar unasikilizika kwa mwaka huu kati ya nyimbo zenye english kwa mbali
Interview nzuriii honestly
KAZIA APO APO MWANETU.,MAUBUNIFU YAWE MENGI
😂😂😂💪🏽💪🏽🔥🔥 wachaneee
💪
Umeongea ukweli dunia ya sasa nani anakupa chombo chake utumie kwa lazima.
Mbona mme mkatilisha master aja maliza anayo ongeya
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Hio radio ilikua Ni RFA ILIKUQ INAPIGA NGOMA ZA BONGO HATARI
Clouds hiyo ya pili
Video Tofauti Na Audio Arafu Mnataka Mshindane Na Media Nyingine Zilizo Bora
kwaiyo basi.kwajibu hilo.master jay ndio.mana wengi wao ..wamejiingiza namatumiz.mabaya ya fedh walikua na pesa
NONESENSE 😅
Mambo mengine sio lazima uyaongelee kama huyajui dc youngfly siyo rapper ni comedian halafu unasema kabisa ana rap for real LMAO