Mungu ampumzishe salama huyu mzee, lakini enzi za uhai wake alikuwa mtu wa udini na ubaguzi hoja zake hapo hakuna chochote wingi wa wabunge bungeni ni maamuzi ya wananchi waliowachagua na sio serikali ni ajabu sana kushindwa kujua nchi hii sehemu kubwa imekaliwa na wakristo kuanzia kanda ya ziwa , kaskazini, nyanda za juu kusini, na mikoa mingi sasa unategemea nini? Nisawa wakristo waliozaliwa Zanzibar walalamike mbona wawakilishi wengi ni waislamu 😂 kwahiyo mkitaka uongozi sio rahisi maana wakristo wako wengi nchi hii na ndio watafanya maamuzi isipokuwa wao hawana ubaguzi wala hamtawasikia wakihoji ujingaujinga ila now anayeongoza nchi ni wenu jitahidini awape nafasi ili muwapite wakristo kam ndio mnachowaza hicho tuone mtafika wapi.
hayo ya udini yanatoka wapi tena? wakatoliki wamekuwa wana histoiria hadi leo ya kuwa na mashule na vyuo yingi katika Tanzania. kwa maneno mengine ina wasomi wengi zaidi waliotapakaa nchi nzima hadi bungeni. ndiyo sababu
Watanzania wenzangu wakristo kwa waislam na wengine wote ambao hawana dini...Naamini hiki kizazi kinaenda kuisha na mawazo haya yatapotea kabisa.....Sisi tutaishi kwa kupendana bila kujali Imani zetu
KAKA TUKITENGANA TANGANYIKA MWISHO MOROGORO, KUANZIA MOROGORO NA MIKOA YOTE YA PWANI HAITOKUWA TANGANYIKA. TUSIFURAHIE, HILI LA KUTENGANA NI BAYA SANA. TUMUOMBE MUNGU TUSALIE KAMA WATANZANIA LAKINI TUWE WENYE KUTHAMINIANA, KUPENDANA NA WALA SIO KUDHULUMIANA.
Hapo sasa ndio udini, Semeni mnachokiona juu ya mkataba na sio kuwakosoa waliotoa maoni na mtazamo wao juu ya mkataba. Tupeni maoni yenu juu ya mkataba upite au tusiingie na kwanini😊
NDIO SABABU WALIKUTESA MFANO WA LIVYO MDHULUMU JUSA LADO ,ULIYAZUNGUMZSHAYO YA ZANZIBA,(KAMA MAQAMO WA KWANZA Zanziba) Othman Othman kukata KUSAINI KATIBAZAO BUNGENI WAKAMFUKUZA ,WAMA ccm ZANZIBA MTAPATA LAANA NZITO SANA .
Sasa wewe haujui kuwa ukristo ndo dunia? We wawapi dunia yote inaendeshwa na mfumo wa chrétien n’a waislamu wagombee ununge sasa au hawana sifa hivi mawazili waislamu mko wangapi
Ww una mtatizo ya akili saaaan yani inaonesha hata akili ya kuongoza familia yako uwez .... Zanzibar sio nchi ni sehemu ya starehe kama disco za usiku tuuuu
Zanzibar kama sio nchi Sasa wa tanganyika muliungana na Nani?? Na ule mchanga ulokua kwenye vibuyu ulochanganywa na Baba enu nyerere alikua akiutia kwenye VUTU lako au??
Kabuli lake liangazwe liwe ni miongon mwa viwanja vya pepon🤲
Allah akusamehe ulipokosea, akurehemu na akuingize peponi
Allah amrehemu sheikh wetu Basalehe na amtilie nuru kabur lake
Aamin
Aamin
Allah tusamehe sisi, pia msamehe Shekhe wetu huyu na mkinge na adhabu zoote baada ya kifo chale na mjjaalie pepo yeye pamoja na marehem wengine Aamin.
Maneno yako hayawezi kupingwa msema kweli kipenzi cha Allah
Mashallah allah amrahamu sheikh basaleh
Inalilah wa Inna ilaih rajiun ALLAH akuweke mahala pema Pepon amin
Amiin
Waislamu tuwapeleke watoto wetu shule
Mola akusamehe na afanye kaburi lako liwe moja ya viwanja vya pepo inshaallah
Ma sha Allah Ma sha Allah akuweke na Afya njema Amin Allah anatusubir kila mtu atahukumiwa alichokichuma in sha Allah
Allah Muweke Pema Sheikh Kwa Maisha Yake Amiiin.
Aamin
Ameeeni
Mbona Zanzibar mnahamasishana kuhusu udini. Sie huku ktk familia zetu tupo waislam na wakristu Toka familia moja
Innalillah wainna ilayh raajiu'n
Mungu amweke sheikh peponi in Sha Allah
الهم غفر له ورحمه وسكنه فى الجنة
Tutengane
Aamin
Kweli kabisa mzee mungu akupe nguvu na sauti
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN
Allah akusamehe makosa Yako
Allah akusamehe makosayako .shekh wetu.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akulipe kila la kheri
Aamin
Mungu ampumzishe salama huyu mzee, lakini enzi za uhai wake alikuwa mtu wa udini na ubaguzi hoja zake hapo hakuna chochote wingi wa wabunge bungeni ni maamuzi ya wananchi waliowachagua na sio serikali ni ajabu sana kushindwa kujua nchi hii sehemu kubwa imekaliwa na wakristo kuanzia kanda ya ziwa , kaskazini, nyanda za juu kusini, na mikoa mingi sasa unategemea nini? Nisawa wakristo waliozaliwa Zanzibar walalamike mbona wawakilishi wengi ni waislamu 😂 kwahiyo mkitaka uongozi sio rahisi maana wakristo wako wengi nchi hii na ndio watafanya maamuzi isipokuwa wao hawana ubaguzi wala hamtawasikia wakihoji ujingaujinga ila now anayeongoza nchi ni wenu jitahidini awape nafasi ili muwapite wakristo kam ndio mnachowaza hicho tuone mtafika wapi.
Na sisi wabara hatuutaki muungano Kila mmoja wajiandae kurudi kwao
😂😂😂😂😂😂
Wabara hamutaki kuuvunja mnaogopa nn kwn
Allah amhifadhi Maalim Ally baselehe
Naona Mambo yanaenda kubadilika
Aah hoja za waislamu mbona kama halina maana hawa mashekh wetu sisi waislamu mbona hatuna hoja
Allah amrehem sheikh wetu hakika alikuwa mtu wa haki
hayo ya udini yanatoka wapi tena?
wakatoliki wamekuwa wana histoiria hadi leo ya kuwa na mashule na vyuo yingi katika Tanzania. kwa maneno mengine ina wasomi wengi zaidi waliotapakaa nchi nzima hadi bungeni.
ndiyo sababu
INNALILLAHI WAINNA ILLEIHI RAAJIUUN.
Watanzania wenzangu wakristo kwa waislam na wengine wote ambao hawana dini...Naamini hiki kizazi kinaenda kuisha na mawazo haya yatapotea kabisa.....Sisi tutaishi kwa kupendana bila kujali Imani zetu
Hivi ndivyo wamagharibi wanavyotaka,ili baadae tuletewe usenge na usagaji,Uislamu pekee ndio unaipinga ndio mana hawapendi uislamu kwa vikwazo
Huyu kachelewa mungano haupo zaidi ya kuoana inabidi akaludishe mke
Ona uuupuuuzi sasa....kugombea ubunge na udini wapi na wapi...Acha udinii
mwaka sabini kulikua na uchaguz?
@@izzi198 we nawe wale wale embu sikiliza video yote na uache kulikuwa gari kwa mbele
Wewe ndo mpuuzi
Taqbeer
Hao waisilamu wakiingia nchi wanaweka rehan
inaonekana kama watanganyika ndiyo wanaolazimisha sana muungano? au siyo?
We mpumbavu kweli acha udini
Allah amrahamu sheikh wtu
Waislam walizuiwa na nani kugombea!?
Allah akbar
Allah akusaameh makosa yako na akutie PEPONI.
THE TOP INFLUENTIAL MUSLIM IN THE COUNTRY.
thank you for the information
Ustuvuruge nenda kwenu zanzibari tuachie nc yetu tanga
Ni harakati ambazo zimebaki kwenye kumbukumbu hazipo tena
Nendeni kwenu tuende zetu hapo Hamna kusuguana
Hatuutk muungano na uvunjike
kwa ujinga huu nikweli lazima upigwe kwa kuhubiri ujinga huu
Wewe ndo mjinga,mbwa koko pia utakufa2 ipo siku
Hatutaki muungano
Kishiki uwapii wasikilize wazee wanao penda uwisilim na haki hawamuogopi kufuli wamuogopa muungu
Ujui urisemero
Haya,atokee mtanganyika msilamu awe rais Zanzibar.Kwa Zanzibar mkristo wa Zanzibar ni Bora kuliko msilamu wa bara
Muungano hatutaki
Msitutishe kuvunja mungano kwani kuungana na wanzanzibar kuna faida gani vunjeni Tanganyika tunajitosheleza
Kichwa kimetutoka
Allahumma ughfahu warhamhu
Mzee kalewa huyu mnawaza udini leo poleni kweli uyu mzee mpuuzi sana
Kwan wabunge wanapatikaje ninyi bhana tumieni vichwa msitumie visigino hacheni ujinga
Mnataka kutuletea udini wa kikuda wewe mzee ww huna hakiri
Kafa na undezi wake.Shubamiiiit
Ndugu unakashifa sana, dharahu, na matusi yaliyopitiliza kiwango cha kuvumilika.
اللهم غفرله ورحمه
Allah amrehemu amjaalie kaburi yake rowdha min riyadhi jana
Inna lillahi wa inna lilahi rajim
Uyu mzee nimchonganishi namfaham mdamlefu
Mbona ushavunjika,bado wee kuuvunja sis tushauvunja
Allah ampe k thabit
Haya jitengeni mradi utumwNi kwa WAOMANI
KAKA TUKITENGANA TANGANYIKA MWISHO MOROGORO, KUANZIA MOROGORO NA MIKOA YOTE YA PWANI HAITOKUWA TANGANYIKA. TUSIFURAHIE, HILI LA KUTENGANA NI BAYA SANA. TUMUOMBE MUNGU TUSALIE KAMA WATANZANIA LAKINI TUWE WENYE KUTHAMINIANA, KUPENDANA NA WALA SIO KUDHULUMIANA.
Allah amrehem
Hapo sasa ndio udini,
Semeni mnachokiona juu ya mkataba na sio kuwakosoa waliotoa maoni na mtazamo wao juu ya mkataba.
Tupeni maoni yenu juu ya mkataba upite au tusiingie na kwanini😊
We nae huna akili
Video ya tangu 2011, unakimbilia kupost unataka habari za bandari
Kwan marekani Kuna wabunge wangap wa kiislam nyie kama vip nendeni uarabuni ndio kwenu huko
Na nyinyi nendeni italia roma maana ndo kwenye makafiri wenzenu mnaoabudu masanamu na yesu wenu aliezaliwa kama ww mbwa ww
We ni Tako nn
Hatutaki muungano na wa bongo
Kabisa bro hatuutak
Lakini inshu ni mkataba jamani sio uisilanu na ukristo
good
Wewe burekabisa
Na hivi ndivyo walivyofanikiwa kutuvuruga waliozileta dini😂
Mimi naenjoy Sana nikiona waafrica wenzangu wako brainwashed japo ni too sad
@@nikimboy6093 for real it’s too sad
Huyu mzee mchonganishi. Waislamu walikua hawagombei kwaajili walikua nyuma kielimu. Ni siku hizi tu wameinuka zamani elimu ya maana ni Quran
QUR'AN itabaki kua elimu ya maana kila wakati, kwaiyo shika adabu yako juu ya qur'an.
Katika na kiuno Mzee
Vunjeni na ss hatuutaki ndiomaana nchi haipigi hatui
Innalillahi wainnailaihi rajiuun
NDIO SABABU WALIKUTESA MFANO WA LIVYO MDHULUMU JUSA LADO ,ULIYAZUNGUMZSHAYO YA ZANZIBA,(KAMA MAQAMO WA KWANZA Zanziba) Othman Othman kukata KUSAINI KATIBAZAO BUNGENI WAKAMFUKUZA ,WAMA ccm ZANZIBA MTAPATA LAANA NZITO SANA .
👊✌️👍。
acha kupotosha
Wapi amepotosha?
4:26
Mambo
Udini na kufundisha watu wachukiaaane bila sababu ..
Sasa wewe haujui kuwa ukristo ndo dunia? We wawapi dunia yote inaendeshwa na mfumo wa chrétien n’a waislamu wagombee ununge sasa au hawana sifa hivi mawazili waislamu mko wangapi
Sasa huo ndio udini, mtu anachaguliwa Kwa sifa na uwezo wanafasi husika sio udini
Hapana nyinyi makafiri mnajifanya Tanzania ya kwenu huu ndio mfumo uloekwa
Nyie ndiyo mnaleta udini shindwa
Hata wapumbavu huzeeka
Utapataje ubunge Kwa elimu ya madrasa wakrito walileta mashule
Hao wabunge wanachaguliwa na nani? Na waislam je, mnashiriki katika zoezi la uchaguzi?
Katokea wap huyu tena
Mbona kama una umri wa kutosha
Nyie na elimu ni mbalimbali ila elimu ahela
NAWE ELIMU YAKO NI HIYO YA KUGEUZANA MIDUME KWA MIDUME AU VIPI?!
Huo n udini sasa kila manzania Hana haki sawa
Je nyinyi mnakataa kugombea??
😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊
😮😢😮😅
Mzee Mimi Ni muislam lakini kwa kauri zako isitugombnishe sisi tupo keenye swala la bandari unataka kutuhamisha acha kauli
Hio video ni tangu 2011, muwe mnaangalia imepostiwa lini sio kukurupuka tu
Ukiona mtu anajitambulisha uislamu hamna kitu hapo mchongo
Shule muhimu!!
Yaani acha tu,ameolewa huko aliko
We una shule gani?
Kwa maajabu gani ya elimu kwa Dunia ya Sasa
Hawa watu Mbona ni watu wa chuki sana??
Ko wakanyagwe tu afu wakae kimya? Wakijitetea ni chuki ni udini?
Hoja yako nini?
Huyu baba ni mubaguzi wa din tena ni mchochoz
Muongo wwe jibu hoja zake WWE ndio mbaguzi namba moja
UCHOCHEZI GANI ,NCHI 2 KILAMTU AWE NNAVYAKE NIHAKI.
Nani kakupa jina hilo inaonekana umejipa kutaka kuandika chochote sio jina lako halisi
Unafikiri anachosema ni uongo?.anachosema ni kweli tena kweli.
Una taka au Tetee ukafiri?. Huyu siyo mwana siasa na Wala si askofu ni shekh huyu.
Huyu mzee afanyiwe vipimo vya akiri
Kwann..?!
Wewe hujioni.
Msalimie mmeo huko uliko,vilainishi vikiisha tutakutumia.
Shehe mzambi sana huyo
Mzambi kwa lipi?
endelea nahuo upumbavu
Ww una mtatizo ya akili saaaan yani inaonesha hata akili ya kuongoza familia yako uwez .... Zanzibar sio nchi ni sehemu ya starehe kama disco za usiku tuuuu
Dico ni mkundu wa mam ako
Zanzibar kama sio nchi Sasa wa tanganyika muliungana na Nani?? Na ule mchanga ulokua kwenye vibuyu ulochanganywa na Baba enu nyerere alikua akiutia kwenye VUTU lako au??
Nisehemu tuu ya kula bata maana kule kuna kila aina ya washemzi
@@user-rg5sg1xz8p hata na kwenu Bara Kuna washenzi wa kila Aina