Mwenzako vevo anaanzisha anamalizia anaanzisha tena hivo ndo tunapenda❤ lifanyie kazi hili tunaitaji kujua mwisho wa shot ya lambalamba na hand sam wa kijiji penzi la jini latifa ndo tumezipenda sana
Huyu dada mke wakicheche ni mpakano kwakweli pastor kicheche eeeeeh anatoa mapepo eeeeeh anponya magonjwa eeeeeh anahokowa wapakani imeheenda ya ni leo mpaka msemee 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😊
Hii kazi ni sehemu ya majibu ya maswali ya wengi Miongoni mwetu, Mungu ana majaribu mengi ssana kiasi kwamba unaezakukufuru kama huyu mke wa kicheche, Hongera ssana bro 👏, I hope next episodes zitakua zamoto zaidi😊, kazi nzuri ssana👏👏
Pastor jamaa was makalio kaokoka nani anakubali hii WOW pastor kicheche leta like
Iam smile by myself like crazy because kicheche mwamba from Tanzania ❤❤❤
Bana kicheche tulikumiss sana❤❤, much ❤from kenya
Huyu dada idaya nampenda jameni bora aombe kazi kwenye bongo movie
For the farst time a man is honest 💯 congratulations to kicheche show loves from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wap like za kicheche
Safi sana mzee kicheche
Kali sana hi hakika kicheche we ni king 👑 of new generation
Kicheche is back.... Huyo dada anajua sana umechagua mdada anayeweza katika hii kazi daah... Hongereni sana all the way from South Africa
Kazi nzuri sauti ila sauti imekuangusha ,inakelele sana
Huyo dada uliye mchagua anajua Sanaa big up🙌🙌🙌 nimemkubalii🔥🔥🔥
Lewo wakwanza ku like naku comment 😂😂😂❤Kama you love kicheche Nipeni like basi🔥🔥
Wewe like unazipeleka wap kila mala unaomba like ndugu yangu
Hiki ni niseme huwa sipend watu wanaocoment hv
Hhh
Mambo
Hayaaa like zako hizo hapooooo😂😂😂😂😂
Umeyavagaaa mtot na baba pipaa na.mfunikoooo😅😅😅😅😅😅
Kicheche never disappointed 💥
Kam unamkubali kicheche gonga liké hapa
Kicheche hii season umetisha mwamba utauza hatari kuliko zote mwamba wangu mungu abaliki kazi za mikono yako tu
❤
Pastor Saimon Nimecheka hapo aliposema Dada umeangusha Hela zako afu mke wake anazitamani😂😂😂
Kicheche is the king of New generation....
Nipenii likes zangu from Kenya
Kicheche mimi nakupenda sana alakini chukuwa ata kitabu kingine acha kuweka baibole kwenye mchezo wa comedy
Umefundiaha jamii
Haya mambo yanatokea sana, Kicheche bahati mbaya jina lako halisi silijui, Mungu asaidie jamii
Kicheche amerudi...tuko pamoja🇰🇪🇰🇪
Kicheche atapata nguvu za kichawi ataskilizwa ataponyesha kichawi atakuwa tajiri 😂😂 Okay Lets go baba ❤️
Mwenzako vevo anaanzisha anamalizia anaanzisha tena hivo ndo tunapenda❤ lifanyie kazi hili tunaitaji kujua mwisho wa shot ya lambalamba na hand sam wa kijiji penzi la jini latifa ndo tumezipenda sana
Ww kicheche na uyo mwanamke kuwa makini sana na maneno kaa hayo kwa mungu hivi mungu unamwona kama mwanadamu
Nilikua nataka nishangae mbwa uyu tokalini ameaza kuwa serious😂😂
Kazi hii inaonyesha ukomavu. Uko kwenye mwelekeo mzuri.
Kicheche hii Kali asikudanganye mtuu Clam ananz vizur finishing hamna kituu,,
Kicheche uko vizuli ila ongeza wachungaji Ili inoge sana picha ongeza namapanby utatkamata sana
Wewe unaongeya tu alafu ujuwi unasema nini nyooo
Clam vevo ninae mjua mm?? Hyu bado sana kwa clam best friend kaua tmpen maua yake
Safi sana
Kwa kutambua Uwepo wa MUNGU
Kwa Kwa Hili MUNGU Akubariki
First God.
Huyu mke wa kicheche ANAJUA KUPITA KUJUA YENYEWE
Huyu dada mke wakicheche ni mpakano kwakweli pastor kicheche eeeeeh anatoa mapepo eeeeeh anponya magonjwa eeeeeh anahokowa wapakani imeheenda ya ni leo mpaka msemee 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😊
😂😂😂😂😂😂😂😂 Nipeni liké zangu
Pumbafuuu kicheche usijisahaulishe na lambalamba muendelezo wake 😂😂😂😂❤❤
Mungu aibariki kazi ya mikono yako!
Dhaaaa😂😂😂😂😂 kwasauti iyo kheeee😂😂
Kicheche umekuja juu sana nakukubali sana ❤❤❤❤
Kicheche hapo umekua rafikiangu naomba uhubiri vzur
Hapa umepata mtu na nusu hadija boli nakubali snan mm huyo demu❤❤❤❤
Pamoja sana pastor simon
Sautiii ya 12 mpaka wa changanyikiwe😅😅😅😅
😂😂😂 hiyo wana iita Sauti Soul
😂😂
Amen nimepend Ili neno👏 mtumishi saimon
Chukua kura yangu hiyo ni zaidi ya zote ulizowahi igiza
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤️ kama unamukubari kicheche piga like hapa
Mbwa Mimi😂😂😂 napiga sauti solo kumi na mbili😂😂😂😂
Ubwa kicheche ameanza kuwakimbiza kama Bata 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Huyo mdada anamachooo😮 nmempenda bure bureeee she is sooooooo talented, anafanya body gesture and moves kwa ujuzi mkubwa anaonyesha uhalisia
Kaz nzr aidia nzr wasanii wazur hongereni sana namuona Hidaya boli fundi mmoja hajawahi kukosea nawakubal
Yaan ni hatarii huyu dada anajuwa sanaaaaa❤
saf ila sauti kidog aangalie volum inakwaruza cm but very nice mkitaka kujua mwanamke ni nyoka fwatilia hii movie
Aaah!,Hallelujah, kina phillipo wanasema hujui kuimba,Souti solo sauti ya 12...😂😂😂😂
😂😂aki uyu dada anajuwa kucheza sana kanifuraisha ❤❤
Uko vzr kicheche
Pastor saimon umbwa Pastor pumbavu zako najuwa uta tu chekesha tu kulembe twende tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Waooooooooooooooooooooooo pastor simon nimeipenda hii. Huyo mama nae ameigiza vyema sana huyo ni actress mzuri sana
sana makini ila unadeni la penzi la jin latifa tunaitakaa
Nikwli kabisa watumishi wanapitia mengi sana hasa juu ya family zao hasa mama wa ndan
Character ya Pastor sioni kama imemkaa vizuri sasa nani ataongelea mitulinga 😂😂😂😂
Watching from Kenya. Congratulations pumbavu zako
Waooh huyo mdada namkubaligi sana
Ameniuzi kicheche kuhusu hela
Nyie sio kwa upole huu alionao kicheche huku hadi nimemuonea huruma ujuee...I love you kicheche kazi nzuri❤
jamani kicheche ameokona I like this 😂😂😂😂😂😂
Baba na mtot washenziii😅😅😅😅😅
Wow uyu mdada namkubali❤️❤️❤️
We missed you, kumbavu zangu, tupppeee bbaaaabbaaa,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dah kwenye msungo uliitendea haki na huku pia hongera sana kicheche na mimi pia jaman
We mpuuzi umerudi kama pastor😅
It was worth waiting for 😅
Mama shetani apo atuendqni😊
The King Of Comedy Is Back.🎉🎉🎉🎉🎉 , No One Like You Kicheche Mbwa Wew Pumbav Zako🎉🎉🎉🎉
The king of new generation is back
Kicheche baba waoneshe❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Much love from Tanzania 🎉🎉 love kicheche
😊😊😊 Kazi nzuri sana
Mzee mogadishu leo katokelezea
Huyo Mzee amefanana na marehem Adam kuambiana
Kazi nzurii sana nakupenda kicheche wangu
Whenever i see kicheche nashindwa kuzuia kichekoo😅😅
mkuuu uko vizuri ila vua hiyo kofia
Binti msungo katokea kwa mganga kicheche 😅😅😅
Nyinyi wenyewe mrishindwa kufunga mlango sasa Mungu aje kuwa mlinzi wakati nyinyi wenyewe mnazubaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kicheche pumbavu zako proud of you 😊😊😊
Kicheche ameanza kuokoka iko njia nawa ambia Nini tabiri kwa jina la yesu kristo
Amen 🙏
Kicheche og _ tena hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️😂😂😂😢😢😢... tulikumisi sanaaaaaaa❤❤❤ mbwa wewe 🤣💯
Kicheche tunakupenda sna ❤️🇹🇿
mke wangu hebu kumbuka neno la mungu linasem....a.....,,,,,,,iiiiiiiiihehehee ;;;;kali sana🤣🤣🤣
Shukraniii mbwaaa kasharudiii kaziiniii
Dada anaweza san huyo
❤ uko juu sana kicheche
Duuuuuuh eti sauti ya 12 inaitwa sauti sol😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kicheche mwamba ❤ lakini na clam vevo njechi❤🎉
Nakukubali sana kicheche kazi nzuli sana
Kicheche uko na ubunifu mzuri lakini mbone nikama tafsiri yake nimbaya, mbone kukufuru Mungu tena
Acha haraka kunywa mtori nyama zipo chini hakuna kitu chenye mazur tu hapa duniani...kwan kwenye maisha ya kawaida hakuna watu wanao kufuru Mungu??
Huyu Dem wa kawaina awe na heshima Kwa baba mkwe wake hiyo nguo sio yakuvaa mbele ya baba mkwe!!!!
Finally kicheche is back💪
Kicheche hii nzuri kweli.
Endelea na episode hii. nakufuatilia.
Baba weka kazi tmezisubiria sana umbwa ss
Unarudi kwenye ngemu kamanda ❤❤❤🎉
naona CLAM kawaamsha sasa wote mmeingia uko uko
Mbona unaandika meseji nyingi , si kila mtu anacheza mechi zake au na huku mnataka kuleta usimba na yanga au utim kiba na mondi
Acha ujing
@@fahadfaraj6474 achana nayy bhana hn akili
😂😂😂😂😂 kicheche pastor umekuwa mpole sana
😂😂😂 kicheche umekuwa pasta
Aaaaaa acheni kumchezea MUNGU hivo jamn
Hii kazi ni sehemu ya majibu ya maswali ya wengi Miongoni mwetu, Mungu ana majaribu mengi ssana kiasi kwamba unaezakukufuru kama huyu mke wa kicheche,
Hongera ssana bro 👏, I hope next episodes zitakua zamoto zaidi😊, kazi nzuri ssana👏👏