DIAMOND AFUNGUKA ISHU YA MANGE KIMAMBI - "NIMEMFANYA NINI?, KILA SIKU ANANI-ATTACK"
Vložit
- čas přidán 13. 03. 2022
- DIAMOND AFUNGUKA ISHU YA MANGE KIMAMBI - "NIMEMFANYA NINI?, KILA SIKU ANANI-ATTACK"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Ww ndo msanii pekee unayeajiri wapinzani wako kwa sababu hawakuwez. Nakukubali sana diamond platnum
For the first time in my life I appreciate Diamond.
Uko juu Diamond roho yak8 safii,Mungu atakulinda
Love you diamond 😘
Yaani kumbe ww jembe. Kwa hii interview nimekuelewa, salute mno . Big brain
😥😥😥 vip uyu mtu mbona ivi anamoyo gani Mungu akuifadhi
Kabsa sema Kaka sio kila mtu akikutukana anakuharibia mwingine anatengeneza 🤣🤣🤣🤣wape wape Bila wewe tusingejulikana kimuziki Duniani for that I love you star 🌟 💫✨wetu wa Tanzania 🇹🇿 the only one ☝️ japo kuwa mambo mengine kinyonge but we love you from Tanzania 🇹🇿 to Netflix our super moon 🌝 star ⭐️ 💫✨❤️❤️❤️❤️🥂🍾.
Nakupenda mwanangu una moyo wa ajabu. Ndiyo maana Mungu anaendelea kukuongoza.
Weye ni njia kwetu so don't be upset bro you are the beginning and the end of our music
Diamond much respect napenda kabisar
Nafurahi unajuwa jinsi ulivyo mkubwa kwenye Hii Tasinia.
Mond nimekukubali, hakuna kitu kikubwa duniani kama kusamehe, pia wanasema usilipe ubaya kwa ubaya, bali lipa ubaya kwa wema ukifanya hivyo utakuwa umempalia makaa ya moto kichwani kwake
Diamond we kichwa kwa this interview
Hongera
DIAMOND HAPA EAST AFRICA TUMESHATOKA,LET'S GO AND GET IT.
Usikasirikiye Mange Simba ukiona mutu kama Mange anakusemasema juwa kazi iko sawa achana naye tena iskukwaze chapa kazi yako baba mimi natoka Congo akini tunamupenda sana achana nao tenda kazi tu nausichoke kutends mema Mungu anakujuwa naanaona jina Mange
Very wise,SIMBA 🦁
Mmmmmmmmm aiyaaa mungu ndo anaijua nia yako siyo cc
Ukiwa mtu wa kupotezea,, lazima Mungu atakuwa upande wako.
Jamaa we mzungu sana
Diamond Ni mfanya Biashara Na tabia ya mteja Anaweza kununua kwako Siku nyingine Ana nunua pengine kwahiyo huwezi kumchukia mteja We Bolesha biashara yako tu 🤗
Nampenda sana mond songa mbele brazer we nimti wenye tunda lazima usakamwe...saf majibu yako nmeyapenda bule
FOA expensive forever
sisi sote ni wako kwel wanajigawa2
Haina haja ya makasiriko 😊🥰 in this world just mind your business
Kwani yeye ni nyako?!🤣
Much respect ✊🏾
Love you daimondi
Binafsi nakukubali sana Mwanangu
Yani mond wewe piga kazi wanaokuchukia niwachache Sana tunaokupenda niwengi zaidi hatawakisema usimamishwe nap kwakura nyingi zako
Weeee ni wa maana Sanaa ,, bnadamu Wana wivuu sanaaa,,,fanya yako nduguu
U r so cool bro
We Diamond, achana na uyo mangi fala tu.. tunakupenda Diamond.. We are ur brothers and sisters here in the 🇺🇲 States..
Kwani nyie ambao mnaishi marekani ni kwamba mnatafuta pesa au? ni sababu gani Kwasababu mimi nataka nije huko na mimi nikiwa mtu mzima na mke wangu nataka nije nae embu niambie
Uko vizuri dogo
I HOPE HE TEACHS HIS CHILDREN
Unaakili Ming San big up broo
Mange alimsema zari mpaka kahama nyumba
Mkubwa jalala, Endeleza Mapambano Chibuuuu💥🔨
One love
Mnyama mm nakukubal na interview zako ni fundisho sana unakua umetulia unajibu maswali vizuri yaani safiii brooo nakuelewa ila mm nipo nakaza one day tutakua wote,
Achaaa zako dia
Respect
🔥🔥🔥🔥🔥
Kizasi sana
Lazima azungumziwe vibaya kwasabb yeye ni msanii mkubwa kwahiyo mambo hayo lazima watu watamsema kwa mabaya
simba 👍
czcams.com/video/VMT8GlG3m5c/video.html
Thanks bro
Namupenda mondi
Njaaa mbaya ndio maana tunaenda mbele tunarudi nyuma upo sahihi mond
Uko Gud sana SIMBA
Good talking brother
Usishangae mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe hasa mwijaku tunajua hakupendi Ila achana naye kwanza hawezi kulingana nawewe kamwe ainame ainuki hakuwezi
Simba
Jembe 💪💪💪
Bora ulivo sema na wewe hapo ndio tulivyo binadamu hata ufanye mazuri Bado utaandamwa tu cha msingi nikusimamia kile ambacho unakiamini 👏👏😀😀🙌
Uzuri wa D hana chuki kabisaa
💕💕💕💕
unaongea pweti sana D
Sikuping simba
Haya kazi kwenu vijana mitandaoni
UZIDI KUBARIKIWA TUU PLATNUM.
FOA
700 million taxes for a car
Not just a car nonetheless Luxurious convoy.
Milioni mia saba ushuru mhmmm hatari polee
Sasa kama huamini si uende tra ukaulize
siku ukiwa na pesa ndo utaelewa
Kabisa kaka mkubwa
Diamond baba tiffah dangote Aramadhan imefika harasi vipi ule katika ndoa furahisha mungu diamond tafadhali
Kweliiiiiiii ksbisaaa, mondi kakuwa kiakili.
Siiiiimbaaaa weetu hana roho mbya jamn
Unajuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Iyo micheni🤦♀️
Wewe ni Simba akuna kenye inaweza kufanya
Samee tu mkuu
Mange ni hatari sana 🤔
Mondi upo juu hunaroho mbaya kwanza unahuruma Sana naumewasaidia wengi mno
Ushuru M700 ? Na hiyo roserose yenyewe ndo bei gani mpaka kwan?
Sasa mjiki wa Tanzania kiukweli Kama hatujakutaja tutajulikana vp Sasa brother
ni wivu tu inamsumbua
Kaka ninaweza mpira sina wakuni saindia
Umasamee wep shogawewe
Ila Yule dada😂😂😂mi nampend sana
upo top 3 est africa sa Tz ushindane na nanan kwel umeongea ila hapo nilipapenda
Bob risky anakutaka vipi unasemaje hapo.
Diamond tuache jmn kwann hv lakin ushuru million700
Mange Kimambi angekuwa serious na maisha na kazi yake asingekuwa ankufatilia hivyo. Huyo ana ile tabia ya udaku daku ya Kiswahili. Huyo mama ana matatizo na maisha yake, aangalie familia yake kwanza kuna msemo "angeondoa bua jichoni kwake kwanza kabla ya kutaka kuliondoa la kwako". She is frustrated with her life that is why she has so much time on her hand to be so negative at everything.
Haiwezekani mtu akuseme buree. Nikua umemshinda binadamu balaa. Ukiwa tajiri mitihani ukiwa maskini mitihani mungu atustiri
Ukomavu sana
Simba tupe ajira kaka hii life imebana
Huyu ndiye MTU wa kwanza kugundua na kupost video CZcams
👇👇👇
m.czcams.com/video/UaUEkA1qIZs/video.html
Wcb for life
Binadamu ndivyo alivyo Kaka wachewalewe bila kukulamba sukariyako
😂😂😂💯yaani wote team Mondi ila kila mmoja upande wake.
I dont take it personal 😁 mond
Mange alianza kumuattack diamond tokea issue ya diamond kukataa mimba ya hamissa,lakini mange ni kama mwijaku ama Dr kumbuka
Achana nae huyo dada anaga kazi
Ushuru milioni 700
Uyu jama kwa kujijikosha hajambo
ILA MIMI SIKUPENDII MAISHA
Unatakiwa umuombee Adui yako kuna mwanadamu mwingine hana wema hata umfanyie wema gabebeki
Diamond ana pesa hana wakati wa bifu
Huyo anawivutu achana naye,,,, kaz kuzungumza yawatu,
ANGALIENI: MUUJIZA HUSIO WAKAWAIDA, NA MAAJABU YA MUNGU YA KUSHANGAZA KWA , MCHUNGAJI AMBAE HANA MIKONO WALA MIGUU, MAISHA YAKE KWA UJUMLA., NA. BADO ANAHUDUMIA WATU WA MUNGU KANISANI
Bonyeza Link hii Hapa chin kutazama, USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSAMBAZA LINK HII.👇👇👇
czcams.com/video/Osn0s4840UA/video.html
Kuna team A ba B but wote mashabik wake so yote freshiyu 🙆
Piga kz kaka
but huyu kijana Diamond. sauti yake ya fanana na ya mzee Abdul kabisa...atacama anaambiwa Abdul sio babake
Acha akuattack watu wako wanavyomuatack Hamo Hamo kawafanya nini Tell us😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕
paka mweusi kiboko yako harmonize