Kama sio juhudi zako Nyerere

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 06. 2020
  • #Tanzania #Nyerere

Komentáře • 75

  • @akhamedimaster6400
    @akhamedimaster6400 Před 3 lety +47

    Nani anautazama huu wimbo baada ya kifo cha rais wetu John Pombe Magufur R I P magufuri tutakukumbuka daima 2021

  • @Barnokipkirui
    @Barnokipkirui Před měsícem +2

    Mungu hawabariki mkiendelea kuhabudu nasikia nikiwa Nairobi Kenya

  • @listermunjile2958
    @listermunjile2958 Před rokem +4

    Daaah mungu amleze pema peponi
    Congratulations kwa mwimbaji wa hii ngoma nzuri yenye hisia kali kabisa🙏

  • @elisantenjau4352
    @elisantenjau4352 Před 4 lety +10

    Hakika wimbo ni mzuri sana,,hongera kwa kuutolea video yake

  • @sararamaroa
    @sararamaroa Před rokem +8

    Japokuwa mimi mzaliwa wa Kenya, naukumbuka sana wimbo huu ukichezwa (sijui TBC au Radio Free Africa) kila siku majira ya saa mbili usiku. Baadaye kingepeperushwa kipindi kifupi almaarufu ‘Wosia wa Baba’. Kwa utoto wangu, nilifwatilia sana hotuba za Mwalimu.
    Ila mzee alikuwa mcheshi ati!
    Eh Mungu endelea kumpumzisha pema. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika.

    • @sebastianmoshi7200
      @sebastianmoshi7200 Před rokem

      Alikuwa mharibifu tu huyo, alichofanya kikubwa ni kujitukuza binafsi.

    • @bigshipsounds
      @bigshipsounds Před 11 měsíci

      wosia wa baba ilikuakipindi moja wapo wa vipindi wa radio free africa........hotuba za mwalimu nyerere zilikua nzuri sana

    • @GRANDVOYAGE-ok9fj
      @GRANDVOYAGE-ok9fj Před 10 měsíci

      Mimi pia nakumbuka kaka

    • @suleishdishelectronics4140
      @suleishdishelectronics4140 Před 6 měsíci

      Wosia wa baba radio Tanzania ..tbc taifa

  • @lemasamson782
    @lemasamson782 Před 3 lety +6

    I have been wanting this song dangerously

  • @richardkubanda6805
    @richardkubanda6805 Před 3 lety +4

    Safi sana kwa nyimbo hii. Kizalendo zaidi. Pumzikaka kwa amani Mwalimu.

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 Před 3 lety +4

    Napenda sana nyimbo hizi, napenda sana na zile za captain komba hatari sana

  • @velejilyonatalis1787
    @velejilyonatalis1787 Před 3 lety +2

    Hongera sana kwa mtunzi wa nyimbo hii Natamani nikupatie zawadi lkn sina chochote cha kukupatia itoshe kwambia Hongera sana

  • @capramlacky8152
    @capramlacky8152 Před 3 lety +7

    Kama sio juhudi zako JPM hapa tusingefika😭😭😭rest easy Baba

  • @emmanuelbetuel8024
    @emmanuelbetuel8024 Před 3 měsíci

    kazi nzuri, pia
    Kuna wimbo wa maombolezo ya Nyerere nautafuta 👇 baandhi mashairi yake
    Bendera iliyosimikwa ipepe mileleee
    Kwa nguvu utulivu milele na milele
    ...... Dada na mdogo msije gombana....

  • @user-nq4jj7ou1c
    @user-nq4jj7ou1c Před 8 měsíci

    Mliimba vizusana mubalikiw😊

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 Před 4 lety +21

    Nani kautafuta wimbo huu baada ya interview ya alieimba wimbo huu?

  • @barakaerasto3176
    @barakaerasto3176 Před 4 lety +6

    Kazi nzuri hakika wimbo huu ni zawadi na tunu kuu kwa selkali ni mda mwafaka sasa selikali iwakumbuke na kuwaona kwa jicho la tatu waimbaji wanaoutangaza na kuuenzi uasisi wa viongozi wa taifa letu

  • @michaelstephen3743
    @michaelstephen3743 Před 3 lety +2

    Hapo mwanzoni utasikia WOSIA WA BABAAA kanaanza hako kagitaa sasa daah safii sanaa

  • @MrSamg90
    @MrSamg90 Před 9 měsíci

    Wimbo una hisia sana huu, ukiimbwa huwa nafunga macho memories nyingi zina tiririka

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Před rokem

    Aendeleee kupumzka,,,Kwa Aman.,.BABA WA TAIFA....WATANZANIA,,,,Tunakukmbka sana..MUNGU Akupunguzie Adhabu ya kabul..

  • @meshackmtambulo6580
    @meshackmtambulo6580 Před 4 lety +2

    Hongera sana rev

  • @yasintamakongoro5957
    @yasintamakongoro5957 Před 2 lety +3

    pumzika kwa amani babu yangu

  • @michaelstephen3743
    @michaelstephen3743 Před 3 lety +1

    Nilikua cmjui asee huyu jamaa nikajua keshazeeka kumbe bado ni mchungaji aliyechangamka kabisaa😂😂😂😂big up mchungajii

  • @mr.talalay6524
    @mr.talalay6524 Před 2 lety +2

    Kweli huu wimbo unakumbusah mbali san

  • @omarypashua643
    @omarypashua643 Před 10 měsíci

    Ammen baba wa taifa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Před 8 měsíci

    Siku hizi bado mnatulia kuimba hivyo hivyo??Mbarikiwe saana

  • @imagineSasa
    @imagineSasa Před 6 měsíci

    I heard this song about 24yrs ago

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 Před 3 lety +1

    Daaaaaaaa mmetisha sana

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 Před 3 lety +1

    Mweshimiwa rais kama una usikia huu wimbo naomba upatie zawadi 2020

  • @user-dr7ye7rg5k
    @user-dr7ye7rg5k Před 2 měsíci

    I love you all my Leaders

  • @hamadiramadhani4578
    @hamadiramadhani4578 Před rokem

    2023

  • @belzylucas7275
    @belzylucas7275 Před rokem

    Nimemiss magufuli na nyerere ❤💚

  • @esterromanus6213
    @esterromanus6213 Před 10 měsíci

    💚💚

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 Před 7 měsíci

    KAMA Sio juhudi za Nyerere

  • @wilbartmugheri8258
    @wilbartmugheri8258 Před 8 měsíci

    Baba wa Taifa la Tanzania. Daima tutamenzi Baba yetu wa Taifa la Tanzania.

  • @user-eu6pz4om3f
    @user-eu6pz4om3f Před 8 měsíci

    mungu.akuburiki.sana.baba

  • @nsengiyumvaneema4098
    @nsengiyumvaneema4098 Před rokem

    Wimbo mzuri kama asali ya nyuki

  • @Clinton672
    @Clinton672 Před 3 měsíci

    𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐬𝐢𝐟𝐢𝐰𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐩𝐚𝐬𝐭𝐨𝐫

  • @saidjuma-qn9sb
    @saidjuma-qn9sb Před 8 měsíci

    seen 08/10/2023 👍👍

  • @alexselias9420
    @alexselias9420 Před 3 lety +1

    nimemuona morrison kama nawew umemuona weka like hapa

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Před 10 měsíci

    Wimbo mtamu sana

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 Před 2 lety +1

    Pumzika kwa amani Mwalimu JK Nyerere

  • @matunzojr4862
    @matunzojr4862 Před rokem

    TBC WANAUHESHIMU SANA HUU WIMBO

  • @nurdinmustafamohamed9168
    @nurdinmustafamohamed9168 Před 4 lety +2

    Nimekuja kuona

  • @karimunuhu5861
    @karimunuhu5861 Před 3 měsíci

    Tar13/3/2024

  • @esterromanus6213
    @esterromanus6213 Před 10 měsíci

    😭😭😭

  • @josephkisoso6648
    @josephkisoso6648 Před rokem

    We will remember our father of nation

  • @joshuaolukusande9517
    @joshuaolukusande9517 Před 4 měsíci

    😔😔😔😔😔

  • @nsengiyumvaneema4098
    @nsengiyumvaneema4098 Před rokem

    Wimbo ju ina utamu kama asali ya nyuki kweli

  • @kaizjulius2326
    @kaizjulius2326 Před 2 lety +1

    dah nchi inavyochezewa hii na nikiangalia ilivyopambaniwa natamani kulia

    • @sebastianmoshi7200
      @sebastianmoshi7200 Před rokem

      Haijawahi kupambaniwa, aliyeiharibu ni huyo huyo Nyerere unayedhani aliipambania.

    • @kaizjulius2326
      @kaizjulius2326 Před 9 měsíci

      @@sebastianmoshi7200 nifafanulie tafadhali ,kama kuna ukweli hapa maana aliwageuka wote waliompokea kwenye harakati za uhuru

  • @blessmama3394
    @blessmama3394 Před 2 lety

    Niko hapa

  • @saidgeorge997
    @saidgeorge997 Před 2 lety

    Jaman huyu mtu aangaliwe vizir

  • @user-ux3gf2wj4r
    @user-ux3gf2wj4r Před 11 měsíci

    morison

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao Před 3 lety

    😎

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Před 2 lety

    😍

  • @yasintamakongoro9458
    @yasintamakongoro9458 Před 3 lety

    Kweli babisaaaa

  • @barnabafransic2551
    @barnabafransic2551 Před 3 lety

    Magufuli umetuacha baba

  • @victordavidkissi9876
    @victordavidkissi9876 Před 3 lety +3

    #Sadock tufahamiane#mimi ndo mwenye wimbo.0655/0755 954342

  • @mtemimagema6176
    @mtemimagema6176 Před 2 lety

    15-03-2022

  • @verosir1416
    @verosir1416 Před 3 lety

    India hapo kuna nyimbo Ning kisha subscribe

  • @ombeningogo1464
    @ombeningogo1464 Před 3 lety +1

    TUNASUBIRI VIDEO YA WIMBO WA TAIFA SIJUI NAYO ITATOKA LINI!!

  • @johnsimon4286
    @johnsimon4286 Před 3 lety

    Sidhan kama ni hawa waimbaji. Hoja ya kwanza video production iliyo fanyika hatukuwa nayo ya aina hii..

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 Před 7 měsíci

    KAMA Sio juhudi za Nyerere

  • @alexselias9420
    @alexselias9420 Před 3 lety

    nimemuona morrison kama nawew umemuona weka like hapa