MWANAUME ALIYEMUINGILIA MTOTO WANGU ANASEMA BADO ANANIPENDA ETI TURUDIANE |NIKIKUTANA NAE ATANIKOMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 06. 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036
  • Sport

Komentáře • 10

  • @mariamdullazy8166
    @mariamdullazy8166 Před dnem +1

    Ungeenda kwa wadada center kwa Joyce kiria pia kuna kazi ni vizuri ukaanzia huko ukapata mtaji wa kuanzia

  • @AbdallahSalim-tf1ee
    @AbdallahSalim-tf1ee Před 2 dny +2

    pole sana dadaetu mungu atakufungulia kila unacho kiomba

  • @shamzone388
    @shamzone388 Před 20 hodinami

    Bora ujishughulishe na kazi utafanikiwa maisha ni popote

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et Před dnem +1

    Nafutahi kuona kuwa umetambua kuwa mungu anakupenda ndio maan anakupa mitihan usichoke kusubir kuwa na subra mungu atafany wepes ktk kila linalokusibu

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 Před 2 dny +1

    Hayo maradhi kwa gulf Hakuna nchi itakubali kumpa kazi. Yaan Kuna vipimo huku unapimwa weeee. Yaan ukikutwa una maradhi yoyote basi wanakusafirisha yaan hawakuachi hata wiki.

  • @shamzone388
    @shamzone388 Před 20 hodinami

    Nchi hizi za gulf unapimwa maradhi mengi….
    Ukikutwa na hiv au hepatitis unaambiwa lete pasport yake lete ticket na anasafirisha bila kuchelewa…

  • @elizabertgille6020
    @elizabertgille6020 Před 2 dny +2

    Duuh, usirudiane naye, anaweza kuja kujua!!!

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Před 2 dny +2

    Mama pole sasa umependeza Umenenepa mashaallah

    • @dismaslalubare4196
      @dismaslalubare4196 Před 2 dny

      Amenenepaa unataka kumpeleka mnadani akichinjwe au

    • @ShamimHassan-qm1et
      @ShamimHassan-qm1et Před dnem

      ​@@dismaslalubare4196Kwan ni vibaya kumsifia mtu jaman mbona umemjibu vibaya