Wakazi wa Kilifi wataka vikwazo vya kuingia Mombasa viondolewe

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 08. 2024
  • Licha ya marufuku ya kuingia na kutoka kaunti za kwale na kilifi kuondolewa wenyeji na
    Wafanyabisahara wangali wanachechemea kiuchumi huku mombasa ikizidi
    Kunawiri kutokana na kufunguliwa kwa oldtown.wahudumu wa mikahawa na
    Hoteli sasa wanaitaka serikali kuharakisha taratibu za kufunguliwa kwa
    Sekta ya utalii ili kufungua uchumi wa pwani. Francis mtalaki anaarifu.

Komentáře • 4

  • @yasminmohamed2813
    @yasminmohamed2813 Před 4 lety +2

    We have more than 1 million cases in USA but we have open everything here .why is Kenya government do this .

  • @williamjulius5981
    @williamjulius5981 Před 4 lety

    Rais Uhuru Kenyatta vita vyake ni kupigana na wafanyi kazi wa biashara na waumini wa dini mbali mbali na wala sio Corona wakenya wengi tunajua ukandamizaji derect

  • @erickjuma7643
    @erickjuma7643 Před 4 lety

    If you look at it, there's no logic in closing Mombasa, Nai and Mandera, yet the virus is everywhere now. It's just abuse if power by Uhuru Kenyatta