MCH. MSIGWA ATOA SHARTI LA KUHAMIA CHAMA KINGINE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • Aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa mjini na mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa amebainisha namna ulivyo ukaribu wake na Tundu Lissu huku akibainisha sharti litakalomfanya kuhamia Chama kingine

Komentáře • 9

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 Před 2 měsíci +2

    Mheshimiwa MSIGWA heshima yako itaendelea sana kuimarika ukiwa ndani ya CHADEMA.
    Na ukiwa na LiSsu na Mbowe. Heche . Mnyika ni majembe

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k Před 2 měsíci +1

    Sawa msigwa

  • @AnosisyeMwaigomole-i5s
    @AnosisyeMwaigomole-i5s Před měsícem

    Mrafi wa madaraka hafai

  • @benjamalila9942
    @benjamalila9942 Před měsícem

    Ma tepeli sio watu

  • @mertus.nestory.bishirangon4624

    Good

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 Před 2 měsíci

    Jamani mtu kushinda ubunge sio kwa ajili ya nguvu ya mtu mmoja tujue watu wengi wamekuwa wamepambania chama

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 Před 2 měsíci

    Nenda huko CCM kibaraka mkubwa wewe

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k Před 2 měsíci

      Tatizo la nchi kuna watu wengi wenye uwezo mdogo wa kufikili na kutafakali mambo kama wewe ndo wengi aijalishi elim ya mtu kudhani mtu mkitofautiana mawazo uyo ni mpizani wako maendelea duniani kote yanakuja kwa kutofautiana namna ya kufikili msiwe kama nyumbu hii nikwa vyama vyote na taasisi zote

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k Před 2 měsíci

      Chadema mnapambanua kuwa ni chama cha demokrasia sasa utakuaje na demokrasia ukiwa unazuia mawazo tofauti ndani ya chama chako au taasis yako?tatzo lenu mnakua kama nyumbu