hawa ndio wasanii ambao nyimbo zao ukizisikiliza hautakosa kupata neno la maana , utajifunza kuliko wale akina wasafi matusi kila siku. chakushangaza wanamaisha mabaya na hawakufanikiwa ki maisha ,wanaoimba matusi wana maisha mazuri yanayotokana na mziki .Basata walione hili.
Kama kuna watu wanatizama hii video naomba ufinye like twende sawa
2023 bado mwana ni kama imetoka leo yani. Mafundi wa mziki.
Kwa heshima ya Rasta unaeza niita Culture🔥
2024 King of bongo forever
Weye ni mwalimu kweli wa mziki, hongereni kizazi cha hapo kale
2023 bado inabaki kama best rap song kwang
Daah Hatimae 2022 TUNDA KAMALIZA CHUO KIKUU
Duazako Zimekubaliwa Bro
Jamaa walikuwa wanajua
Mwanaume na nusu ndo huyu Sasa Simba zee
Kama imetoka leo❤
repose en paix l'artiste mez b
Maregend mliupigania sana mziki mpaka sasa madogo wanatengeza pesa Leo Afande uligusa kila sehemu hapa siasa,haki ya wasanii hakika we ni really king
RIP MEZ B
hawa ndio wasanii ambao nyimbo zao ukizisikiliza hautakosa kupata neno la maana , utajifunza kuliko wale akina wasafi matusi kila siku. chakushangaza wanamaisha mabaya na hawakufanikiwa ki maisha ,wanaoimba matusi wana maisha mazuri yanayotokana na mziki .Basata walione hili.
real nani sense
Simba dume 2024 ❤❤
Afande sele ndo king WA hip-hop
Enzi hizo afande sele daaa hatari sanaa good music
Humu mwamba alikamia sana
Simba zee huu mkwaju uliumiza sana
Mzalendo Kama jakaya noma Sana sele
afande ni habar nyngne Nouma sana
Hii ni kichwa Sana aligusa hadi machinga Leo ndio utekelezaji
❤❤
Naicheza karata dume malegendary
Baba ake tundajema anacheza karata dume..hehehe
Namkubali Sana Afande sele
King
Super
Ujana una mambo........°πππ
ujana unamambo mengi ndomaan some tyme unagomana na dingi😂
Simba Dume
Hatariiiiii
2022 Dec
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2020
R .I.P.Mez B...
afande kapotelea wapi ndugu zanguni
Kaokoka. Yupo busy na Mungu
Simba simba🎉
Mirabaha
Haichuji 2024
Simba dume
Bars
Nimeimiss midundo ya majani
kaka rudi ktk gem tunakumis sana
Bonge langoma Moro stand-up
Atali sana
Hakika huyu ni mfalime wa Rhymes big baba Tunda
R.I.P Mez B
7th September 2020
11:50
J'3
We ndie mfalme wetu wa rhymes mpaka kesho 👑
Hbzzuzu