#EXCLUSIVE
Vložit
- čas přidán 3. 08. 2024
- #EXCLUSIVE:LULU AVUNJA UKIMYA - "NIMETUA MZIGO wa MAMA KANUMBA, MSALABA NILIOUBEBA NITAUBEBA HADI KUFA"...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
0aaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0l0aaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaa
L0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaa9aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal0aaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaa9aaaaaaaaaa0a0a9a0aa0aaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaa9aaaaaaaaaaaal9aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa9aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa90aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaa9aaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
L0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa9aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa0aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mweee mdogo angu wa shule lulu na mtaani kwetu tabata mungu akubariki dada ako wa shule nilikuwa nakuetetea kishule shule mtaani,,kwako mimi apa jina la shule dada ako bwasile wajina wako elizabeth,,baunsa wako kishule shule,,,
Lulu dada ako apa,,mimi apa bwasile apa mi kishule,,kishule shule,,,tabata chumba kimoja mimi pia nilikuepo mamy,,,,nilikuwa nakusindikiza hadi kanisani baby wangu kipindi unasomoea ,,,izi moments uwezi kuzisahau mdogo angu global please,,,nikiiimuita tu kimemeta ndo jina nalopenda kumuitta ilo jina la ukoo uwa namuita mimi tu,,tokea shule,...
This girl is very wise, I love the way she answers and expresses herself. Big up Lulu.
Lulu nakupenda jmn huna baya na mtu, ni mtu unaejiheshm sana Mungu akupe maisha marefu 💞
Nimekupenda Lulu uko na hekima sana Mungu azidi kukulinda na kukuinua zaidi katika kazi zako.
Kwa hili la mama Kanumba umezidi kudhihirisha kuwa wewe ni mnyenyekevu wa viwango vya juu. Mungu azidi kukubariki.
Mtoto huyu kichwani yupo vizuri mnoo sana awee lulu umenyookaaa❤
Hongera sana kwa kujua huyu mama anaumia sometimes ila hii imetokana tu! Na lulu kuzaa umeelewa uchungu wa mwana
That is Liz
That is my lulu, anaeangalia baraka zaidi ya mapito. Nakupenda sana mdogo wangu. Mungu aendelee kutunza hekima yako.
Nakupenda sana Lulu. Nakuombea udumu ktk ndoa yako. Nimefurahi kuckia unaheshimu ndoa yako. From Oman 🇴🇲🇹🇿
Lulu wewe ni mzuri naturally. Huhitaji makope ya kubandika na makucha ya kichawi. Utukufu kwa Mungu Baba
Lulu ni mrembo ,beauty with brain..Well done mama G👏🏾👏🏾👏🏾@Imelda unatupa mambo mazuri sana kila kukicha…Kazi safi sana👏🏾👏🏾👏🏾🫡
Bonge la interview mdogo wangu upo vzr nimeipenda zaidi na nimejifunza mengi kutoka kwenye maneno Yako ntazidi kuishi umo HONGERA SANA
nakupenda bure lulu una busara sana na hekima mungu alinde ndoa yako mwishi miaka mingi ❤❤
Kuzaa ndo zawadi pekee tuliyo jaliwa na Mwenyezi MUNGU. Namaanisha USIJUTIHI KUZAA.hata wa 3 tunasema KARIBU
True watoto ni Baraka🙏🏾
Majizo umeoa mwanamke na nusu hongera sana
I hope na yeye analijua hilo (majizo) na Anam take care vzr mkewe
Lulu nakukubali sana una busara mnoo!! Na majibu yale yako nayapendaga pia sanaa Mungu akubariki sana huna baya na mtu!!! Hongera pia kwa mama mzaa na mlea chema!
Lulu ni mwanamke na nusu Mungu akubariki
Lulu kichwan zipo kamili ana akili nyingi ❤maashallah ♥️ ♥ 😊
Lulu uko vizur sana,sikujua kama wewe ni mama mzur, na unajua kujieleza na una busara Mungu akujaalie.lov uu
Masikini hd ametoa machozi alipokumbuka alipotoka dah nimejisikia kulia maana wengi tumepitia haso za kuhangaika hd kwenye mama ntilie Allah atupe nguvu ktk maisha yetu na sie tukae chini tuje kusimulia watoto wetu
Huyu Binti Ana Akili Kubwa sana Na Ana IMANI SANA SANA ❤
Mtazamo wako sawa na mimi kima2azo kuhusu lulu nampenda sn huyu bint
Nakupenda Sana Sana my mdogo ..mzuri wa Sura na akili....mungu .akutunze unamfano wa kujifunza Vingi..❤
Mashallah nakupenda sana Lulu from kenya yaani umezungumza kama watu 100 ❤
Rafiki wa Mimi hongera sana mungu azidi kukupa ujasiri,upendo Mkuu na busara na hekima teletele hakuna jipya chini ya jua.mungu akubariki.
Mungu akubariki sana lulu yan katika wasanii wew ndo huwa nakuelewa
That is Liz
That is my lulu, anaeangalia baraka zaidi ya mapito. Nakuoenda sana mdogo wangu. Mungu aendelee kutunza hekima yako.
Lulu nakupenda sana unajielewa mnooo❤
She has matured so much love it 😌😊
Mungu aendelee kukumininia baraka mrembo wetu unastahili furaha mami❤❤❤❤
Nakupenda bureeeee mdogo wangu Mungu azidi kukutunza....unakitu kizuri sana ndani yako....
Da imelda I love your interviews you’re professional
Ni kweli nakufaham sana Lulu tukiwa wote Tabata karibu na mambo sasa Hotel ❤😊
Lulu so cute❤ alafu anajiamini saana na Ana visio!! very Wise!!
Mungu ambariki mwanamke aliekuzaa big up mdogo wangu
Nakupenda sana dada. Ubarikiwe na Mungu dada lulu
Asante sana lulu Kwa maneno Yako uliyomjibu uyo dada
Am à aà
Big brain and beautiful woman
Hongera sana Kwa kujitambuwa kipenziii❤
LuLu umependeza sana ongera sana mungu awabariki unajuwa kuongeya ❤
Nakupenda sana lulu my role model ❤
Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏
Lulu nakupendaa bureeee❤❤❤❤
Yani lulu nakupenda sana ❤❤❤❤
Mungu akutangulie lulu nimependa ulivyo jibu maswali na majibu
Mungu akubariki da lulu.
Beauty with brains , Lulu ni mmoja wa mastar ambao wanajuwa kujibu maswali kwa akili sana
Kwa kuongezea alicho kisema lulu,,,Kuna aina ya wanawake ambao wakijifungua mahips hua na muonekano tofauti,yaani hupanuka na ukawa na shape nzuri kushinda ya mwanzo,,,,ni siwe mnafiki hata mm nimmoja wao,,,na pia Kuna wengine wakijifungua huzidi kupoteza kabisa,,,,,,,
Iulu nakupenda sanakipenzi
Safi sn LuLu wetu hakika wewe ni wa mfano mzuri kwa Jamii mm nakuelewa sn mdogo wngu ❤❤❤❤❤❤❤!❤!
Umekuwa mdogo wangu ulicho ulizwa na ulichokuwa unajibu sahihi kabisa yani umekuwa mama mwenye akiri kubwa
Kila jambo jema hutoka Kwa mungu hongera xana lulu jaman. Yaliyopita c ndwele kilichobaki kuishi Kwa aman dunian.
Maisha ni safar ndefu. Don't look back, go ahead. Be bless
Lulu is just a masterpiece
Mi sisemi kitu maana unajua nakupenda
❤❤ lulu
Interview nzuri sana, Na nacho kifikilia ndomaana umekaa ndani ya ndoa Hongera sana, Na Majizo naesi mtu wa kujikweza
Kweli hata mumewe sio WA kujikwaza
Uuum lulu nilikuwa nime mu miss kweli,hongela kwa kupata Baraka kutoka kwa mungu❤
❤❤❤smart girl with good brain🙏
Nakupenda umetulia Sana unamajibu manzr unajitambua God bless you
Lulu uko vizuri sana ❤❤❤
Lulu jamanii kukupenda tu mdogo wangu❤❤❤❤❤❤🎉
Big up Lulu nime inspire sana exclusive interview yako.
Kweli kabisa hujaweka mikope ya mbuzi na mikucha ya mbwa mwitu hongera sana.
Uko vizuri kwenye mahojiano una akili ndio maana majizo aliona loti kqajo alikukubali akakuoa hongera sana bint I love you❤
Da imelda nakupenda mwayaaa ulivo mungu akupe maisha marefu
lulu akili kubwas ❤❤
Nakupenda sana lulu mungu azidi kukubariki 🥰🇰🇪
Msanii pekee anaejiheshimu pamoja na monalisa pia.
Ila lulu mzuri sana
Kwa changamoto za kimaisha alizopitia huyu binti akiwa mdogo sanaaaa kiasi awe makini zaidi!
Lulu nakupenda en I realy mean it ,I feel so sad when I feel your situation with mom kanumba and be strong forever lulu wangu 😭
Lulu ❤you're so smart in everything ❤
Hongera sana, kweli u.ekua na una akili yingi umekua mama na mke kwelikweli, ni mfano wa kuigwa na wasanii wengine❤
❤❤❤❤lulu kichwa aswa unashinda hadi mashangazi kina wema
Love you my Lulu❤❤❤❤🥰🥰🥰❤❤❤❤
Lulu mungu akulinde wewe na family yako
Hii hata mimi na mke wangu ilitikea mpk wakawa kama mapacha ila ina raha yake❤
Imelda wewe ni mtangazaji mzuri
Lulu nakupenda Sana. Mungu ukulindie na akukuzie watoto wako
Waaaaoooo smart gal Tena narudia smart gal , Leo ni ekubali lulu ur a sharp lady and big thinker 😘😘😘
❤
Nakupendasan
nigeweza .kukuwanawuwezo ningekuwoa
You are a very wise woman nimekupenda lulu ❤❤❤❤💚🖤
❤❤❤❤❤ Elizabeth
Kajala uwe unapata na viushauri Kwa Lulu ama uige kidogo kidogo
😅😅😅😅
,🤣🤣
Uyumu dada LULU nampendaka saana sana kbsa
Hongera lulu, wajina wangu.tumezaliwa siku moja
Me also 🎉❤
Nakupendaaa sana lulu wangu❤❤❤❤❤❤
Maneno mazuri sana nimejifunza❤
I love you so much bby❤mdogo lakin akili nyingi sana unajibu kwa kutumia knowledge hukurupuki hongera sanaa
Nakupenda sana lulu walahi
Kwakweli uyu biti amepitiya manbomegi Sana kupitiya kanumba Ala mungu amemupiganiya sababu mungu niwahaki ubarikiwe mudogowagu yesu azidi kukutetea
Anajua sana kujibu maswali ❤
Elizabeth Lulu Michael i love you 😍 🔥🔥🔥
Lulu mungu akubariki ila umkumbuke mama kanumba panapo wezekana
Amkumbuke kwa kipi mbona ameshafanya hayo maisha unayoyawaza we Ni maisha ya mvunja kikombe yaan kilichotokea Ni Mungu aliruhusu sio Lulu aliruhusu
Hongera sana lulu mungu akutunze
Mashaallah binto anaheshima hadi raha
Lulu ❤❤❤❤
Sema uchumi mzuri pia unachangia 😂😂😂😂
Mashallah, hongera sana kipenzi
Uko vizuri sana
Lulu huongei km unaongea tu, unaongea unajielewa unachokiongea, we ni bright. Nimependa
kweli Lulu umekuwa na unaakili sana, big up