MCH DANIEL MGOGO - UNAFIKI (OFFICIAL VIDEO)
Vložit
- čas přidán 27. 12. 2018
- MCH DANIEL MGOGO - UNAFIKI (OFFICIAL VIDEO)
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church
Nakupenda sana baba yangu wa kiroho mungu akupe maisha marefu
Shalom mtumishi wa Mungu iyi ni Injili inayo itajika kwa nyakati izi zamwisho mola akutiy nguvu maombi yangu nikwamba umupendeze Mungu anipe roho yako mara dufu ,ninakiu yakubadilika nakuubiri Injili inayojaa uzima namna hii,k Dieu vous bénisse abondamment chere prédicateur
Wewe ni professeur wa uchristo kabisa
Mchungaji akubariki Mungu wa mbinguni
Nafarijika na mafundisho ya Mchungaji huyu, napata injiri kamilikamili(complite) ila naomba mtengeneze mahubiri haya ili tuweze kuyapata hata kwenye flash au CD. au yapatikane kwa wauza moves or CDs. Mungu wa Mbinguni awabaliki kwa huduma nzuri.
Pastor hakika injil ya Yesu ndo hii, siyo pokea pesa/nyumba /gar na kadhalika Mungu akuinue zaid pastor I love you more because you doing the perfect things
ubarikiwe sana Mchungaji Mgogo hayo ndiyo mafundisho yanayohitjika kwetu.
Powerful people like Pastor Mugogo. Big up Pastor.
Wapewape vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao👏👏asante mchungaji huwa unawapa za uso.hiyo ndio injili sio kubembelezana
yaan wachungaji, watumishi, mapadre na mashehe wangekuwa wasema ukweli hivi watu wangebadilika
“Walionizalishaaa wamenikimbiaaa ...,mchungajiii umenichekesha
Muchungaji mungu akubariki Sana tena Sana nimebarikiwa sana mungu akuongeze nguvu kwa kazi unayoifanya!!
Ukweli unatuweka huru saana, aliyekufa katika Yesu atafufuka naye, asante Mchungaji.
Ubarikiwe sana dady.... ASIKIAYE NA AFAHAM NENO AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA... AMEN
Ndugu wa wote😂😂. Mungu azidi kukutetea mtumishi Najifunza vitu vingi toka kwako
Mungu akubariki mchungaji
Barikiwa sanaaaaa
😁😁😁🤗hutaki nyama na supu usile😁😁barikiwa sana
Huyu mputi nampenda na mahubiri yake yana ukweli mtupu kuhusu maisha ya watu na Mungu
kwakweli acheni Mungu aitwe Mungu. barikiwa sana mchungaji Daniel Mgogo