Magoli | Simba 1-5 Yanga SC | NBC Premier League - 05/11/2023
Vložit
- čas přidán 5. 11. 2023
- Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.
Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.
Haya hapa magoli yote sita ya mchezo huu... - Sport
Aliyerudi leo like hapa
Nani amerudi kuangalia hii mechi leo kama mimi😂😂🖐🖐🖐
Mm hp
Narudia kila siku😂
Ww unafujo umefanya nimekuja tena🤣🤣
😂😂😂😂
Nmerudi leo😂😂
Hata Kenya 🇰🇪 ushabiki wa Yanga unanoga , heko wananchi ❤❤ mapenzi ya dhati
🇰🇪 🇰🇪 ❤
We love u Kenyans
❤
Kalibu Tz💛💚💛💚
Dear my child this is the best Young Africans 💛🖤💚 we have ever seen
This was 5th Nov of 2023
My joy was unconditionally indeed in this day ,
😄😄😄😄
Nimerudi kuja kuangalia Tena jmn kumbe hawajasawazisha😂😂😂
HII NI HISTORIA NAKUWA MTU WA PILI KUCOMMENT NAOMBA LIKES ZANGU
Baada ya kusikia trh 20/ 4 tunakipiga tena,,😂😂😂 nimekuja kutuma salaam kwa watani
umeniwahi😀😃😃😀
Naangalia leo tena labda simba wanaweza sawazisha😂😂😂😂😂😂😂
Yaan KIBU waajabu sana amefunga goli ameanza na nyodo ya kuwafunga midomo mashabiki wa Yanga badae ndo amekumbuka kusali matokeo yake wakamkanda yeye kwanza akatoka nje likafuata timu lake likadidimizwa kbs🤣🤣🤣🤣
kabisaaa, simba tatizo majigambo🤣
😂😂😂😂😂😂💛💚💛💚💛💚💛💚
Mmetuheshimisha sana mashabiki wa yanga
I love how Yanga are doing this, kudos
Hii yanga inakuja na ubaya...ligi ya tz imetushinda...well organized... Hapa Kenya tu ni wababa tu wanapiga mechi...na watoto wao
This is young Africa 💚💛
Hii mechi cwez shindwa kurudia kuangalia kila mara😂💛💚
Leo wa kwanza apa wanayanga wenzangu💚💚💛💛
22/04/2024🎉 baada ya kumfunga mtani
nimekuja kupitia hii kitu kabla ya mechi ya tar 20/04/2024
Mwanagu utakae kuja kuangalia hii video sisi tukiwa tumesha kufa jua tulipata fursa ya kumuona mnyama akitandikwa goli 5 mwaka 2023 daima mbele nyuma mwiko
Ilove yanga😂😂
Asante sana Eng Hersi kwa kutupa Raha binafsi Kwa upande was Raha umetimiza kiu yangu kulipa magoli walio tufungaga na sikudai Kwa hili Bado kimoja tu yaani uwanja na najua utakamilisha soon ahadi zako zoye zinatimizwa na ninawaomba wananchi was yanga uwe Raisi wa kudumu na inawezekana TU mbona Rwanda Raid wao ni WA kudumu?
Point xana Mzee 💛💚💛💚💚💚💛💛
Ira kochawasimba ana2umiza moyo namanula wake
Gori la kwanza ni goli Kali kuliko yote.🤣🤣
Dah! Kam utani vle,sem n kujifunz kutokana na makosa hoping that next time tutafanya vema,#Simba nguvu moja!❤️
Nimekuja ku-review nione walio hujumu timu lakini sioni kitu.... Wanawaonea tuu
Leo Azm TV mmenifurahisha kweli 😂😂😂😂😂
Napenda kuiangalia hii mechi ni zaidi ya mara 50 sasa 😅😅😅😅
Dah mm sio shabiki wa mipira ya Tanzania sipo Simba wala Yanga ila hakiamungu Yanga mpira waloucheza unafanana san na Man City mpira wakumfanya mpinzani aonekane kama team ya daraja la 3 dah balaa
l love yanga africans 💚💛🖤
Aseeh hii kwangu nikama dozi ya ukimwi Kila siku lazma niangalie
Asante chama rangu
Nani anaangalia hii mechi mpaka leo 2024😂😂😂 Tabulele laa👋
Kumbe tupo wengi tunaofatilia mpaka hii leo
❤❤❤❤❤❤❤ Yanga unatoa burudani sana
Sisi Sio Milima hatimae tumekutana, Huyu Pacome Zouzzoua Kiboko ya Makolo 😂😂😂
anawazoa zoa
Wameyatimba😂😂
Leo tena nmerudi kumwangalia shoga ake KMC😅😅
Nani anaangalia marudio kama mimi😂😂😂😂😂😂
Mie ndo naangalia Mda huu
January 2024 Tujuane hapa😅😅❤
Yaani hata Kwenye Marudio wamepigwa tena
Nimeikumbuka
Wananchiiiiiiiiiiiiiii this is young africa
Mmevumiliaaaa mwisho mkaona mpost😁
Wamepata pakutolea maumivu😂😂😂😂
tulio irudia kuiangalia tujuane 2024 😂😂😂
Lomalisa noma
Cjui kwann naipenda yanga kuas iki yaan icpocheza naumwa mwenzenu😢 aki tena 💚💛🖤
Nasikia raha sana jamaniiiiiiiiiii mm
TABULELE LAAAH😂😂YAAANI MPAAKA WASEEME NI MATESOO NA WATATESEKA MPAKA USIKU WA MANANEE😂😂😂😂💚💛👋👋👋👋👋
Simba ni team ndogo sana sana
Maji yamezid unga polen Simba sasa muwe na adabu
Hii ndo Yanga sasa🙏🙏🙏
Tabulaleee laaaaah
Nilizan atakua mpenja😢 atatangaza
5 ngapi?
Naangalia leo tena
Nmemis Yanga yangu Leo nmeirudia hii gemu kuiyangalia💛💚💪
Kibu alikimbia mapemaaaa kasingizia zake kuumia ili aside delete na mchezo ili lawama zisimdondokee 😂😂😂😂
Mechi tamu sana hii sichoki kuiludia kutazama..😂😂😂
Baada ya kufungwa taifa stars nimeona niirudie video hii ili nijifariji
Bado naangalia mechi y jan ilvyokuw bad siamin🤔
Nimerudia leo mwezi mtukufu😂
Kila xiku naangalia hii crip
Nmeamua niirudie leo kabla hatujaenda robo fainal ya CAF
Gharibu mzinga hujawahig tangaza mechi tukafeli wananchi
💚💚💚💚💛💛
Simba wacoment wapi😂😂😂
Tar 2 /4 nimerudi hapaaaa
Mbona sio HD
Me kila siku narudia hii mechii😂😂
yanga asantee, mmemfanya kitu kizuri mmeweka heshima🤗
oyaaaaa ni atari
Kila siku napenda kuangalia
Ni lini mpira ya kenya itakuwa hivi
Ata cjui kwakwli
😂 nyie c mnajivunia English😂
Mpira wa Kenya zamani ulikuwa juu...Ila inabidi mjipange Sana na pia siasa zipungue FKF.
@@ikouwasi7644😂😂😂😂😂😂😂
Hii wamelowa 😂duuh
Yaan hii mechi kila nikirudia kuitazama simba anafungwa goli tano alafu wafungaji walewale akina pacome , sijui mimi tu peke yangu au nyinyi wadau munaonaje?😂😂
Azam muwe mnatulea highlight mapema, tunakosa quality wengne ni mbovu kwel
Nairudia hii game kila mda yaani
Musonda goli la kikatili
Ila Azam hamjawaonesha mashabiki wa Yanga kwa ukubwa wake kwenye majukwaa wakishangilia .mlionesha sehemu chache tu za mashabiki wa Yanga
Azam.mpo dunia.h mn maludio ya yqnga na azam.adi leo kenge nyny 😂😂😂💚💚💚🖐🏻🤸🏻♂️
kwaleo mmeona Aaka!! Yanini kususa, mlimwachia UTV 😂😂😂😂😂😂😂 imekaa powa kweli
Naangalia muda huu
Tarehe 20/04/2024😂😂😂😂
Kweli mashujaa yanga hata kenya wanashabikia yanga aaaaaaaaah duuuu mungu wangu
Magoli matam sana
Mmmh
Angalia goli la 4 utajua kuwa Inonga kaachia makusud angalia kwa makin 😢
Angalia hadi macho yatoke ila hutaona hayo makusudi ya Inonga
Aaah wap
Aaah wap
Wa leo tujuane
Umeludia sangap
hata mm nimeangalia
Tabulele laaaaaaaaaa😂😂😂😂
💚💚💛💛💛
Kwanza Mpira kharamu🙄
😅😅😅😅poleee
Jaman hii mechi kunashabiki wa simba anayeludiaga kuiangalia kwel
himechi niyakufungamwaka haitakujakutoke hiinihistoriyakubwa sn
mm nimeludi 🤚👐👐👐👐🖐️🖐️🖐️
Tupo baba
Kapombe kazi kulala tu
Mimerudi tena kuangalia hii mechi
Gharib mzingaaaaaaaaaa kilwa finest
Hatujamalizaaaaa😅😅
Inauma sana ila tutazoea tu😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole....angalia usijeshindwa kuwahudumia vizuri wateja wa Tilisho sababu ya maumivu😂😂😂
Hahahaha 😂😂😂😂 yanga tamu all the time huchoki kuangalia