PATANISHO : MKE WANGU ALIKUWA ANASHINDA KWA SIMU SANA
Vložit
- čas přidán 23. 08. 2023
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo CZcams - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Zábava
Mimi bila kicheko ya ghost , sio patanisho 😂😂😂.
Na mwenye kupost patanisho youtube aweke kila siku. Na aongezewe mshahara apate nguvu mara moja
Sheryl asijaribu kurudi huko.ataishi kusumbuana na Zablon na hao mashemeji.atafute maisha kwingine.
Move on ghel atafute freedom kwa hii Dunia huenda akapata tu
Unampimia hewa kwa simu 😂😂😂😂
This man is a personal case😂😂😂
Sasa gidi watu wakiongea faster unamwmbia fubisha waki short unamcheka wwe gidi hyo si mzri weh unayangaya watu bwan
The guy is applying emergency brake where unnecessary 😂😂😂
This man though
Uyu zablon amebakisha kidogo 😅
😂 waaaaa Mimi nayo nitawaroga mkidara mwili yangu
kila Mtu nasimu yake ukitaka kufa haraka chunguza simu ya mpenziyo
Listen sheilla km wewe huna mambo mengi na mtandao ishu za wanawake au wanaume huezi kua na wasiwasi kwa mpenzi wko bt ukiwa c muamnifu basi hutataka bibi/bwana aguse simu yko, na hilo ndio tatzo ndoa za sasab hazidumu cz hakuna kitu unaeza fichia bwanako au bibi yko
How can you wait a person for more than 2 years?
Hyo Jamaa amove on n life yke
Pia mm natafuta mwanaume really
Walahi manajaribu. Gidi na Ghost. Nyiny wote pamoja na mashabik. Nyinyi wote wazimu. Uzuzi mnacheka.
😂😂😂😂😂😂sablon unapenda kunyamaza nyamaza
Shally is right 👍
Huyu jamaaa wah
Sina Maoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naumwa na Meno
😂😂😂😂😂😂😂
Miaka mbili na bdo unamfuata. Move on sir
Walahi?@😅😅😅😅😂😂😂
Kumupimia hewa kwasimu
Huyu naezamkalia chapo
Anafanana
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂❤❤👏👍
Don't go back 😅
The man is too slow
No wonder she left. He sounds boring
Simu imekua adui sana kwa mambo ya mapenzi
😂😂😂😂😂😂
@@kaninamargaret8025 its finishing us
Sana. Ndoa mingi case zinatokana na simu
@@moreh462KABISAAAAAA
He can't stand by you achana nae
One of the presenters laughing at the man narrating his story is rude.
Hiyo kicheko ni signature yani trademark ya hii kipindi😅
Mimi nina swali ,kwa wadau wenzangu,hii patanisho uwa tu walunje na wakisii?ata inafaa wawe rewarded 😅😅😂😂
Banaeee 😂ht mm niliuliza hvyo hvyo 😂😂
@@jaymwinyi6957 🤣🤣🤣🙆
Ulipiga upatanishwe ukaambiwa ni ya waluhya na wakisii ama ni tribalism
@@snaidaachingwa6769 🤣🤣🤣ata Mimi ni mkisii na Sana uwa yetu na watu WA pungoma ,usijam,ni maongexi tu
@@user-cg3vf2bl6b😂😂😂😂
Wewe msee unalinda Bibi yako wachana na watu wenu😂😂
Afunge safari aende Kwa kina bb waongee wakisikizana warudiane.