MAAJABU YA MTU ANAYETUMIA MAPAFU YA CHUMA, SHINGONI HADI MIGUUNI KUMEPOOZA "ANA DEGREE YA SHERIA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 09. 2021
  • Leo na kuletea simulizi fupi ya Paul Richard Alexander ambaye ni Mwanasheria, Mwandishi wa Vitabu kutoka nchini Marekani ambaye alizaliwa Mwaka 1946 na miaka sita mbele Mwaka 1952 alipata ugonjwa wa Polio uliomfanya apooze kuanzia shingoni hadi miguuni na kufanya maisha yake yote tangu wakati huo kuwa ni ya kulala tu kwenye mashine Maalum inayomsaidia kupumua na kuendelea kuishi ambayo inaitwa Mapafu ya Chuma (Iron Lung au Tank Ventilator.
    Tatizo lilianzia wakati wa Ugonjwa wa Polio miaka ya 1950s ambapo Watoto wengi wa Dallas, Texas akiwemo Alexander walipelekwa Parkland Hospital na kutibiwa kwenye iron lungs,
    Hiyo haikumkatisha tamaa alianza kusoma kwa Walimu kumfuata nyumbani hadi akahitimu W.W. Samuel High Mwaka 1967 bila kwenda Darasani baadaye alipata Scholarship Southern Methodist University na akahamishiwa Chuo Kikuu cha Texas, Austin ambako alipata Degree yake ya kwanza mwaka 1978 kisha Degree ya Sheria Mwaka 1984 na akapata kazi ya kufundisha Sheria kisha baadaye akaanza shughuli za Uwakili Mwaka 1986.
    Ameandika kitabu cha kumbukumbu ya maisha yake kinachoitwa "Three Minutes For A Dog, April 2020 ambacho alitumia miaka 8 kukikamilisha akitumia fimbo ya plastic aliyoweka mdomon na peni kuandika story kwenye keyboard au wakati mwingine alikuwa anampa vitu vya kuandika Rafiki yake na akawa anamsaidia.

Komentáře • 208

  • @josephurupia4653
    @josephurupia4653 Před 2 lety +85

    Afu Mimi nipo mzima leo. Naachaje kumshukuru Mungu kwa Afya njema hii. 😢

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 Před 2 lety +21

    Asante Mungu Kwa uzima nilio nao 🙏🙏🙏

  • @Ann-vr7ti
    @Ann-vr7ti Před 2 lety +20

    Ee Mungu nisamehe kwa kulalamika kisa umaskini, Nashukuru Mungu kwa uzima

  • @zou7470
    @zou7470 Před 2 lety +13

    Sina budi kusema alhamdulillah kwa neema Allah alizo nijalia👏👏

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 Před 2 lety +2

    Ametakasika Allah ! Alhamdulillah Kwa afya nzuri tunayo

  • @mohammedothman682
    @mohammedothman682 Před 2 lety +21

    Subhanallah ..... Alhamdulillah kwa afya njema🙏

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Před 2 lety +26

    Subhannallah, ALHAMDULILAH namshukuru Allah kwa Afya NJEMA bila kuilipia. 🙏

  • @farajhassan1775
    @farajhassan1775 Před 2 lety +12

    Daah Alhamdulilah kwa uzima 🙏

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 Před 2 lety +8

    Subhan allah alhamdulillah for Everything 🤲

  • @elijahelisha4780
    @elijahelisha4780 Před 2 lety +11

    Eee Mungu baba Asante kwa uzima 🙏🙏

  • @shufaahassan3122
    @shufaahassan3122 Před 2 lety +5

    Namshukuru mungu napumua vizur alihamdulillah

  • @innoofficialtz8516
    @innoofficialtz8516 Před 2 lety +26

    Alf uko na mkono na miguu na utaki kujituma unakalia tu ukisema hali ngum jifunze kitu apo

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 Před 2 lety +9

    Mungu ni waajabu Sana ndomaana ni mwenye uhura sana juu ya viumbe wake

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 Před 2 lety +2

    Mungu nisamee mjawako kwa makosa yangu Asante kwa uzima

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 Před 2 lety +4

    SUBHANNALLAH ALHAMDULILAH MWENYEZI MUNGU AKUPE TAHAFIFU UPONE HARAKA

  • @vailethobedi4723
    @vailethobedi4723 Před 2 lety +5

    Asante Mungu kwa kunipa uzima nilio nao ,

  • @zainabzainab9724
    @zainabzainab9724 Před 2 lety +1

    Subuanallah. Asante mungu kwa neema ya afya.uwaponye pia wangojwa wote inshaallah

  • @ummyremmy1797
    @ummyremmy1797 Před 2 lety +10

    Subhannallah

  • @rodabeutychannel6626
    @rodabeutychannel6626 Před 2 lety +11

    Mungu Yuko na wewe usikate tamaaa Kamwe Shujaa

  • @naimaally2040
    @naimaally2040 Před 2 lety +14

    Subhanallah