KWA MWAMPOSA WATU WAMEFURIKA, HAIJAWAHI KUTOKEA, GOZBERT AFUNGUKA WATUMISHI KUJIITA MUNGU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 07. 2023

Komentáře • 192

  • @damareshilary5002
    @damareshilary5002 Před rokem +6

    Baada ya kuanza kusikiliza na kufuatilia mafundisho ya mtumishi kiukweli nimebadilika nna raha na amani Mungu endelea kumtunza mtumishi wako ❤

  • @shubianan
    @shubianan Před rokem +6

    Mungu wangu mtunze na umpe umri mrefu baba yetu Mwamposa live long❤

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 Před rokem +19

    Kila mmoja ambaye yupo hapo anatamani atendewe jambo na Mungu, ili moyo wake upate kupona.

  • @godlikedeodatus9274
    @godlikedeodatus9274 Před rokem +5

    Nmepitia koments za watu wengi aisee , hawamjui Mungu kabisa , wengine wanasema watu wanakimbilia miujiza , wengine wanasema n utapeli , wengine wanasema miujiza feki, lakin mm amin nnakwambia nyie .kama hamfaham Mungu pole tena sana ,,, kwa Mungu huwez piga janja janja au utapeli arafu Mungu akuache upoteze watu wake wote hao never tena never, kama ni rahis kama mawazo yenu yanavyofikiria nanyie anzisha muone kama n rahis hivyo, au hamsom maandko.

  • @deevon3364
    @deevon3364 Před rokem +7

    Dah akili nyingi sana maana sio Kwakupangua maswali ya mitego hivyo 😂😂

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Před rokem +4

    Mkesha rahaa sana, mi nilikeshea nyumbani, baba mungu akubariki sana

  • @viktamade
    @viktamade Před rokem +11

    Shida huwa hamfuatiliii huyu bulldozer tarehe moja mkesha wa mwaka mpya alijaza Benjamin mkapa....leo wewe unasema haijawahi kutokea

  • @bibip9181
    @bibip9181 Před 8 měsíci

    Yaani hongera sana kaka godluck umejibu vema sana intavyuu Yako Mungu azidi kukubariki n kukuinua,wasndishi wachimbuchimbu sana ila umejua kumtukuza Mungu na majibu Yako vema

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Před rokem +2

    Mwamposa tunakupenda sanaaa Mungu anajuaaa hiiloo....wabaya hawakosekani popooteee

  • @marymdoe9437
    @marymdoe9437 Před rokem +1

    Mungu ni mwema nakupenda sana mwamposa Kila nilichoomba nimepata briiwa

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 Před rokem +1

    Ameen Mtumishi huyu Mungu aendelee kumuweka haki

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 Před rokem +15

    Kama Mungu angeruhusu watu kuwa na macho ya rohoni, tungezijua hizo gharama.

    • @servantofalmightygoddranth2511
      @servantofalmightygoddranth2511 Před rokem

      Mtumishi wa JEHOVAH hizo hizo gharama alizoongea jamaa apo gozbert na sio kinywa cha gozbert bali NGUVU YA ROHO MTAKATIFU IMEMLAZIMISHA atoe siri ya ya mwamposa na kuzimu inayompa nguvu ambapo moja ya gharama alizozitoa mwamposa ni kafara ya watu kufa wakiwa wanakanyaga mafuta mwaka 2020 moshi,ila walio vipofu watapingak maana wamepofushwa macho,shtukeni mnaingizwa kuzimu bila kujua, mnamuabudu lucifer bila kujua acheni TUMGEUKIE YESU ALIE HAI.

    • @clouartmichael7296
      @clouartmichael7296 Před rokem +1

      Sio kila anayesema Mungu anamaanish yule wa Mbinguni ..Kuna Mungu wa Dunia hii na Wala si ajabu shetani kujibadili malaika wa nuru ,pia mtawajua kwa matendo yao tu..Ile njia ya kusongasonga Ni nyembamba waionayo ni wachache ,kwa Gharama wanazotoa ni kubwa watu wafunguliwe macho ya rohoni ..Baba wa Mbinguni achanganyi madhabahu yake na waimbaji wa hivi 1 Wakorinto 6:14

    • @annastaziakimaro3042
      @annastaziakimaro3042 Před rokem +1

      @@clouartmichael7296 kweli ndugu yañgu, wangejua gharama wanazozitoa hao wanaojiita manabii WA upako na waimbaji wao, wasingewasogelea Wala kuwatazama

    • @reginamatem9893
      @reginamatem9893 Před rokem +2

      Hata wewe ulikombolewa kwa gharama, muda anaoutumia tu kumsifu Mungu na kuhubiri injili ni gharama,mtu unakuta ana ibada mbili,ya kwanza iishe saa nane,aingie apoapo nyingine, atoke apumzike kidogo arudi operation komboa familia,apumzike kidogo sijui maombi ya saa nane usiku,..weee,wala hatuhitaji macho ya rohoni kuona gharama dear,

    • @janensajigwa3940
      @janensajigwa3940 Před rokem

      Mungu alisharuhusu ni wewe tu ongeza bidii kwenye imani yako utapata macho ya Rohoni

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 Před rokem +1

    Eee MUNGU baba tenda miujiza kwangu amen 🙏

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 Před rokem

    amin amin, the man of God, bring heaven down

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 Před rokem +1

    Amen baba tunakupenda sana♥️♥️♥️♥️🙏

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Před rokem +2

    Seeeemaaa aaaaiiiyaaaayaaaaah❤

  • @wilsonmwimi2392
    @wilsonmwimi2392 Před rokem

    Uko Juuu Sana kimtazamo Barikiwa sana

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 Před 7 měsíci +1

    Goodluck hekima yako iko juu

  • @johnsondamas9311
    @johnsondamas9311 Před 6 měsíci

    Mungu akubariki gudek umezungumuza vizuri sana

  • @user-jm1ec2uw9q
    @user-jm1ec2uw9q Před 16 dny

    Jamani mwamposa mngu ampe maisha marefu

  • @964d
    @964d Před rokem +1

    Nice one

  • @sir.hassankizwi4718
    @sir.hassankizwi4718 Před rokem +4

    jibu zuri waandishi wanawaza kushindana tu

  • @georgelusinde4972
    @georgelusinde4972 Před 28 dny

    Roho Mtakatifu pekeake ndie mwenye uwezo wakukuonyesha yupi mtumishi wa Mungu na yupi sio mtumishi wa Mungu, sisi tuliotulia chini ya mkono wa Mungu ulio hodari' tunaelewa, natumenyamaza tukiamini kua Bado kitambo kidogo tutakutana ng'ambo.

  • @graceibrahim4924
    @graceibrahim4924 Před rokem +1

    Kwa wale wanaoona km Mungu anahitaji msaada wao ili kutafsiri huduma ya mtu iwe katika ukristo au uislamu kama unajua huwezi kuutengeneza uhai wako ili uishi hata kwa nusu saa unaitegemea pumzi ya MUNGU MUUMBA ARDHI NA MBINGU basi nyamaza acha kunyoshea kidole yeyote MUNGU HAPIGANIWI ANAJIPIGANIA unahitaji msaada wake hana msaada anaohitaji kwako

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 Před rokem

    Mungu akuzidishe baba

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 Před rokem +10

    Mungu baba Tusameh tunakukosea sana ..badalabya kukuamiji wewe tunaweka imaki kwa wanadam

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Před rokem +3

      Labda akusamehe wewe usiyetaka kuamini kuwa MWAMPOSA anatumiwa na MUNGU ili jina lake MUNGU litukuzwe kupitia MWAMPOSA. Hivyo acha kiburi chako cha uzima maana huyo MWAMPOSA kakubali kutengwa na kutumika na MUNGU.
      Mungu akusaidie sana.🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @yahwejoymkumbo9180
      @yahwejoymkumbo9180 Před rokem +1

      Mungu pia atusamehe kwa sababu kuna watu wamekuwa wanasengenya watumishi wa Mungu, aende Mungu amtendee AFI alienda kushuhudia ataona kama ataruhusiwa kusema Mwamposa ndo ametenda, siku zote atasema Mungu ametenda, acheni kuongea ongea Mungu atawaadhibu

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 Před rokem +1

    Kuna siku katabanwa aka kajamaa katafuta Mungu wa kweli acha kalambe viasali kwanza

  • @cavinjohn-9648
    @cavinjohn-9648 Před rokem +5

    Good brother

  • @msuhahappy7016
    @msuhahappy7016 Před rokem +1

    Mungu endelea kumtumia mtumishi wako aendelee kutusaidia leo tupo hapa tunasikiliza neno kwenye kinywa cha mtumishi wako mlinde ,mpiganie tuna kutukuza kwa neema hi uliyoiachia Tanzania

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi Před 3 měsíci

    Mungu baba ba mimi napokea leo miujiza yangu hapa tumbo linaniuma sana naamun nakwenda kupokea miujiza yangu ktk jina la yesu kristo ameeeeeen

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 Před rokem +8

    Ndo wale wale wa paul makenzie

  • @RehemaMwambugu
    @RehemaMwambugu Před 6 měsíci

    Ameeni ❤

  • @bensonmoris463
    @bensonmoris463 Před 5 měsíci

    ee mungu mlinde mtumishi wako mwamposa

  • @odethadismas1410
    @odethadismas1410 Před 28 dny

    Mungu kupitia mkesha usiosahaulika niongoze nifanye mitihaniyangu nikiwa na afya na kufaulu'nafuta roho ya kufeli

  • @dorcasaruni9561
    @dorcasaruni9561 Před rokem

    Amen my Papa ❤

  • @user-lj2dp6tu7m
    @user-lj2dp6tu7m Před 8 měsíci

    Niswala la mda tu mungu akuongezee hekima

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Před rokem +2

    Kanisani ni sehemu ya kumtafuta Mungu na faraja ya moyo. Endeleeni kumtukuza Mungu

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před 9 měsíci +1

      Kwa huyo tapeli anaetumia nguvu za kuzimu au mwingine?

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc Před 8 měsíci

      ​@@Hussein-gx4quwaambie hao Wapuuzi Wanajizima data imani ya kweli gani Kufundisha mafanikio nasio kuonya zambi 😡😡😡

  • @zuhuraambari6799
    @zuhuraambari6799 Před rokem +1

    Mungu aendelee kukutumia sawasawa na mapenzi yake mtumishi wa Mungu, Mungu aendelee kukuweka kijana ili uendelee kuponya na kufungua familia nyingi zilizofungwa bb, neema ya Mungu izidi kukutunza 🙏

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 Před rokem

      Mungu wetu azidi kumtunza mtume wake kwa jina LA Yesu

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před 9 měsíci

      @@pendomarco8928 acheni ujinga huyo anatumia nguvu za kuzimu na majini kuangusha watu na kama unabisha uje nikupake mafuta original ya zaituni uende pale Ili ujionee mwenyewe mazingaumbwe ya huyo jamaaa

  • @user-mk5lj8dq7n
    @user-mk5lj8dq7n Před 4 měsíci

    Amen

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 Před rokem +2

    Wanaadamu wengi ni wavivu wa kufikiri, HUWEZI HATA MARA MOJA AKAMWAMINI YESU HALAFU USIWE MUISLAM.

    • @easymoneytzfx
      @easymoneytzfx Před rokem

      hatujakuelewa chief

    • @ireneassey2022
      @ireneassey2022 Před rokem

      Fafanua kidg

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Před rokem +1

      @@ireneassey2022 YAANI UKISOMA MAFUNDISHO YA YESU AMEFUNDISHA KWAMBA TUJIFUNZE KWAKE NA JAMBO LA KWANZA AMEFUNDISHA KWAMBA ILI UUPATE UZIMA WA MILELE :
      1, UAMINI KUWA MUNGU NI MMOJA TU
      2, KISHA UAMINI KUWA YEYE AMETUMWA NA MUNGU
      KWAMAANA YEYE YESU HAJA WAHI HATA MARS MOJA KUFUNDISHA KUWA YEYE NI MUNGU, WALA YEYE ANAPASWA KUABUDIWA, WALA HAJA WAHI KUFUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU,
      NDIO NIKASEMA: UKIMWAMINI YESU KWA UJUMBE ALIOKUJA NAO UTAKUWA MUISLAMU KWA SABABU MOJA YA IMANI YA WAISLAMU NI KUMWAMINI MUNGU MMOJA TU NA KUAMINI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU ALIYETUMWA KUFUNDISHA HABARI ZA MUNGU,
      KWAHIYO YOYOTE ANAE AMINI KUWA YESU NI MUNGU HUYO SI MFUASI WA YESU, AU ANAE AMINI KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU HUYO SI MFUASI WA YESU, AU ANE MUABUDU YESU HUYO SI MFUASI WA YESU
      IFAHAMIKE YESU MAFUNDISHO YAKE NI KWELU TUPU HAJASEMA UWONGO KATIKA MAFUNDISHO YAKE HATA MARA MOJA,
      REJEA
      YOHANA 17:3
      YOHANA 20:17
      YOHANA 5: 30......50
      LUKA 18:18
      MARKO 12:28
      MATHAYO 15:24
      EFESO 4:4
      NA SEHEMU NYINGI KATIKA MYFUNDISHO YA YESU UTAKUTA YESU ANA FUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA TU NA YEYE NI MTUME WA MUNGU TUU ( YAANI YEYE NI NJIA YA KWENDA KWA MUNGU).

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 Před rokem

      Ndo nn

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 Před rokem

      @@fumotv7914 UNATAKIWA KUMWAMINI MUNGU MMOJA TU WAPEKEE NA WAKWELI, NAKUAMINI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU,
      NAYE NI MWANADAMU KAMA SISI KAMA ALIVYO SEMA:
      NAMIMI MWANA WA ADAM NITAKETI KATKA MOYO WANHI MAUSIKU MATATU NA MICHANA MITATU.

  • @bibliakitabukitamu6015
    @bibliakitabukitamu6015 Před rokem +3

    UWONGO KAMA UWONGO UNAOITWA NEEMA

  • @user-wy1or9fm2s
    @user-wy1or9fm2s Před 26 dny

    Ukrisito siyo dini ya mungu

  • @halmashekalage2318
    @halmashekalage2318 Před rokem +1

    Mungu ambariki mwamposa amtumie atuhudumie

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 Před 8 měsíci

    Gozbet hakuna roho mtakatifu ni walewale wanaoigiza wokovu

  • @mberwasevelian7406
    @mberwasevelian7406 Před 25 dny

    Kupitia ibada hii napokea mambo mazur yanikimbilie nisipungukiwe kamwe Bali niongezeke Kila kukicha

  • @EsterJonas-ii4do
    @EsterJonas-ii4do Před 7 měsíci

    Nime fulahi sanaaaa amen nitafunguliwa kupitia mafundiaho haya

  • @barakabusima
    @barakabusima Před rokem

    Iko shida sana kwa hii tz...😂

  • @twinzfashion4534
    @twinzfashion4534 Před 9 měsíci

    amin

  • @ushindimbwilo1398
    @ushindimbwilo1398 Před rokem

    Mungu wetu hachanganywi na Vitu viwili

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Před rokem +3

    Watu wa MUNGU wanaangamia Kwa kukosa maharifa. Wanapenda miujiza wasiojua chanzo chake kuliko kumpenda MUNGU. imani Yao iwaponye.

    • @machachehardware5975
      @machachehardware5975 Před rokem +1

      Bado uko agano la kale kuna akili wametuzidi ndo maana tunatupa dongo

  • @shukulanichares
    @shukulanichares Před rokem +5

    Daa kweli mwamposa anapendwa sana anaponya kweli au utapeli

    • @sophiaremmy6326
      @sophiaremmy6326 Před rokem +2

      Hamna mwanadamu anaeponya watu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      lsaya 56
      10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
      hawana maarifa; wote ni mbwa walio
      bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
      hulala, hupenda usingizi.
      11 Naam, mbwa hao wana choyo
      sana, hawashibi kamwe; na hao ni
      wachungaji wasioweza kufahamu
      neno; wote pia wamegeuka upande
      wazifuate njia zao wenyewe, kila
      mmoja kwa faida yake, toka pande
      zote.
      12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
      tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
      kama leo, Sikukuu kupita kiasi

    • @msuhahappy7016
      @msuhahappy7016 Před rokem +1

      Wala aponyi yeye ila nguvu iliyopo ndani yako tatizo lolote linaisha ukiwa pale

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem +1

      @@msuhahappy7016 mungu ndio anaye ponya hata yesu alikuwa anaponya watu kwa uwezo wa mungu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      @@msuhahappy7016 Mathayo 15
      7 Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri
      lsaya kwa habari zenu, akisema
      8 Watu hawa huniheshimu kwa
      midomo; lla mioyo yao iko mbali
      nami.
      9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha
      mafundisho Yaliyo maagizo ya
      wanadamu.

  • @gracejulius23
    @gracejulius23 Před 13 dny

    Unahekima wewe kaka angu nimekupenda bule aisee

  • @user-wy1or9fm2s
    @user-wy1or9fm2s Před 26 dny

    Hao makafiri jamani

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Před rokem +2

    Wanajisumbua tu

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před 9 měsíci

    Da huu mkesha ulikuwa na watu balaa.
    Nilifika niliona na tumepokea

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi Před 3 měsíci

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Před rokem

    Mmh, Islamic is different and Unique.

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 Před rokem +2

      Nusu ya hao watu ni islamic

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 Před rokem

      @@fumotv7914 sio kwel, stop lyin, au kisa ukisikia muhammad bas unaclam ni muislam!

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před rokem

      ​@@worldhappiness1181ni waislamu usibishe sababu tunaishi nao huku mitaani tena siku 1 fanya kwenda maeneo hayo usishangae ukakutana na shehe wako kabeba mafuta

    • @abdul-hamidali6534
      @abdul-hamidali6534 Před rokem

      ​@@mcback4384sio muislam bhana rabda waislam jina hujui maana ya uislam kausha

    • @jacklinecharles6428
      @jacklinecharles6428 Před rokem

      Hahaaaaa nusu yao na robo tena ni Muslim believe me nenda uchunguze! Hakuna watu wanaodondoka mapepo kama hao...ila Mungu anawaponya sanaa na shuhuda ni nyingi.

  • @evelinadodie9443
    @evelinadodie9443 Před 6 měsíci

    Umesema kwa mafumbo ila mi nimekuelewa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Před rokem +5

    Mimi siyo shabiki wa Mwaponsa. Lakini kuhusu watu waliyokufa Moshi wengi wao walikuwa wagonjwa sana. Hivyo wakashindwa kustahimili msongamano kutokana na udhaifu wa miili yao. Wanaosema ni kafara wajiulize kabla ya Mwamposa marehemu hawakuwepo?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      Nawale walio kufa kenya walofunga mpaka wakafa vipi

    • @yahwejoymkumbo9180
      @yahwejoymkumbo9180 Před rokem

      Wape ukwel na Hawajui pia shetani hataki kazi ya Mungu iendelee mbele lazima atafte tu namna ya kuchafua jina la Mtumishi wa Mungu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      @@yahwejoymkumbo9180 lsaya 56
      10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
      hawana maarifa; wote ni mbwa walio
      bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
      hulala, hupenda usingizi.
      11 Naam, mbwa hao wana choyo
      sana, hawashibi kamwe; na hao ni
      wachungaji wasioweza kufahamu
      neno; wote pia wamegeuka upande
      wazifuate njia zao wenyewe, kila
      mmoja kwa faida yake, toka pande
      zote.
      12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
      tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
      kama leo, Sikukuu kupita kiasi

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      @@yahwejoymkumbo9180 lsaya 56
      10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
      hawana maarifa; wote ni mbwa walio
      bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
      hulala, hupenda usingizi.
      11 Naam, mbwa hao wana choyo
      sana, hawashibi kamwe; na hao ni
      wachungaji wasioweza kufahamu
      neno; wote pia wamegeuka upande
      wazifuate njia zao wenyewe, kila
      mmoja kwa faida yake, toka pande
      zote.
      12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
      tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
      kama leo, Sikukuu kupita kiasi
      Kazi ya shetani inaendelea tu km kiti chake cha enzi kipo kanisani

  • @yohanarashidi7434
    @yohanarashidi7434 Před rokem

    Nataka kupona amina

  • @ZuhuraMlaki-i3t
    @ZuhuraMlaki-i3t Před 29 dny

    Napokea upako na kufuta kesi

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před rokem

    Wengi hapo nisis waslam Mungu atusameh

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 Před rokem

      Akusamehe kwa lipi ?
      Akati ukifika hapo masumbuko yooote yanaisha .
      Mungu ana fyoonza masumbuko yako yotee.
      Alianza muislam mmoja kukanyaga pale kwa madhabahu.
      Leo wanakanyaga waislamu laki moja.
      Ndio maana anasema
      "Njooni kwangu wote msumbukao, hauwezi kufika kwa baba pasipo mimi.
      Mimi ndimi njia ya kweli na ... "

  • @user-wy1or9fm2s
    @user-wy1or9fm2s Před 26 dny

    Mathayo 24 na Wakorintho 15 :18

  • @Bless510
    @Bless510 Před rokem

    Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 Před rokem +9

    Watu mataira sana dah wanampa tuu utajiri

    • @Barakaclassic
      @Barakaclassic Před rokem +2

      Kafungue na wewe lakwako upate utajiri kenge wewe😅😅

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      @@Barakaclassic wenzako kenya wameambiwa wafunge wafe pasta kawatowa mafigo na viungo vya ndani vyote kaenda kuuza kisha kawazika wasokuwa na akili

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 Před rokem +1

      ​@@alzawahirabdallah2299
      we mwenye akili kulikoni unalala njaa 🤣🤣🤣

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 Před rokem +2

      Waislamu walio wengi !
      Halafu wanafunguliwa.
      Mambo yanakuwa mazuri.
      Huyu Mungu huyu ni mkuu sanaa na muweza ❤🙏🙏🙏
      Hachagui dini wala dhehebu ❤ ❤

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Před rokem

      @@nuruworldinsight2957 allhamdulillah namshukuru mungu kwa kunipa riski nakula vizuri allhamdulillah

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 Před rokem

    Hakika huyu nimtumishi wa mungu

  • @user-qr5kz3fh4w
    @user-qr5kz3fh4w Před rokem

    Yani hao wote wanataka aman moyono

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Před rokem +3

    Watu wanafata miujiza kuliko kumfata mungu hapo lazima ukutane na watumishi fake

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Před rokem +1

      Mungu karuhusu miujiza itendeke kwa ajili ya kuinua IMANI za watu. YESU slide a hivi “mkiomba chochote kwa jina langu,Baba wa Mbinguni Atalanta” sasa wewe Mkristo gani usiyeamini miujiza ya MUNGU?? Hilo ni PEPO lenye mkia 😂😂

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 Před rokem

      @@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly mungu hatoi miujiza kishamba kishamba ivo lazima uanze mchakato na huo mchakato uwe na mwendelezo mtumishi mwenyewe anakwambia dini zote njooni ili apige sadaka zenu MAISHA yaendelee

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Před rokem

      @@shijandobehe4953 Acha wivu wenzako tunafanikiws kwa kujiungamanisha tu nyumbani. Haya sadaka hiyo anaipataje? Kutoa ni Mungu tu akuguse wala hayuko pale kwa ajili ya pesa. Huo ni wivu wa kishamba sana,hata shetani anakushangaa 😂😅🤣

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 Před rokem

      @@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly sawa bro komaa ila hata yesu alisema kweli lakini walimuweka msalabani

    • @yahwejoymkumbo9180
      @yahwejoymkumbo9180 Před rokem

      ​@@HiteshkumarDhirajlal-nh3lyAsante Hawajui hao

  • @OttienoJohn
    @OttienoJohn Před měsícem

    Sebo adam

  • @todahtv2407
    @todahtv2407 Před rokem +1

    Aminaa

  • @gladnessterry8430
    @gladnessterry8430 Před rokem

    Baba tunakupenda mno

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 Před rokem +2

    Hao watu wanavutwa na yale mafuta au vp 🤔🤔

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Před rokem

      Tunavutiwa na INJILI ya KWELI 💯. ARISE AND SHINE TANZANIA ni MADHABAHU iliyo hai,Haina fitina,ubaguzi,wala,uchochezi,pale Ni Neno la MUNGU ALIYE HAI na MAOMBI kwa kwenda mbele.

    • @msuhahappy7016
      @msuhahappy7016 Před rokem +1

      Kama mafuta yanaweza kumvuta Mtu bas n raha wakati unafika mtajua kwamba hiki ni chanda cha Mungu na Mungu anamtumia

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Před rokem

      @@msuhahappy7016 Ameeeeen!!!👏👏👏👏👏👏👏💯

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Před rokem +4

    Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa

    • @machachehardware5975
      @machachehardware5975 Před rokem

      Maarifa yapi

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 Před rokem

      @@machachehardware5975 ndo uyatafte asa ili uyajue ni yapi

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu Před 9 měsíci

      @@shijandobehe4953 malifa ni ujinga WA kutojua kuwa huyo anatumia nguvu za kuzimu kuangusha watu au nyie mlijua ni ujinga gani

  • @user-wf9nz2hd5u
    @user-wf9nz2hd5u Před rokem

    Hekima ya roho

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Před rokem

    Nilibarikiwa na nimepokea

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 Před rokem +2

    Swali ni kwamba alishawahi kuperfom kwenye umati mkubwa kama huo jibu ni hapana hapo ndio mara yake ya kwanza ila naona anakata viuno tu hapo anashindwa kujibu vizuri 😂

    • @Bambagatz
      @Bambagatz Před rokem

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kweli anakatika😂Viuno

  • @servantofalmightygoddranth2511

    MUNGU yupi? Maana kuna "MUNGU" KWA MAANA YA MUNGU ALIE HAI JEHOVAH, na kuna "mungu" yaani lucifer MUNGU wa dunia hii,kuhusu iyo gharama uliyosema kalipa ni kweli kalipa maana 2020 kuna watu zaidi ya 20 moshi walikufa wakiwa wanakanyaga mafuta ile ni moja kati ya kafara zake,mchezo wa shetani kuliingiza kanisa kuzimu ULISHASHINDWA KWA JINA LA YESU ALIE HAI.

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Před rokem

      Kwenye umati ukijilegeza utakanyagwa tu huna ujanja.Moshi Ni nyumbani na hakuna kafara iliyotolewa ,kwani kwenye msiba wa Mh.JPM watu hawakufa!!!!!! Acha kujipotosha fikra.

    • @shubirarutaihwa4829
      @shubirarutaihwa4829 Před rokem

      Kwa kweli watu wengi wanaangalia kwa kukosa ,maarifa hii Ni biashara tu hakuna Cha zaidi ,wakishtuka muda umekwisha

    • @graceibrahim4924
      @graceibrahim4924 Před rokem

      @@maswamills3161 umejibu vizuri hata Mungu mwenyewe alijitoa kafara kupitia YESU KRISTO MNAZARETH Mungu hapiganiwi anajipigania

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 Před rokem +2

      Watu walikanyagana hata kwenye meshi ya bure ile ya Yanga wale wa Algeria au umesahau ile nayo kafara ya Yanga???

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Před rokem

      @@magrethmbuma3045 swali tamu Sana👏👏

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 Před rokem

    Wamama na wanawake ndio wengi

  • @alicejumaa89
    @alicejumaa89 Před rokem +3

    Miujiza sio mbingu tafuteni Yesu sio miujiza tu.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Před rokem +5

    Nyie wakristo hamshtuki? Wanzungu wameshajua ukweli wanakimbia nyie ndio kwanza mnadanganywa kama Watoto wadogo mnazolewa mnakwenda bila kufikiria

  • @ghatimakuri
    @ghatimakuri Před 5 měsíci

    amina nampenda sana

  • @MoureenAbdallah
    @MoureenAbdallah Před rokem

    Kwan yeye mwamposa amesema mumuamin yeye msiropoke na kabla halijakukuta usiongee ukienda kwa mganga una mwamini nani

  • @callmelwizz553
    @callmelwizz553 Před rokem

    Kazi ya shetani ni kuvuruga kanisa na hii ni mbinu moja yake watu wanapotezwa pasina kujua 😢 mungu awafungue akili zilizo fungwa na hawa mawakala wa shetani

    • @godlikedeodatus9274
      @godlikedeodatus9274 Před rokem

      We tuoneshe Kaz y Mungu ni ipi bas ,,kama Kaz nzur za kuponya watu n za shetan ,nnarudia tuoneshe Kaz ya Mungu .kama hii n ya shetan .kama hamwan yy ziaminin Kaz , Mwiz anakuja kuiba kuharibu na kuchinja Bali yeye Yesu alikuja Ili tuwe na uzima tele ,kama kuwa na uzima n Kaz y shetan ya Mungu ni ipi?

  • @LomayaniLukumayi
    @LomayaniLukumayi Před 2 měsíci

    Amen

  • @ZuhuraMlaki-i3t
    @ZuhuraMlaki-i3t Před 29 dny

    Napokea upako na kufuta kesi