Kundi la vijana limeonekana jinsi wanavyotekeleza wizi kwenye magari mjini Mombasa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 08. 2024
  • Polisi mjini Mombasa wanawatafuta washukiwa walionaswa na kamera za cctv katika mtaa wa kifahari wa Nyali wakivunja gari lililokuwa limeegeshwa na kutekeleza wizi. Watu hao walionekana kuwa kwenye kundi lililojipanga kwa uhalifu, kama Francis Mtalaki anavyosimulia

Komentáře • 69

  • @lucymuhinga6165
    @lucymuhinga6165 Před 3 lety +20

    Congrats to officers 4 wearing face masks properly.

  • @josephakure4793
    @josephakure4793 Před 3 lety +12

    Let it be a warnimg to others who have habits of breaking into&stealing valuables from parked vehicles their days are numbered............

  • @manofreality3656
    @manofreality3656 Před 3 lety +2

    sasa hii c niujinga.. ju wakiona hii news c wataroka wote.. hii lkua police wafanye uchunguzi kimya kimya hadi wakiwashika ndio waekekwa news.. cz wat if izo number za gari pia iwe ni fake? mi naona hapa mumefail.. na ka unakubaliana na mm gonga like..

  • @babrambula9367
    @babrambula9367 Před 3 lety +10

    mtu atabeba vitu zikwamilie kwa mikono.

  • @alitwalib19
    @alitwalib19 Před 3 lety +2

    Hao ni vijana ukiona🤦‍♂️

  • @collinswinjila1151
    @collinswinjila1151 Před 3 lety +13

    why do these reporters have to speak in that weird manner, wakiongea normally ujumbe haitafika, am sure kwa nyumba yake huwa haongei hivyo

    • @stonecold4630
      @stonecold4630 Před 3 lety +3

      Especially when they are finishing. It is so disgusting

    • @josephkamaumbugua5572
      @josephkamaumbugua5572 Před 3 lety +1

      The voice is very disgusting

    • @picsandvidstv1348
      @picsandvidstv1348 Před 3 lety +3

      I thought I was the only one who gets irritated with this kind of reporting! I swear most of the times I don’t watch it till the end because of this! It sucks for sure!

    • @josephkamaumbugua5572
      @josephkamaumbugua5572 Před 3 lety

      @@picsandvidstv1348 very few broadcasts and reporters have good voice. Mary atwoli is the worse.

    • @picsandvidstv1348
      @picsandvidstv1348 Před 3 lety +1

      Joseph Mbugua But reporters are the worst. Broadcasters are better off, at least you could here they aren’t exaggerating but on the other hand the reporters, 95 percent of them have that weird trend!😭

  • @sharonckipchumba
    @sharonckipchumba Před 3 lety +2

    It’s really sad !!I hope they are found!
    The only best practice to avoid /prevent the is to lock the valuables away out of sight.Put them in the boot

  • @ghettobuddy4432
    @ghettobuddy4432 Před 3 lety +1

    Every Kenyan should arm themselves to protect themselves and loved once. Sep 2020 the graph of theft cases have risen to its pick point jh. Mungu okolea sisi

  • @faithmaina3796
    @faithmaina3796 Před 3 lety +2

    Babangu aliimbiwa hivyo. They follow you from bank to your car, wanacheck umeweka pesa ndani ukitoka they break into the vehicle and steal. Hawakuvunja but walifungua I don't know how. Professionals

  • @odormangae9533
    @odormangae9533 Před 3 lety +2

    Irrelevant advice from the police, tell people to stop leaving valuables in their cars in the parking, that’s the surest way of attracting thieves

  • @estradio6640
    @estradio6640 Před 3 lety +1

    Uliskia wapi ati hawa ni "vijana"?

  • @gabrielmulu1324
    @gabrielmulu1324 Před 3 lety +1

    Lack of employment in Mombasa because Uhuru decided sgr was more important.

    • @jeffchurum1431
      @jeffchurum1431 Před 3 lety

      Thats not an excuse hata kitambo kulikuwa na railway

  • @moyosafibyjohnblessings1306

    Kunasa hawa wezi, sio kuonyesha kwenye televisheni kabla muwashike maanake wataona hiyo news na watoroke, msipoonyesha watarudi na itakuwa rahisi kuwanasa. Already kwa sasa wamejificha.

    • @Anonymous-km6me
      @Anonymous-km6me Před 3 lety

      Inna, umeongea ukweli. Wanahabari ni washenzi sana.

    • @munenex
      @munenex Před 3 lety +1

      Mwenye gari ndio atafinywa makende mpaka aseme nani alikuwa na gari

    • @moyosafibyjohnblessings1306
      @moyosafibyjohnblessings1306 Před 3 lety

      Ni vizuri msitoe habari kwanza kwa kazi kuwa rahisi maana waweza kuwa na ujuzi kuliko askari wetu, ama wezi hao walikuwa wanajeshi au afisa wetu, wajua hii nchi yetu kwa sasa....

    • @shemwaweru3049
      @shemwaweru3049 Před 3 lety

      Buda saa hii number plate imeleak.........so kama hawatachange watashikwa

    • @robertmuisyo8882
      @robertmuisyo8882 Před 3 lety

      @@munenex Awa Dci itawatrack na wataongea ukweli

  • @johnchege9314
    @johnchege9314 Před 3 lety

    They shouldn't be arrested but shot on site

  • @mokayaken2497
    @mokayaken2497 Před 3 lety

    These cases are rampant in nyali centre and city mall. Customers from diamond trust bank fall into this trap most. Something officers were unable to find the real cause.

  • @majidsaid08
    @majidsaid08 Před 3 lety

    Wakitiwa mbaroni pia tuonyeshwe kwa TV sio twaambiwa watafutwa kisha stori imeisha..... hao ni majambazi wakubwa tena kuna umwezekano sio wa mombasa wametoka nrb. Na gari pia wamekodisha au pia wameiyiba watashikwa vipi??? Tangu niskie uwizi wa mabenki na magari na manyumba sijaskia hata mmoja ameshikwa waenda wapi???

  • @njugunamuigai4542
    @njugunamuigai4542 Před 3 lety

    The cameras can't prevent stealing someone should be watching

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 3 lety

    Ata Wenye apo wamejiset na motorbike pia wao ni wezi

  • @jameskimani6850
    @jameskimani6850 Před 3 lety

    Huyo mlevi ameenda zake speed yenye gari imeamshwa hakubebwa

  • @aliathman9548
    @aliathman9548 Před 3 lety

    Lock za gari zimekua zikiibwa tu mchana mombasa yote.....fielder wanaenda nayo yote

  • @ashamakokha4022
    @ashamakokha4022 Před 3 lety +3

    Shida yangu ni how did they knew kulikuwa na kifurushi humo 🤔🤔, na huo ujuzi ni kama wamekolea kwa mda mrefu

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 Před 3 lety

    Allah kareem

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 Před 3 lety

    Lakini watu hawaogopi vitu za wengine 😒😒kwanza mombasani unaiba huogopi vitu visikwame kwa mkono.

  • @jameskimani6850
    @jameskimani6850 Před 3 lety

    Hiyo siyo Mambo ya kutangaza ilikuwa inafaa washikwe kwanza.kenya polisi wengi hawakusoma ndio maana wanafanya kazi kiunjinga .inamaana gani kutangaza?

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 Před 3 lety

    Wanafaa wanapigwa na kuchomwa hapo hapo. Jasho ya mtu inapotea tu ivo na hawa mafala

  • @johnndirangu1053
    @johnndirangu1053 Před 3 lety

    Noma

  • @ramamwakazy961
    @ramamwakazy961 Před 3 lety

    Amevunja kioo ama amefungua mlango wanyuma

  • @theunseen5146
    @theunseen5146 Před 3 lety

    Vijana!!! ...?

  • @suhelmohammed341
    @suhelmohammed341 Před 3 lety

    Dahh wanezidi

  • @khalidmbwana114
    @khalidmbwana114 Před 3 lety

    Uchunguzi bado unaendelea

  • @mabyserolouchcraig2431

    Mombasa yawa

  • @aggie4189
    @aggie4189 Před 3 lety

    Shenzi jinga nyinyi mnaonyesha ss watajificha

    • @amatabekaniatv
      @amatabekaniatv Před 3 lety

      Its a combination of greed and laziness. A very bad disease.

  • @josephmwangi9556
    @josephmwangi9556 Před 3 lety

    Sad

  • @briankipngeno365
    @briankipngeno365 Před 3 lety

    Noma🐰🐰🐰

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 Před 3 lety +3

    Hii ndio kenya yetu

  • @Shiro-ig5lk
    @Shiro-ig5lk Před 3 lety

    Why steal?

  • @Mosh-p5f
    @Mosh-p5f Před 3 lety

    Pesa haramu huleta laana mpaka kwa watoto wa watoto wako.. Kula jasho yako hapo ndipo mtu hupata baraka

  • @H-moneybags
    @H-moneybags Před 3 lety

    Kwanini uibie watu wanao ngangana kama wewe umeshindwa

  • @osmanissa1631
    @osmanissa1631 Před 3 lety

    Sahi wanacheki news 😂😂😂