MSIMAMO WA MALAIGWANANI KUHUSU NGORONGORO;Watoa tamko zito

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024

Komentáře • 24

  • @rashidiwilliam8469
    @rashidiwilliam8469 Před 2 lety +4

    Mnamjua raisi wenu ni mtu wa aina gani? Huku Zanzibar ni kawaida kunyanganya mali za wananchi wao, bara mnliona geni hakuna uongozi ni utawala wa kimabavu ndio uliopo juu R.I.P magu

  • @heredilematuru7814
    @heredilematuru7814 Před 2 lety

    Asante sana watetezi tv kwakua pamoja na sisi wamasai wangorongoro 🤙🤙🤙

  • @twahathomas3514
    @twahathomas3514 Před 2 lety +1

    Hongera alagwanani wa wamasai mungu akubariki. Yule mwarusha si laigwanani na wala hakuwa mkazi wa ngorongoro inashangaza serikali ni kwa jinsi gani wanaweza kuwalipa matapeli hela ili wajifanye ndo wahusika wakati ni wa masai wa monduli.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před 6 dny

    Wanafikiri Wamasai hawajielewi. Mnamsimamo mzuri san.chukuen maua yenu.Mnajitambua kuwa ni haki yunu ya msingi.

  • @samwelikivuyo9730
    @samwelikivuyo9730 Před 2 lety

    mungu atusaidie sisi wamasai maana tunaonekana kama wanyama

  • @lokeredavid9754
    @lokeredavid9754 Před 2 lety

    Kama wamasai wanaoifadhi wanyama kuliko wabantu wanadharauliwa Kwa kupea lisensi waarabu kuwinda wanyama ambao hao wamechunga ni Bora wawaue hao wanyama na ardhi iwe Yao

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 Před 2 lety

    Kiukwelii hilii Mh Waziri Mkuu wetu awe nalo makini litamvunjia heshima. Inaonesha hii Nchi nguvu ya wafanya biashara imerejea kwa kishindo...

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 Před 2 lety

    Simamen imara wakikianzaisha la nahuku tunaliamsha la hamza tumeshachoka na uongoz wakijinga

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Před 2 lety

    Waelewe kwamba mungu aliumba wanadamu na makazi yao wamasai ni wafugaji tangu asili tunawategemea sana kupata kitoweo msiwafanye wakimbizi dnani ya nchi yao

  • @vecksonmakafu5832
    @vecksonmakafu5832 Před 2 lety

    Polenj Sana tabu imerudi

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 Před 2 lety

    Chief Mkuu si ni Hangaya. Sasa hapa inabidi machifu wazungumze

  • @yacobmepukori2250
    @yacobmepukori2250 Před 2 lety

    22

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 Před 2 lety

    Mtazamo wangu ni kwamba kama taifa busara itumike na haki ipatikane kwa jamii husika. Mimi nashauri serikali kwakuwa kuna mapori mengi tengefu na mengine yamepoteza hadhi, wagawe kwa ajili ya wanangorongoro. Na wawajengee nyumba na miundombinu mingine.

  • @magdalenamaganga4791
    @magdalenamaganga4791 Před 2 lety

    Huyumpambavu anaeshindwa,kutoamchango,wake,lakini,mpaka,amseme,nampendwa,wetu,jpm,mjingasana,kamawewe,,nimmojawamafisadi,pambana,nahaliyako

  • @paulosumayakivuyo1312
    @paulosumayakivuyo1312 Před 2 lety

    Matonyoko ekaje maha kanyoro olaigwanan

  • @johnodongo110
    @johnodongo110 Před 2 lety

    Hivi kweli leo kuna kiongozi anayeweza kuwa na huruma na mjakazi wake kweli? Kila nafsi itaonja mauti tuuuuuu.

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 Před 2 lety

    Tanzania na rasilimali zako ni kwa ajili ya watanzania

  • @kimosamingwa3432
    @kimosamingwa3432 Před 2 lety

    Umoja ni nguvu,💪

  • @jigajrphil1344
    @jigajrphil1344 Před 2 lety

    Asimamie umoja na mtengamano alio uomba kwa Hangaya ni Mfalme wa Masai,
    Kuliko kuwaua ni bora haruhusu wasiwe watanzania na wabaki na eneo lao wajitegemee apo kwenye poli lao bila kuingiliwa, waishi kama walivyo zoea,
    Ili muweze kuwaweka katika kundi la wanyama na sio kuwafanyia unyama.

  • @petrokashukashu5785
    @petrokashukashu5785 Před 2 lety

    Semeni rais achaupotoshwaji

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Před 2 lety +1

    Nyie komaeeni Tu wamasai hamjawai kuniangusha

  • @jamaliahmadi1383
    @jamaliahmadi1383 Před 2 lety

    Acheni kunyanyasa wamasai