uko vizuri sana dada unamuelekeza mtu hadi anaelewa ukotofauti sana na wapichi wengine sehemu nyingine wanaficha unabaki ukiona wakimalizia lakini wewe nitofauti sana mungu akuzidishie mara dufu
Duuuuu Kochi mili siifaham, uwe unafafanua vizur basi viungo ambavyo sio maarufu sana kwene jamii zetu za mtaani uku ili tujue jinsi ya kuvipata ama mbadala wake. Asante kwa somo zuri
Nimekupenda bure dada na nimefurahi kwa kuwapa fursa wasio na kazi mana wanawake wengne wamezoea kuomba hela kila siku kwa wanaume ndo vile inafika mahala mwanaume anakuchoka changamken kina dada achen usister du! Uzeni bajia mpate hela ya mawigi hahahahahaa
Nimependa Sana barikiwa.
I like your recipe 🥰🥰🥰
Barikiwa dada,Mungu mwenyeenzi akuzidishe akupe afaya na uzima.Aminaa.
Asant kwa upishi wa bajia pia shukran kwa advice I really love u mom # long live to benefit more from u
Fantastic recipe. God bless you
Mashaa-Alaah Dada, mimi ni shabiki wako katika vipindi vyako vya Mapishi mbalimbali
Huyu mutu aliegundua utube abarikiwe sanaa, humu tunajifunza mengi mema na yenye faida, hongera mamy na ahsante kwa somo
Umeonaee
@@asmahtamla4749 kabisaaa inatusaidia mno kwakweli, japo hii ipo huko ITV
uko vizuri sana dada unamuelekeza mtu hadi anaelewa ukotofauti sana na wapichi wengine sehemu nyingine wanaficha unabaki ukiona wakimalizia lakini wewe nitofauti sana mungu akuzidishie mara dufu
Mno aisee
Kwan bagia hauwekii Amiraa jmn naomba kufaham
Mashaallah Shukran sana kwa maelezo mazuri.
Thanks for the shearing 👍
If you cook them quikly do potatoes get soft - message from UK enjoying your cooking
Duuuuu Kochi mili siifaham, uwe unafafanua vizur basi viungo ambavyo sio maarufu sana kwene jamii zetu za mtaani uku ili tujue jinsi ya kuvipata ama mbadala wake. Asante kwa somo zuri
Jackson MKUYE ni majani ya giligilani
Hello dear..love your recipe..i careless about the language!! Love from US
Maa Shaa Allah.
Naomba upishi wa sambusa za nyama.
Very nice for sharing greeting for Yemen
Nzur umeeleweka asnte sana
Mashaallah nimeapenda mapishi yko dada shukran
Thanks you sooo much Dada!I have been longing to know how to cook Bajia.Mungu abariki mkono wako.keep up amaizing People.
Asant san ❤️.mungu akubarik bwamafuzo
Beautiful mom I love you from United States 👏 that true women wake up 😏😉
Mashaallah
Manshaa Allah shukran momy
Nice napenda sana bagia za dengu😋😋😋
Safi sana nime jaribu zimekuwa tamu kweli, Asante sana Aunt.
thanks for empowering women
waooooooo, ninavyozioenda , leo nitapika zangu .
nice nimependa
Asante kwa elimu nzuri nitafanya kwa biashara pia kwa familia yangu
Anafundisha vzr sanaa she's de best
Bagia nzuri sana hizi ! Nakushukuru sana
Shania thanks for sharing.
So nc jamani napika kwa sauti💕💕💕💕💕💕💕
Asante dada umenifanya niwe mjasiriamali now natumia kama chanzo cha mapato.
I just love the recipe
Mashallah badia za kunde pia
Uko vizuri dada asante
Thanks for the sharing
So nice,I like it
mama asante mm nakuunga mkono natengeza tens wikii hii nabizaa zingine nishaandaa, asante MUNGU akubarki
Maishaallah najuwa kuzipika lakini unaelekeza vizuri nimekupenda kweli Maishaallah ,natamani kweli nione jinsi unavyopika biriani
Napenda sana mapishi yako, you’re good,I’m always trying out your wonderful recipes😊
shukran my love nimefurah sana leo
Ahsante saan dada Sasa Hivi Napika bagia Nzuri saan
Allah akujazi kheri
Masha Allah shaida zinaonekana tamu sana
Woooow ubarikiwe dada
Mashaallah
It v mapishi ni zuri inatufunza👍
Napenda mapishi yako hongera mama
Ahsante mama akee
Khongeran sana kwan mko vzr sanaa
Mashallah asante
Asant sana dada
Ukty wetu we love you 👌
asante Dada.
Mashaa Allah
Nimezipenda sana bahia dada
Well done Shaida and Sunday.
ĺ I nipo v9v
vv
v high v v
Napenda mapishi yako rahisi sana
Uyo anamaliza😭😭😭😭mkaka mjeshi 🤣
Oooh! Kumbe Chick pea kwa kiswahili ni dengu!! sitasahau...
Kazumi Harada garbanzo bean Jina lingine
shukran mungu akuhifadhi shaida
Nimekupenda bure dada na nimefurahi kwa kuwapa fursa wasio na kazi mana wanawake wengne wamezoea kuomba hela kila siku kwa wanaume ndo vile inafika mahala mwanaume anakuchoka changamken kina dada achen usister du! Uzeni bajia mpate hela ya mawigi hahahahahaa
😂😂😂😂😂😂😂we jamn
Et apo kweny mchanganyo wa kijani sjaelew jmn
Waoooo,,thank you
Santee mamii kwa somo lako nmefaid saaaana
Mashallah anafinfisha vizur mtu unaelewa hata kama kichwa yako ni ngumu😂😂😂😂
Mama upo vizuri
Mtangazaji unaongea mno
kwa kweli
hata mimi nimependa sana asante mumy
Woow nice
Mashallah
Asant kwa somo.mm natengeneza za biashara ila kipmo cjapatia za sh mia nafanyj
Nice
Mashaalah
asante mama kwa kututia moyo thank you Darling😘😘👏👏👏
Asante sana kutufundisha
Asante kwa mapishi rahisi
Thanks. nitajaribu kupika.
Iko vizuri mama
Nimependa
Mbona ujunga jamani kasema kwa upana hamufahamu si mkate ka mimi SiO hamira 🤣🥶
Na wengine huwa wanaweka hamira, sijui utofauti unakuwaaje hapo
nashukuru nimeelewa
nashukuru nimepata ujuzi.Lakini naomba maelekezo ya jinsi ya kupika tambi za dengu tafadhali.
Maashaallah
so deliriously ,and I'm great to know that
Felister Philemon asante mamy
Ma shaa Allah nimejifunza namie napika jazakallah khery
Nimefurahi sana kwa hili pish
Mi naja kula nilipe mana jiko mmm sinaga sahau nilizonazo mara bada ya unga wadengu nikaweka ngano
Nmepata ujuzi hakika
Woow asante sana hapa nimetoka kupika zimenyonya mafuta balaa sitakosea tena shukrani
nzuri sana
Asante kwa kunifunza
Vip kwa wale wanaoweka hamira
niceee
Nimejifunz asant sana
Zikilala zinafaa dada yangu
Ahsante sana kwa mapishi mazuri,nimejaribu ni tamu sana Mungu akubariki
Karimati
Asante sana
Asante nimeelimika
Asante kwa mapishi mazuri. Ila zingatia mavazi ya mikono mirefu jikoni ni hatari..ikishika moto?
Nmepend Asante mama
na sisi tunaotumia dengu kama mbegu na sio unga wake tunaanzaje?