TAZAMA RAIS SAMIA NA MTOTO WAKE WANU WAKICHEZA MUZIKI HARUSI YA MTOTO WA RAIS MWINYI
Vložit
- čas přidán 11. 09. 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Raisi wetu nakupenda nakukubar mungu akutunze
Hakuna kama mama❤
Raha ya harusi sherehe tumuache dr hussen asherehekee jmn 😊mashallah imefana mdumu milele inshaallah ❤
Allah akuongoze ujifunze uislam wako ten vizur
Congratulations to you our president with your daughter ,be blessed !
Asante tuko pamoja .
Mashallah
manu kama vile kunamtu anamwangalia hamwon ila mmependeza sana hongeren
Mungu hayupo hivyo kwahiyo watu wasicheze jamani. Mungu yupo hivyo.mabaya ni mengi huko mbinguni hawaendi kwa dini.
Ooooh! Waooooo, Mama na Mwana pendeza sana. Mama nakukubali mno maana wakati wa kazi ni kazi tu na Social time kama kawaida. 😂
Subuhanallah enyi wanaadamu mumehurika na dunia hii ya mpito asghafirullah yaarabi
Kwenda zako
Mola kakataza wapi watu wasiburudike?? Hamna haramu hapo
Mama samia Hoyee
Beautiful ❤️❤️🫶🫶.
Sasa huyo mwanao mtandio vipi au hata wewe mnafiki AU pesa dini iko wapi
Naomba niulize . Huyu ndio bi harusi wa kwanza kuingia ukumbini kichwa wazi ?
Mama babayuko wapi jamn mngependeza sana mkiwawote
Hongereni nyote
Mama baba Yuko wapi?
Huyu hapa🚶♂️😂😂😂
Wanu anafaa kua askari maana haja kaa kizembe
😂😂😂umeona
Pesa zetu za kodi munazifanyia ufisadi 2
Acha ujinga na wewe ungesoma
Kwenye arusi ujiinamie na msiba ufanyeje? Wakati wa kufurahi furahi tuu. Na nafasi ya kutumia ukiwa nacbo tumia maisha ni hapa hapa duniani.
❤❤❤
Mama samia baba yuko wapy
Huu nimsiba mkubwa
Mbona mwanawe hana hijabu😂
Allah awaongoze
Ndio wachoweza hicho 😢
Mama yetu mpendwa ulipendeza sana,,
Mama kwel unaupiga mwing kila idara
Kazaa nae watoto wawil
kwa wanawake hawa wakiislamu angalau wajifunze kwa mama,
yaani mama hata aende ulaya humkuti kukaa kichwa wazi.
Labda bmkubwa ana upala
Mmashida gani na maisha
Ningelikuwepo ningelicheza na yule Mpambe wa Rais Samia
Maana naskia ety "Chezeni wawili wawili" nisingelipenda awe mpweke😮
😂😂😂😂😂
Mhuu !
Tanzania hoyeeeeeeeeee
Raha rahani❤🎉
😢😢😢
Raisi wawatu
Hii dunia tutaiyacha tufanye ya kumfurahisha ALLAH. kwenye uislamu hakuna miziki
Wenye hela huwa wanajisahaulisha ili waweze kutumia hela. Tuombe Mungu
Kumbe
Upo saa hii mziki na muislam sio mahali pake. Allah awafanyie wepesi. Mtihani!!!
Sema hela huna ,hata kaswida ni muziki pia mpendwa
@@emmadora7848 hachezi mziki lakin anazini ,anasengenya
Kwan kucheza music dhambi mbona waislamu madada zenu vigodoro kutwa hamkemei wivu tu
Mme wako Yuko wapi bana
Wamechemka kwa kel
Hakuna mila na disturi za kiislam hapa ni ukafiri mtupu hakuna sheria ktk uislam mwanamke wa kiislam kukaa kichwa wazi
Wanu ni usalama Mana sio kwa mzunguko huo wa shingo
Nakupenda sanaaaa Rais wangu ❤
Kuleni raha zamu yenu hii
Wanu mume wake mchengerwa
Mchengerwa yule waziri wa TAMISEMI au?
😂😂😂😂😂
Nakubali🎉🎉🎊🎊🎊💞💞💞🎈🎈🎈🎈💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🔥🔥💯
Kwani wanu kashaolewa au bado
Muulize mama
Mimi ndie baba yake mdogo lete mahari tukuozeshe
😂😂
kuna mtu kasema mumewe Wanu ni Mchengerwa wa TAMISEMI
@@jedidahbintidaudi8241 mtasutwa
Mbt
Huna makuu mama
Raisi wetu nakupenda nakukubar mungu akutunze