KWANINI KUULINDA MOYO? Somo na Mwl.Dinu Zeno.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 09. 2024
  • Kwanini kuulinda moyo?
    Chemichemi za uzima ni zipi?
    Tunalindaje moyo?
    Haya na mengine mengi karibu sana kujifunza pamoja nami. Amen na asante sana.
    TANGU KIPINDI CHA YOHANA MBATIZAJI HATA SASA, UFALME WA MUNGU HUPATIKANA KWA NGUVU, NAO WENYE NGUVU NDIO WANAOUTEKA.
    CHANNEL HII ITAKUSAIDIA KUKUPA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU AMBAYO YATAKUTIA NGUVU ITAKAYO KUFANYA UWEZE KUUTEKA UFALME ULE BWANA ALIOTUAHIDIA.
    TUNATUMIA DAKIKA CHACHE SANA KATIKA KUKUFUNDISHA MANENO YA MUNGU NA HUTALIPIA GHARAMA YOYOTE KUYAPATA MAFUNDISHO HAYA ISIPOKUWA NI Mb ZAKO TU KATIKA SIMU YAKO.
    Subscribe to this channel for more videos.
    Pia unaweza kutembelea website yetu kwa kubonyeza link hapo chini.
    www.dinuzenogospelday.com

Komentáře • 15