KIJANA MTANZANIA ATENGENEZA 'APP' INAYOZIMA / KUWASHA GARI, LIKIIBWA LINAJIZIMA😲
Vložit
- čas přidán 6. 11. 2022
- KIJANA MTANZANIA ATENGENEZA 'APP' INAYOZIMA / KUWASHA GARI, LIKIIBWA LINAJIZIMA😲
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Hongera kwa App nzuri
Nimeipenda hii ya nyumba nitakutafuta😀😀😀
Hongera mkuu kwakipaji ulicho nacho
Mwenyezimung akuweke ameen
Hongera sana kwa ubunifu wa hali ya juu. Vp ikitokea imehakiwa hiyo system na watu wakafanya uhalifu app inawezakuzuia hilo jambo
Systems nzuri kwa ajili ya security.
Hebu naomba contact yako.
Mashaallah Allah akuzidishie InshaAllah
Mngetupatia na namba za simu ingependez zaidi
Dah! Hongerasana Salum. Hii hata ilaya hawana
Ulaya vipo bona long time
🤣🤣🤣🤣🤣uyo mke atakae olewa na salum uuuuwiiiiii awe mcha mungu kabisa kwa hali hiii
Naombeni no yake?
Ndugu hongera sana. Utafika mbali sana. Naona ukiwa na kampuni kubwa ya Teknolojia.
English interview is needed here for Elon musk to understand what's going on.
TANZANIA 🇹🇿 no,English SWAHILI
@@lailaoman3856 Exactly 💯 we proud with our Swahili Tanzania 🇹🇿kwanza wengine tupa kuleeee mbali kabisaa 🤣🤣🏃🏃
This boy is inovator in Tanzania
Kijana amemkalisha ELON
The boy have a new technology of security if someone what to still your car and you can use your phone to open the car in en distance also you can here if someone is talking nasty in you car
Safi sana. Msiweke gharama kumbwa .ili hata wasikua nauwezo mkubwa pia waweze kutumia.
Kaza buti kaka utafika mbali hata kama Serikali haijakusapoti
yuko vizuri sana
Nice broo yupo vzur
Fungua company mwanangu ya jina unaipa CAR TRACK 🚨 cz mi nishapigwa ist na nikapigwa pikpik XR 250 ila nilipata coz baada ya kipigwa ist ilibidi nitengeneze kifaa cha kupata kitu chochote ntakachoibiwa XR 250 Nilipata kwa kutumia hicho kifaa company muhimu usitoe maujuzi kwanza man bike ninayo mpaka leo ist ilitembea jumla ila walinifanya nikapata idea 💡 nadhani pia ulipgwa ukapata maujanja
Wakubwa waliangalie hili pia na kukuza hicho Alicho kifanya ndugu yetu
Hakunaga haya afrika,
@@heritier5119 😂😂🙌
Hongera sana kijana huta nifungia niko Canada
Anaitaji ushirikiano wa hali ya juu
Masha allah....kazi nzuri sana mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yake in sha allah🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🤝
Allah Akibari Mashaa Allah bro Salamu Allah bless you
IT wengi huwa hatunenepi mzei 🤝
😁😁kwanini
Mashallah
Salute 🎉
huyu jamaa yuko wapi zebwera.maan daaah
Mashaaallah mashaallah mdg wangu saalum allah akujaalie kila la kher
perfect broo
Zembwera unaniuwa baraa Sana angalia wazungu wanamuchukua brother afundishe wengine
Number ya cm au adi tuje wasafi ndio tutapata number zake?sijui mkoje tuwekeeni number
Mawasiliano hatuoewiii!! NAOMBA MAWASILIANO YA SALUM
Kwenye pikipiki shingapi uo mzigo shingapi na unatumia internet au salio tu
Kijana hongera sana
Ongera bro
Yupo vizir sana
Coment Zimekuwa Chache kwa Mambo ya Maana kama Haya ile yangekuwa ya Konde bangi na Kajala Zingefika Hadi M3 🤔🙄😏
Blessings 😍🔥🔥🔥✌️✌️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huyo jamaa akibahatika kwenda USA anajenga kijiji huku nyumbani
Naomba no ya simu .nahitaji mazungumzo nae ofisini
🔥🔥🔥
Nimeipenda sana elimu yako na kipaji kiujumla. Vipi kuna uwezekano wakuzipata hizo uduma nje ya nchi?
Daaah,Bongo bahati mbaya!!!
Iyo app inaitwa je
Kijana atasababisha tuibiwe magari aisee 😢 hiyo app iwe kwa umakin mkubwa
Akumbuke Kuna Hackers
Brother naomba namba aise nimemkubali uyo kijana
Safi sana
Dha hakika Serikali imushike mkono huyu kijana
anasema yas not Yes ......
alaf hyo technology cyo mpya kama ambavyo zembwela umesema kijana ametengeneza ,,,,,,,ulitakiwa kusema new technology in tanzania
I like it📌📌📌📌
Naomba namba yake
Hawa ndio wasomi tunawataka Tz watafiti siyo misomi imekaatu nakuvaa vinguu vyaa aibu serikali vipaji hivyo jmn
Naitak iyo from USA 🇺🇸 please
Wana IT tunajivunia kijana katuwakilisha vzr sana 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa wewe endelea kusomea vitu vya hovyo
Point saaana
Sasa huyu anaogea aje kwani anakariri shehiri
Sinikama maget ya majumbani yale yenye ukuta kali uwa wanatumia namba ya Nyumba
Mwizi wa Gari awe tu na App
Una maana gani we kisimi? 🤣🤣🏃🏃
Tunaomba namba yk hy kaka
Huyuu jamaaa mbona hawataji namba zake
Hiyo gari Roboti 👏👏👏
💪💪
Nimependa hii
Naomba namba yake basi
sasa huyo kinana tunawaze kumtowa wap atuwekey hiyo sistem tupo Burundi
Anapatikana wapi, ajaacha mawasiliano yake
Naomba namba kaka
Kwa NAMNA ya kussuportiana
No za simu tupe
Mngeweka hata Page yake ya Instagram
Mbona hajataja kwenye mitandao anapatikanaje ili iwe rahisi kumtafuta
Nitumie namba
Ebwana me nahujia ya car lakini itaweza kufanyakazi nadini ya uk???
Tunaomba namba za ofisi please.
Hatariii
Hongera yake
Tupeni namba
Naomba namba kaka ya WhatsApp please not meipenda iyo App
Ndugu nipe namba yako ya sim tuwasiliane nitakupata wapi?
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏
Mawasiliano yake hajatoa nimependa
Nataka mm iyo program ya gar
Mbona hawajataja namba
Naomba mtuwekee namba yake.
huyu kijana mlikua mumfiche sura ili asionekane na wahalifu
Tupeni number zake huyu Salum please
Tuma namba mzee
Kifaa cha pikipiki shingp
Ivi napataje number ya huyu kijana?
TUNAOMBA MAWASILIANO
Tutampataje sasa kijana Salum
Bongo modimfikisheni haswaa.
Serikali wamuangalie huyu kijana na wamuwezeshe la sivyo Wazungu wakimuona wanamchukua na wakimpa dau kubwa hawez kataaa,,,,,,,,Wazungu wanapenda watu wa hivi
Ana kadi ya ccm
Mbona wabunifu kibao wamekosa msaada.
Ukiwa Ulaya wazungu wanacopy mambo yako then wanakuuwa. Hawapendi waafrika wagunduwe chochote
Mtengeze app ya wanandoa wakichepuka tunapigiwa simu
Tafuta kufa
Tupe namba yake
Tusaidieni mawasiliano yake huyo kijana .
Hata mim pia nimependa hii kitu naomba contact please
Shingapi
Doh uyu mwamb anajua nyie 😳😳😳
Kinaitwajee ??
inaitwaje
Huyu mpeni fulsa tu aende nje huko maana huku nchini mwetu hatafaidi au hata nufaika na talent yake
Wewe uki Duniani tunahitaji watu Hawa Africa
Ajiconnect mwenyewe