UJUMBE WA LEO : SWALA YA DHUHA NA TASBIHI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 06. 2018
  • www.nouralmustafatz.org
  • Zábava

Komentáře • 31

  • @oranwateroranwater6356
    @oranwateroranwater6356 Před 5 lety +2

    Mashaaallah mawaidha mazuri

  • @abdulrahimbakar7865
    @abdulrahimbakar7865 Před 4 lety +2

    A/alyqoom hapa naomba niongezee Swalatul-zawwal inaswaliwa rakaa 4 kwa pamoja ina tahiyyatu 1 tu ya mwisho unaweza kusoma sura yeyote baada ya fat-ha inaswaliwa wakati linapopinduka jua yaani (kuanzia saa sita na nusu) mpaka kukaribia kuswali swalatul-dhuhri imepokelewa kua ktk wakati huu dua yeyote utakayo kuisoma ni maqbuul baada ya kumaliza swala dua ya haja zako au dua yeyote ya kheiry

  • @ummu-minham1620
    @ummu-minham1620 Před 4 lety

    Ujumbe mzur wallah Allah akujaze kher in Sha Allah 🙏🙏

  • @salimzumo1988
    @salimzumo1988 Před 4 lety

    jazakallahu khair hii ni ilmu yantafahu bih

  • @abdulimaliksalim7251
    @abdulimaliksalim7251 Před 4 lety

    Oooh Alla akulipe kheri jazaaka Allahu khair

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 Před 5 lety

    Barak'Allahu fiiQ

  • @hafidhsaid6314
    @hafidhsaid6314 Před 3 lety

    Shukran Jazylan

  • @hafidhsaid6314
    @hafidhsaid6314 Před 3 lety

    Barakallah fiik

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 Před 4 lety

    Jazakah khera

  • @mwanamisaomar346
    @mwanamisaomar346 Před 5 lety

    Jazakallahu kher

  • @hafidhsaid6314
    @hafidhsaid6314 Před 3 lety

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 Před 4 lety

    Shukran njaziira

    • @jabilishekusa2202
      @jabilishekusa2202 Před 4 lety

      Assalam allaikum sheikhe jee nimda gani husaliwa Sala ya tasbihi

  • @koudrafatouma2402
    @koudrafatouma2402 Před 3 lety

    Mashallah

  • @kibibikibibi3289
    @kibibikibibi3289 Před 4 lety

    Shekh samahani ungetuandikia hiyo swala tasbihi kwa mpangilio

  • @hassanbwambizo
    @hassanbwambizo Před rokem

    Mina hujasema tasbih inaswaliwa mda gain?

  • @zahraahmed4743
    @zahraahmed4743 Před rokem

    Swala hii ya tasbiih yaswaliwa saa ngapi?

  • @najmasulleyman7695
    @najmasulleyman7695 Před 5 lety +1

    Swala ya dhuhha mbona hujaelezea inaswaliwa vp? Raka mbili halafu unatoa salamu? Na unasoma sura gani ndani hake?

    • @yusreyyusuph8369
      @yusreyyusuph8369 Před 4 lety +1

      Najma Sulleyman Soma sura yyte 2 pia hata ukiswl rakaaa mbili tuuuu,Allah yaalam Allah ndo mjuz zaid

  • @almiseo274
    @almiseo274 Před 6 lety

    Hii swala ya Tasbihi n wakati gani watakiwa uswali

    • @nouralmustafatvzanzibar
      @nouralmustafatvzanzibar  Před 6 lety +1

      Inafaa kusaliwa wakati wowote isipokua nyakati mbili
      1) baada ya sala ya alfajiri
      2) baara ya sala ya alasiri.
      Na wanachuoni wapendekeza baada ya maghrib au ishaa

    • @almiseo274
      @almiseo274 Před 6 lety

      Shukran sana

    • @fatumjumaa5563
      @fatumjumaa5563 Před 5 lety

      Sura gani tunafaa kusoma swala ya dhuha

    • @dab8859
      @dab8859 Před 4 lety

      Baada swalatul subhi pka kma wakaribia dhuhur

  • @saidibrahm107
    @saidibrahm107 Před 5 lety

    inaswaliwa muda gani naomba unieleweshe

    • @nouralmustafatvzanzibar
      @nouralmustafatvzanzibar  Před 5 lety

      Nini unakusudia kujua wakati wa kusali?

    • @abdulimaliksalim7251
      @abdulimaliksalim7251 Před 4 lety +1

      Mjibu kama unaelim nayo usimuulize na wew swali

    • @karaniwaakuwa1290
      @karaniwaakuwa1290 Před 4 lety

      Nilifungua haraka kutaka kujua km imejibiwa muda maalumu nataka kujua pia huo muda

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Před 4 lety +1

      Huyu anamaanisha ni muda gani sahihi inaswalia hajaelewa jinsi ulivyoeleza ule muda uliosema robo saa baada ya kuchomoza jua na robo saa kabla ya kuingia sala ya adhuhur.Inshaa Allah labda muelekeze hapo sheikh shukraan

    • @alikizungu281
      @alikizungu281 Před 4 lety

      Utah nassir tufafanue swala ya dhuha