We dada ubarikiwe sana sana .mm sikuwah pula mandazi ndo mara ya kwanza nimefata vipimo vyako .wee yametoka mazuri malaini Matamu sana yan mpaka siku ya pili andaz lainiiii .ivi navyokwambia juzi nimepika nimeuza andaz miatano moja na yamegombaniwa hatar 😂❤love you
Nimejaribu kama ilivyo mara yangu ya kwanza kupika maandaz😂😂 na yamekuwa noma watu wameyasifia balaa wangejua kuwa ndo mara yangu ya kwanza kupika maandazi weee
Habar dada, naomba utufundishe jinsi yakupik mandazi yale makubwa sana ya biashara,yanakua manene alafu yamejaa ,yanapikwaje? Na pia shida yangu ni asubh mandaz yanakua magum.
Am Ugandan, i confirm Tanzanians make the best filled mandazi
We dada ubarikiwe sana sana .mm sikuwah pula mandazi ndo mara ya kwanza nimefata vipimo vyako .wee yametoka mazuri malaini Matamu sana yan mpaka siku ya pili andaz lainiiii .ivi navyokwambia juzi nimepika nimeuza andaz miatano moja na yamegombaniwa hatar 😂❤love you
Nitaifanyia kazi ni kupe jibu Asante kwa somo
Amazing recipe!
Congrats 🎉🎉unajua sana sister
Mashallah nimefatisha andaz limetoka amazingi
Asante sana nimepika maandazi laini kama sufi asante sana
Ubarikiwe sana nmeyapenda na nmejifunza
Nitapika Asante unafundisha taladltibu mtu anakuelew vizuri❤
How can I like this video a million times
Just a smile ❤❤❤
Waoooh 🙏🙏nimejifinza
asante dada mandazi ni matam. je nikitaka yakae siku tano bila kuaribika niweke nini
Mimi nikipika . maandazi yanakua magumu Ganda la juu
Mm kipimo chamafuta tu dada
Asante Mziwanda Bakars ,nashukuru sana nimekuelewa.
Waoo maamdaz matam sana❤❤❤ ubarikiw
Asante upovizur mama nimeipenda iyo
Ngoja niingie jikoni na mmi naleta majibu madam
Hongera zako my. Nimekuelewa Sana ❤.
Asante
nimeelewa, je nataka maandazi yangu yakae siku tano bila kuaribika niweke nini
Daah!! Nzurii sana nimepend mpk nameza mate❤❤
Asnte kwa somo nafanyia kazi
Kazi nzuri sana
Ahsante dad mungu akubark San
Ukikata hivyo unauzaje
Nice
Just subscribed🌷🌷🌷
I like your channel, because it has English ingredients🌷🌷🌷
Kaz nzur mafuta ya mot au ya barid
😋😋🔥🔥
🙏🙏 barikiwa
Asante Kwa somo yangu huwa ni ngumu
Masaala
Mmmmh maandazi mazuri
I need to learn for bsnz
Asante sana mziwanda Bakers
Nashukuru nilipika yakatokea vizuri.Shukurani.Naomba kujuwa kutengeza icing sugar
Asante dada kwa somo ila Mimi nikipika yanakuwa na ugali katikati namba unisaidie
Mansha'Allah matamu😋😋
Dada mandaz yang yanakua hayn nyama ndan nini tatizo
Yanamuinekano mzuri
Sante love
🎉
Do we have flour with out gruttain ??? watching in Mombasa,
Kazi nzuri
Ubarikiwe
Naomba njifunze toka kwako kukanda mandazi vzul
Kwa nnje yanakua magumu
Asante sana dada nitajaribu na mimi
Nmeipenda
Asata.mama
Nimesikiaa njaa ghafla😋😋
😉😉
❤❤❤🎉🎉🎉
Mashallah ilo nipate na mbaazi weeh shukran daa
😉😉👌👌
Vzr sana
Na mm napenda kujifunza
Mm nikipika madazi juu yanakua na ugumu sijui kwann
Mimi nimetoa yanaumuka upya ndan yaan ngano kabisa🥺
Mie yanatoka ndan hayaiv cjui kwnn au muda mwngn ynakuw na mafut mngi ndan
Asante nimependa upishi wako wa maandazi na Mimi nitajaribu kipika
Ahsante
❤❤❤❤
Mm nimgenyi wa mdanzi ya biashala
Njia nzur
Kwan blubend hujaweka
🙏
Safi
Thank you
Kangu mimi shida kubwa mandazi yanakunywa mafuta
moto mdogo
Asante dada
Mazuri sn
Mie napima na kikombe au macho
Sawa
Hapo kwenye maandishi ( recipe) hukuandika chumvi na mafuta ya kukandia japo umeelezea wakati wa kuongea.
nime yapenda piya natamani nifanye biashara hiyo lakini siwezi kuyapika diy
1:09 mimi na shindwa kwenye vipimo vya kupima mda wa kutengeneza
Hauna mzani?? Au unapata shida sehemu ipi zaidi?
Jamn unga kilo 3 viungo saizi yake
Asante sana
Kataka kujiunga
Shida yangu nilikuwa naomba vipimo vya kila hitaji la maandazi
Mm nimgwn hapo ila nimekupenda Bure je hufundishi Kwa vitendo nje ya simu kipenzi
Mm naponda unga nayakata mandazi ila ukat wAkuchoma yanazama mpaka bade yanakuja ju tatzonn ala yana paxuka
Amira vip
Nambie ebu
Matamu sanaa
Kama sina mzanj
Dalasa inakuwaje
Maandazi kuwa na mafuta ndani na ngozi ngumu
Mimi naomba kuuliza nazi aichemshwi inakandwa ivyo ivyo ya baridi unakandia
You have forgotten to list oil in the list of ingredients
Na pia maandazi yangu yanakua hayana kitu ndani
Nataka kujua kupika afkeki jeeunaweza kunipa darasa hilo
Yanatok magum
Mimi yangu yanakuwa na nyama nyingi kwanini naomba nijuze
Shidayangu kilanipika yanakua mahewa ndani
Mandazi mazuri me nikipika ngozi yake inakuwa ngumu naomba uniambae nakosea wap
Nimejaribu kama ilivyo mara yangu ya kwanza kupika maandaz😂😂 na yamekuwa noma watu wameyasifia balaa wangejua kuwa ndo mara yangu ya kwanza kupika maandazi weee
Habar dada, naomba utufundishe jinsi yakupik mandazi yale makubwa sana ya biashara,yanakua manene alafu yamejaa ,yanapikwaje? Na pia shida yangu ni asubh mandaz yanakua magum.
Mbn hutujibu
Mashaalah missing you mamii. Tofauti ya mandazi na mahamri ni ipi?
Sijajua tofauti yake ntachunguza au ni jina tu ??
Nahisi nikitu kimoja lugha tofauti
Nataka kujua hamuweki baking powder
😢 mimi shida yangu ni mandaz yanakua magumu nahisi nakosea kwenye kukanda, natakiwa kukanda unga kwa muda gani?
Nikipika maandazi yangu yanakuwa na chumba na seble😆😆😆😆😆nikaambiwa wanayapenda watu wa tanga
😀😀😀Jmn Ety chumba NA sebule
😂😂😂