LIVE:NDOA NA MALEZI YA KIISLAM - SHEIKH JUMA AMIR

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 04. 2019
  • Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    #sheikh_othman_maalim #khutbah_mawaidha_vipindi_vya_dini

Komentáře • 65

  • @sadantashavu293
    @sadantashavu293 Před 5 lety +7

    Ma shaa Allah sheikh Djuma Amir kwa darsa nzuri. Allah akuzidishie yenye kheri na Atujalie tuwe wenye kusikia na kuyafuata. Amiin. 🇧🇮

  • @umaimaalharthy3581
    @umaimaalharthy3581 Před 5 lety +11

    Sheikh juma amir Allah akujalie na akuzidishie kheri. kwa kuwakumbusha wana ndoa kwa walio ya sahau. Shukran sana

  • @ashamrutu7217
    @ashamrutu7217 Před 5 lety +4

    Shukran KTV kwa kutuelimisha Allah akujaalie afya njema duniani na akhera sheikh JUMA AMIR pamoja na uongozi wote wa KTV from Oman

  • @mohammedawadh7418
    @mohammedawadh7418 Před 3 lety +1

    Asante Sana kwa darasa hili mwenyezi mungu awazidishie

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji Před 5 lety +6

    Ahsante sana sheikh wetu Allah akupe kila la kheir na barka ndani yake

  • @khadijabalolwa1976
    @khadijabalolwa1976 Před 5 lety +3

    Maa shaa Allaah tabaarak Allaah
    Yaa sheikh Juma Amiri Allaah akujaaliye kheri duniani na kesho Aakhera

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 Před 5 lety +4

    In Sha Allah Mwenyez Mungu Awajaze kheir waoandaa barnamaj hii kwa faida za sisi wanandoa

  • @naimaally7072
    @naimaally7072 Před 5 lety +4

    Ma shaa Allah alhamdulillah tunapata elim bila malipo Allah akuhifadhi shk wetu

  • @makkamadinnah9586
    @makkamadinnah9586 Před 5 lety +3

    Ma Sha Allah! Allah awalipe waandaaji wa kongamano hilo muhimu katika maisha ya ndoa!! Sheikh Juma Amir hakika anatambua mengi yahusuyo ndoa!! Tuyashike ili turekebishe ndoa zetu!

    • @zuwenaabdala3603
      @zuwenaabdala3603 Před 5 lety +1

      As alykm elimu , na makumbusho utupayo alah atujaalie , tuyatekeleze inshaah shukran , mashkura . alhamdulilah

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 Před 5 lety +4

    MASHA ALLAH. sh. Juma amir. ALLAH akupe ijaz.

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 Před 5 lety +2

    MASHA'ALLAH MOLA AWAPE KHERI KTV ONLINE"""BY AR'BAAB...✍

  • @fatimakhan4920
    @fatimakhan4920 Před 5 lety +1

    Shukran xna shekh wetu juma Amir mungu akueke uzidi kutupa vtu vya uhakika.

  • @zakiyakassim9331
    @zakiyakassim9331 Před 4 lety +1

    ma shaa allah mungu atujalie tuwe na subra kwenye ndoa

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 Před 5 lety +4

    SHUKRAN KTV TZ ONLINE TUPO ONLINE KWELI HAKIKA HII NI FAHARI YETU

  • @fifo262
    @fifo262 Před 5 lety +4

    Allah atuongoze ktk ndoa anazorzia Allah (s.w)

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966

    Mashaallah kama ulikuwepo kwetu mamaangu mzazi kuolewa rafiki yake chanda na Pete ambae ni mamaangu mdogo nakuzaa watoto sita mama ashitaki kwa ndugu zake akaambiwa uliyataka mwenyewe shauriyako shukran sana

  • @zuwenaali3698
    @zuwenaali3698 Před 3 lety

    MaShaaAllah... Jazakallah kheir

  • @aishamasoud4545
    @aishamasoud4545 Před 3 lety

    Napenda sana mawaidha yake wallai, mola ampe umri mrefu aaamin

  • @Yourfriendlyamigo
    @Yourfriendlyamigo Před 5 lety +2

    Mashaallah tumejifunza mengi. Nawaomba KTV wakati wakivuta hizi program wajiepushe kuvuta sura za wanawake kwani wengine ni wake za watu. Sifikiri kama inapendeza

  • @mwanajumajuma7018
    @mwanajumajuma7018 Před 5 lety +6

    Ya Rabb tujalie ndoa enye kudumu

  • @aishahamad3904
    @aishahamad3904 Před 5 lety +3

    MashaAllah! MashaAllah!

  • @tullyabdul6355
    @tullyabdul6355 Před 5 lety +1

    Mashallah sheikh juma Amur mungu akuzidishie saaana

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 Před 5 lety +5

    Good Job KTV🥇
    Allah awalipe kheir
    Ameen.

    • @aminahemed5417
      @aminahemed5417 Před 2 lety +1

      Mashalah mawaidha mazuri Mungu awape kilalakheri inshalah

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 Před 5 lety +1

    MashaAllah. Allah baarikk 🙌🏽👏🏼

  • @dearmama7865
    @dearmama7865 Před 5 lety

    sheikh uislam ni kukumbushan mema na kukatazan mabaya .....shukran saaan kwa ulichotukumbusha allah akuzidishie inshaallah

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 Před 2 lety

    MashaAllah Allah barik

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 Před 5 lety

    Allah atujaalie tuwe wenye mahabbah na mapenz kwenye dini yetu na wazazi wetu na wake zetu na vizazi vyetu,Allah hummah Amina,,,Allah atujaalie tuwe wema kwake na atujaalie wake wema na vizazi vyema ili tupate nusran na adhabu zake..🙇🏻‍♂️🙇🏻‍♂️🙇🏻‍♂️

  • @aishaalbajuun4064
    @aishaalbajuun4064 Před 5 lety +2

    Alhamdulillah Allahubarik

  • @saidah4000
    @saidah4000 Před 5 lety +2

    Masha Allhah Masha Allhah

  • @taabohosain3849
    @taabohosain3849 Před 5 lety +3

    Mashaallah

  • @salemo12
    @salemo12 Před 5 lety

    Shukran jaziila muheshimiwa mzee wangu juma amir

  • @mesalimrashid6312
    @mesalimrashid6312 Před 5 lety +3

    Enyi mnaotaka kufunga ndoa kuweni makini sana mkishafeli ktk ndoa kuidumisha jua ushafeli kimaisha.Pia bibi mbaya watoto wabaya nyoka azai mbuzi kuweni makini sana .

  • @mutomubaya
    @mutomubaya Před 5 lety +1

    Nawapongeza wote wale waliojishughulisha katika kuhakikisha kwamba huu mkusanyiko umefanikiwa. Nawahimiza tuzidi kuandaa vikao vya ilmu sio tu kuhusu ndoa, bali kuhusu kila ilmu ambayo alikuja nayo Mtume wetu, Muhammad , Swalla Allahu alayhi wa sallam, popote pale ambapo panapofaa kuandaliwa vikao vya ilmu, iwe Msikitini au Chuoni au uwanjani au majumbani na hata chini ya mti. Na ikiwezekana ni vyema kueneza ilmu kwa kutumia vyombo vyote vya mawasiliano. Moja ya sababu ya Dini yetu kuonekana kama kwamba haina maendeleo ni sisi kuacha njia aliyotufundisha Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam. Na njia ya kwanza, tangu mwanzo wa Uislamu ni kwa kuhudhuria vikao vya ilmu. Lakini tukubalini kwamba jambo hilo tumelipuuza hasa kuhusu kuelimisha vijana na kuelimisha wazazi na kuelimisha Waislamu wapya. Vijana wanahitaji kuelimishwa kuhusu kumjua Allah na kumfahamu Mtume wake, Swalla Allahu alayhi wa sallam, na kfahamu kuhusu Ndoa kwa sababu ndoa zinavurugika kwa kuwa vijana wanaingia kwenye ndoa kabla hawajaelimika vyema kuhusu mafundisho ya ndoa. Na ndoa zikivunjika vunjika hiyo ni jamii inavurugika. Kwa hivyo wazazi waelimishwe kuhusu malezi ya watoto ili wajue wakifikia umri wa kuitwa vijana wawe wanatayarishwa kwa ajili ya mustakabal wao na moja ya masomo ya hilo ni kujua kuhusu halali na haramu katika mambo ya uhusiano na njia za kujihifadhi na haki za mume na haki na mke hadi malezi bora. Kwa hivyo wazazi waongee na Imaam awe anatayarissha ratiba za masomo Msikitini baada ya Swallah badala ya kuwa tunafunga Msikiti haraka haraka baada ya Swalha kama kwamba Msikiti ni pahali pa kija tu kuswali na kuondoka. Je masomo ya Jamii huandaliwa na nani na hutekelezewa wapi? Tuangaieni maneno ya Mtume kuhusu Hadith aliposema, Kullukum Raain wa kullukum Mas'uulun an Raiiyatihi

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 Před 5 lety +1

    Masha Allah ya shekhe

  • @bibinamay1964
    @bibinamay1964 Před 4 lety

    MashaAllah, Allah akulipe kwa wema wako wakutupa ilmu.

  • @jamilatemu1322
    @jamilatemu1322 Před 5 lety +1

    Allah akupe afiya na sihaa jemaa ili utuilimishee zaidi

  • @dearmama7865
    @dearmama7865 Před 5 lety

    maashallah maashallah allah akupe umri mref akhy

  • @aishaamohamed453
    @aishaamohamed453 Před 5 lety +1

    Bisimillah mashaAllah baraka Allahu feekum

  • @aliyomar9140
    @aliyomar9140 Před 5 lety +2

    شكرا

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb Před 3 lety

    MashaAllah

  • @Aaa-nh7gw
    @Aaa-nh7gw Před 5 lety +1

    MASHA ALLAH

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 Před 5 lety

    Asalam aleikum hakika maneno mazuri sana na yatupasa kuzingatia

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 Před 5 lety +1

    Baaraka LLAHU fiiku ya Sheykh

    • @allyahmed6165
      @allyahmed6165 Před 5 lety +1

      MashaAllah ni darsa muhimu sana hii ila KTV kuna kitu munaharibu kuweka background sound wakati wakati munarusha hewani hii inaondosha concetration ya msikilizaji kwakeli......inawezekana kuweka hio kwa vipande vya clips ambavyo mwaweza kuvirusha ktk means nyengine km vile whatsaap .......hayo ni maoni yangu tu ila mnafanya kazi nzuri sana na Allah atakuzidishieni ....Amin

  • @mimitopshow1229
    @mimitopshow1229 Před 5 lety +1

    ManshaAllah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 Před 5 lety +1

    Mashallah

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966

    Shukran wajazaka Allahu heri

  • @asyaluay5787
    @asyaluay5787 Před 4 lety

    Allah azihifadhi ndoa zetu na kila balaa

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 Před 5 lety

    Amin yaraby

  • @arafaawadh183
    @arafaawadh183 Před 5 lety

    Sheikh twakuhitaji mombasa

  • @zuhuraabdi8989
    @zuhuraabdi8989 Před 5 lety +1

    Lahaula haikuja kwa kazi iyoo. Hehehe kweli Sheikh sio kila kitu Lahaula

  • @fatmakareem7837
    @fatmakareem7837 Před 4 lety

    Asalamalaykum naomba kupata link zako. MashaAllah Allah bariik fi.

  • @abdallahmohameddaniel659
    @abdallahmohameddaniel659 Před 5 lety +1

    Sauti zinaingiliana na ya mtangazaji

  • @abdulhafidh3229
    @abdulhafidh3229 Před 5 lety +1

    Naww mtangazaji unamaneno mengi akaaa

  • @mzeeshali3923
    @mzeeshali3923 Před 5 lety

    ملاحظة الثانية: قراءة صحيحة في قوله تعالى (وَبِدَارًا أَن يَكْبَرُوا ۚ )

  • @aminakashika1580
    @aminakashika1580 Před 3 lety

    Ajar

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 Před 3 lety

    Utapikiwa na Nani?

  • @mzeeshali3923
    @mzeeshali3923 Před 5 lety

    ملاحظة : لم يتنبه الأخ أثناء قراءته عند قوله تعالى قرأ فريقا والصحيح ( وَمَن كَانَ فَقِيرًا فَلْيَأْكُلْ بِالْمَعْرُوفِ ۚ )

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 Před 5 lety +3

    Haha eti hata ukila mawe biriani hulitaki tena

  • @aljalilatiba9873
    @aljalilatiba9873 Před 5 lety

    Kwa taarifa za tiba za asili juu ya Maradhi yanayotukabili Kutoka kwa Dr Seif Albaalawy bonyeza hiyo picha yangu ujiunge pia usisahau kusabscribe na kubonyeza kengele

  • @Derevamkongwe6864
    @Derevamkongwe6864 Před 5 lety +1

    Mtangazaji punguza kuongea

  • @abbyzubeyr5398
    @abbyzubeyr5398 Před 5 lety +1

    MashaAllah