Lete uhondo Judith usiogope sema tena Bilal uwoga kwani huyo mama nikitisho Tu anakutshia wewe mwambie Baba yako usifiche kitundio huyo mama akome kukutesa siku nyengine sema judi
Movies inastahiki tuzo ya heshima na pindi ikitokea kupiga kura tujitoleeni kwa wingi ili movie ichukue tuzo na Judith achukue tuzo ya Actress mdogo mwenye kipaji cha juu Congratulations from 254🇰🇪
Mutupe episode ya sita Bilal kuchelewa kwani ni huyo mama anafanya mambo Bilal yakujali huyo ni mtoto kama watoto wengine ama hajazaa?ndio anamtesa huyo mtoto!
Hongera zako Judith nakupenda sana kwa ujasiri wako usiogope wewe ni mtoto lakini huyo mamaakufai wewe ni umwambie babako mateso unayapata hapo nyumbani navile anavyo fanya na a
Tunawakarisha kutazama kazi yetu mpya MAMA WA KAMBO EP 5 tunaomba kucomment na kushare kwa marafiki Asanteni sana kwa mapenzi yunu Mungu awabariki🤝🙏
Ameen 🙏❤
🔥🔥🙏
Shukran 🙏 🙏
❤❤❤ amen
Tushushie 6 please
Judy Mungu akulinde una. Akili njema sana
Japo wamwisho jamani like zangu from 🇴🇲
Mbona hata hukuchelewa
Judi nakupenda bureee mtoto mzuri 🥰🥰🥰😂😂😂
Lete uhondo Judith usiogope sema tena Bilal uwoga kwani huyo mama nikitisho Tu anakutshia wewe mwambie Baba yako usifiche kitundio huyo mama akome kukutesa siku nyengine sema judi
Movies inastahiki tuzo ya heshima na pindi ikitokea kupiga kura tujitoleeni kwa wingi ili movie ichukue tuzo na Judith achukue tuzo ya Actress mdogo mwenye kipaji cha juu Congratulations from 254🇰🇪
Asante sana tuombe Mungu atutangulie 🎉🎉
Hongera zenu❤❤❤
Judith umeweza sana na nakupenda ❤ watching live from Kenya
Tanks
Judi nakupenda sana❤ nangoja episode6
Judy cjapenda yani unamshikia vp mtu mkubwa kiono ni heshima gani iyo
Judi unanifurahisha nakupenda yani wewe nikiboko
Asantee sana ndugu zangu.❤move ipo poa sana.❤
Nakupenda bureee Judith ❤️ unajua kuigiza
Kumbe Ako n adabu Judith 😂😂
Watching from Saudi
Love u Judy Leo akili zmtuliaa😂😂😂😂😂😂😂
Hongereni kumbau endeleni hivyo hivyo Hebu nipi sehemu ya sita Bilal kuchelewa ninahamu sana lete uhondo kumbautv
Judith much love ❤❤❤ uko na balaa wew 2:29 😂😂😂
Nawapend san much love from keny❤❤❤
❤❤😂😂 nawapenda sana mma na mtoto mkiendesha filmi hii
Mapinduzi ya heppy namtoto Yale wezekane vipi
❤❤❤❤❤❤kazi nzuri
😂😂😂😂 judy hongera ❤❤
Kazi nzur sna hongereni
Judiii uko sawa😅😅😅
Happy apunguze kulegeza macho asimame km mama wa kambo.
Nitapunguza wala usijal
Nyingine len inatoka msituchelewexhee bac
Leo wa kwanza mie🙈naomben like zangu
Kazi mzuri
Usijal umepat ❤❤❤
Natena uyo udada naona anaweza kuwa mama wakambo mubaya
Kwenye mama wakambo mupo vizuli xan ila epi namwanae mmeweza xana nimzuli na inafundixha
+254 noma sana
Kwakweli cjauwelew uhu mchezo
Leo wa kwanza 🎉🎉🎉
Ila baba unamwaribu mtoto hana adabu kwa kweli sio heshima kuongea na mkubwa kiasi hicho
Ila uyu mtoto n kiboko Yao mpka na shangz
I love you Judi uko fiti San good job
Love 💕 Judy ❣️❣️❣️❣️ keep it up
Judi uko vzr
Happy Leo kakutwa😂😂😂
Leo kimemurambaaaaa. Au sio
Mbona hakuna mwendelezo wahii mvi kuanzia kipande cha saba
Kaz nzur sana ❤❤❤
Hongera sana
Aiss uyo mutoto yupo siriyasi
😢👍nzuli sana
So amazing ❤❤❤
Baba jud pole sanaaa
Happy kakutana na mwanaume kiboko 😢😢😢😢😢😢
Judi❤❤❤❤love you so much 🎉🎉🎉🎉
Hii movie inambaba Sana from 254
Wow Judi ❤❤❤
Hongern san
Baba unamwaribu huyu mtoto
Nimewai leo 🎉🎉🎉
Congratulations
Mambo yamekua mambo 😅
Nzuri sanaaa
Mutupe episode ya sita Bilal kuchelewa kwani ni huyo mama anafanya mambo Bilal yakujali huyo ni mtoto kama watoto wengine ama hajazaa?ndio anamtesa huyo mtoto!
Tatizo amezidi mdomo ananikera
Good work guys
Yan me uyo mtt nime mpenda bure
Nimewahi jaman naombeni like zangu hata 100
Omba kidg upate nying ona umeambulia na moja😂😂
@@RahmaJuma-jp5zc😅😅😅
❤❤❤❤much love judy
Mama kwa
Nakubar sana jud
😂❤❤😂
Mhm mpka nimelia
Nzr san
Nmerauka mm pia
Waoooh
Sisemi kitu mm
Mnajua kuigiza
Mungu akulinde
Nimependa ujasiri wako hongera judith
Hongera zako Judith nakupenda sana kwa ujasiri wako usiogope wewe ni mtoto lakini huyo mamaakufai wewe ni umwambie babako mateso unayapata hapo nyumbani navile anavyo fanya na a
Huyo dada yako ni muongo anaigiza ili usijuwe anacho kifanya na mkeo hapo nyumbani wanakuficha kitu baina ya mkeo na bodaboda ally kuna Siri kati yao
Wewe ally sema ukweli unajifanya hujui unajifanyisha kigugumizi siuseme kuwa umamhusiano na happy bona wadanganya huongopi?
Nakupenda sana mtoto mzr ❤❤❤❤❤🎉🎉
Good 👍 job ❤❤❤❤
Wow good 🥰🥰
Mwendelezo plz 🙏
Asap❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤lloveyou❤
kweli ahaa❤
Na haiongei
Ongeren ❤❤❤
Wawoooooo🎉🎉🎉🎉🎉
Judith volume
Am still waiting for the next part please ❤
❤
Mupo good
Jomon
❤❤❤👏👏
🇨🇩🇨🇩
🎉🎉🎉❤
Kweli
Kanumba stiveni
Naam
Hahaha msukuma mwenzangu uyo hahaha
Mbona siyoni ep4??
Ipo mbona
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤🎉
😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢❤❤❤