UMBAMBAMBA EP 01 | MSIBA NA MUZIKI - KWA SAMOFI MSIBA, KWA MKOJANI SHEREHE
Vložit
- čas přidán 6. 08. 2024
- UMBAMBAMBA EP 01 | MSIBA NA MUZIKI - KWA SAMOFI MSIBA, KWA MKOJANI SHEREHE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Alopiga colour hii movie hafai asee jamaa wamuongeze mshahara maana ile ya kina mkojani ilikua kichovu sana ila hii ki international zaidi ❤❤❤
ngoma saiv wanacmmia wasaf wenyw chama kubwa lazma ing'ae😀
He ni 🔥 mzee
Wasafi baby
Zanzibar tujuane mikono juu
Umba mbamba ndani ya wasafi kumenoga kweli waiyendeleze basi
Yaaan inaonyesha safiiiiii kabisah
Ikifika sehemu yetu tulipofikiaaa mtanishtuwaaaa
Naona umeanza mwanzo asaa dahh
Ndo utulie
Sio ote walio kua Wana fuatilia mshamba ww wenan ata usipo shituka una mchango gan nabando lako labuku
@@christianfelex5078 kua mpole kaka
Mliishia sehemu ya ngapi ndugu
Wasafi wasafi burudani kwa wote we love you 🔥🔥🔥🔥🔥
Wasafi chama lawana 🔥🔥🔥🔥🔥🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kilichomtokea mambwende kishawahi kunitokea pia asee😀😀😀😀😀😀😀😀
Noumaaa sanaa 🔥💯👊💪 👏 pindi la kijanja
Mkojani hii movie ilikua Kali sana lkini ulipoileta wasafi zengine hatuskii sounds effect zako haziko ni miziki isiokua na maan tuu
WOW nice work bro umetisha simba kwa kurushika hii kipindi
Nilijua tu mimi hamna cha ugomvi wala nini 🤣🤣
Mkojani 🔥🔥🔥
Uwo kwel unaitwa umbambamba mpa wenywe mnafanyiana umbambamba sasa diamond msimuangushe
Maa shaa Allah Wasafi TV.Tunaomba mtuletee na Zahanati ya kijiji pia plz
😂Apo unajidanganya kazi ya azam aiwezi rushwa kirahisi hivyo
@@innomchaga 😅😅
@@innomchaga 🤣🤣🤣🤣🤣atasubir sana etii
Thanks so much wasafi for support, love More 🔥🔥🔥🔥💪💪💪🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hongera 🔥🔥🔥 sana mkojani God bless mkojani family
Ikifikia sehem yetu tutasituana
Sawa usijali wwe
I miss you mambwende
Inaonyesha juma ngapi na juma ngapi
Tunasubur tulipo ishia
Waooo baga nimekumic bro
Hatali
tulkua mbali Sana , mmefail kuianza Tena upya
Saiv imenyooka kinoma ya mkojani gang ilikua imepauka kinoma
Inaruka lini na lini na nisaangap
hapo sawa tunashukuru kuirudisha
Msimba na muziki
You did it guys love you from OZ 🇦🇺😅😅😅😅😅😅
Wow tunasubiriya sana tu
Kumbe ndy mshahamia makao makuu eeh😂😂
Nakubali
Unyama mwingi
Naona hii inaangara tena zaidi
Kazi imeanza
Bongo you nailed it hi
Wasafi tv 🔥🔥🔥
Mkojan mtu sana
Ikifika ile sehem tuambiane
Msiba na Mziki
Wasafi mmetishaaaaaaaa!!!!!
Love de pus Marseille France je sus fane de wasafi❤❤
Chandimu ungwadu leo sio mganga
Safi sana
Yes diamond make umbamba on wasafi tv
Samofi na mkojani 😂😂
Mambo motoo
❤❤❤
Dh mkojn hawa w2 wananogesha
Nairudia tena aise
mkojani bin darwesh bin tarbush
Mziki msiba 😊😊😂
😂😂😂😂😂❤
IV ni Kila Lin jamn
Love it
Mbona umbamba
🙌🙌🙌🙌🙌
Inarushwa saa ngap
Ikifika ya 32 mseme jmn
Wangu dh imerud hhhh tutainjow
Itakapo fika ep 27 naomba mnishtue nimekaaa paaaleee na namba yangu ndo ile ile
Wameanzia Mbali duuh wacha tusubiri
sisi tuliyo anza nayo mpaka eps 27 tuanze tena kuangali hia sio mbaya
Mjini shule apo imeanzishwa mwanzo ili MB zetu zipgwe watu wapge Hela
Noo ni kwasababu inaruka kwenye Tv chanel ya Wasafi so watazamaji wengine wa tv hawakuiona Mwanzo kwenye youtube ya Mkojani😊
Ila daaah mbna ule wimbo mmeutoa
dar hii kitu tyr ishanikuta😫😫
🔥🔥🔥
Mashoga kweli nyinyi sasa mnaturegesha ukooo awali kwa nn msituekee muemdelezo episode 34 uko mabwege nyinyi😣😣😣😞😞
😂😂😂😂😂safi wasafi 🔥🔥🔥🔥🔥🌟⭐️🌟
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Goma limeaza jamani
Sahihi
❤❤❤umbamba 🔥🔥🔥😂😂😂
inaruka sa ngap na siku gan jaman
Jamani kendi anafanana na dem wangu jamani 😄 🤣 😂 😆
💥💥💥💥💥
Ndo kama hivi 2nataka kazi tukoshe nafsi zeta kulumbana sio
❤❤😂😂😂😂cjapitwa
Wasafi Hakika Niyakwetu Dah! 😭 Naipenda Wasafi❤🔥
💥💥✨
🔥
🔥🔥🔥🔥
Wasaf imebeba kijit
Tunasubiri kwa hamu
Apa sasa ndio pamenifanya nipende Wasafi TV
Acha na mimi niangalie maana huwa naadithiwa tu
♥️
Msiba na mziki😂😂😂Akili Iko kwenye mziki kumbukumbu ziko msibani
Nice
Hatari xn
Mbambamba
Safi San Wasafi Tv
Good
Asee mbna mume anza mwanzo
Ikifika sehem tulipoishia mtaniambia
Hii ndio EP 1 ama vipi
Kuna mtu ishatokea ila ilikuwa Dah acha niishie hapo
🎉
Mobwende hatari
Vzri sanaaaa nimemis kwenye tv nakutan nayo yutubii had rahaaa
Banawe ikifika episode ngapi tulipoachia nitarudi
🥰🥰😍umbambamba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣