KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi wagusia kiwango cha Mgunda Simba

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 05. 2024
  • Waandishi wa habari za michezo ambao pia ni wachambuzi wamechambua kiwango cha Kocha Juma Mgunda ambaye anakiongoza kikosi cha Simba SC.
    Shabiki wa Simba akiri Yanga kuwa na kiwango bora kuliko Simba.
  • Sport

Komentáře • 4

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 Před 28 dny +1

    like za mgunda

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA Před 28 dny

    FEI NI BORA MARA 100000 KULIKO MKUNJA BUKTA ...

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Před 28 dny

    Azam acheni mpira isaidieni Simba tu kufanikisha ndoto mi naona mnapoteza pesa kwa hii team yenu au mlidhani yule,mwehu atkuwa ndo suluhisho juzi akaanza kumkejeli Aziz kwa kukunja bukta kasha vimba Aziz ni mchezaji Bora hata anapokuwa na mpira angalia alafu mfanishe na FEI na Aziz wanamkamia mno muda mwingi FEI yuko free hazongwi na wachezaji Fei ni mchezaji asiyejitambua.

    • @selemanmcharazo
      @selemanmcharazo Před 28 dny

      Kufunga magoli 3 dhidi ya kitayose yenye wachezaji SITA ndani ndo anavimba na magoli kibao ya penalty