DALILI ZA KUKUJULISHA KAMA UNAOMBA SAHIHI || DAY 3 || 10/1/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 01. 2024
  • #jrctz #pastorgeorgemukabwa #jrcchurch
    Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    Unaweza Tuma Sadaka yako MPESA number +255 753 333 008
    #jrcchurch #pastorgeorgemukabwa #tanzania #jrctz
    Gospel Teachings for soul winning Purpose.
  • Krátké a kreslené filmy

Komentáře • 159

  • @eliwangukimaro7631
    @eliwangukimaro7631 Před 7 hodinami

    Ubarikiwe sana mtumishi. Umenisaidia sanaaaa

  • @BrendahWafula
    @BrendahWafula Před 3 dny

    Very true pastor May God bless you, napenda utaratibu wako jinsi unavyo fundisha Mungu akuzidishe hekima zaidi

  • @WiniSanga
    @WiniSanga Před 9 dny

    Barikiwa sanaa mtumichi 🙏🙏🙏

  • @tumainirwela6488
    @tumainirwela6488 Před 4 měsíci +7

    God bless you pastor! Mafundisho yako yananisaidia sana.

  • @christinenyambura421
    @christinenyambura421 Před 4 měsíci +4

    Wonderful preaching that is building my spirit to grow through fasting am from kenya nahitaji huyo mungu

  • @magrethpanga948
    @magrethpanga948 Před 4 měsíci +2

    Namshukuru Mungu kunisaidia kukufahamu Pastor mafundisho yako yamenifungua macho ya rohoni zaidi namna yakumtafuta Mungu endelea kuwasaidia watu wa Mungu 🙏🏻🙏🏻

  • @jacklineumbisa4934
    @jacklineumbisa4934 Před 4 měsíci +3

    Following from Kenya Nairobi,, Asante kwa maombi,,I'm blessed

  • @mamasharon7753
    @mamasharon7753 Před 4 měsíci +2

    Glory to God Kwa kufuatisha ur teaching very true🙌🙌nilitumia mbinu Yako kwa Kijana wangu na Mungu akabadilisha kbsa matokeo yake kielimu na kifamilia naona movement ya amani ambapo haikua rahisi b blcd mtumishi 🙏

  • @user-zw1vv6hp9k
    @user-zw1vv6hp9k Před 4 měsíci +4

    Ahsante pasta kwa mafundisho sahihi Ubarikiwe sana.

  • @rabilubinza7661
    @rabilubinza7661 Před 4 měsíci +4

    Amen Amen navushwa hapa na mafundisho yako mtumishi wa Mungu.Barikiwa sana.Mna heri nyinyi mliompata baba mzuri wa kiroho.mna heri sana.

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 Před 4 měsíci +2

    Asante Sanaa papa na mahubiri Niko Ku drc Mu hôpital na mume wangu anagonjwa sukari. Yeye ni jeshi.

  • @angelbaliendez4380
    @angelbaliendez4380 Před 3 měsíci

    Amen

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Před 4 měsíci +2

    Ameen barikiwa sana pastor 🙏 🎉

  • @abednegoanaely672
    @abednegoanaely672 Před 4 měsíci +2

    Imetendaka kwa jina la Yesu

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l Před 4 měsíci +1

    Amen, Amen Ee Bwana nitumie Mimi na familia yangu kuwa Baraka Kwa wengine.

  • @ramadhankarisa7850
    @ramadhankarisa7850 Před 16 dny

    Mungu wa mbinguni akuriki Pastor kwa elimu hii ya kimungu unayotufunza.

  • @MweshMwesh-dr5lp
    @MweshMwesh-dr5lp Před 4 měsíci +1

    Mungu nsamehee ntajirekebisha 🙏🙏🙏

  • @user-ph2xx4xv4e
    @user-ph2xx4xv4e Před 2 měsíci +1

    Mchungaji naomba unifafanulie kati ya nguvu za mungu na nguvu za universe....je n vitu viwil tofaut ama n is the same, plz nielezeeni

  • @leaapolo976
    @leaapolo976 Před 4 měsíci +1

    Hiki ndo nilitakiwa kusikia huu mwaka asante Mungu kwa kumpa haya maono huyu mtumishi wako

  • @priscaruto3935
    @priscaruto3935 Před 15 dny +1

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @user-kn8hr4bo2c
    @user-kn8hr4bo2c Před 3 měsíci

    Mtu wa Mungu we ni wa baraka kwa watu wengi,,,,,nakushukuru sana kwa mafundisho yako,,,kweli Mungu aninguze na anijaze na Roho ya msamaha na moyo wa unyenyekefu,,moto wa maombi ,, Amen & be blessed

  • @franciscahboniface2034
    @franciscahboniface2034 Před 3 měsíci

    Amina

  • @YudeRichard-zw5dq
    @YudeRichard-zw5dq Před 2 měsíci

    Baba Ninna barikiwa mno na mfundisho yako MUNGU akubariki

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 Před 4 měsíci

    Baba nitumie mwaka huu.Sitaruhusu adui atumie pesa zangu,afya Yangu haitatumika na shetani in Jesus name amen

  • @agnesNdonde
    @agnesNdonde Před 2 měsíci

    Nimebadilika kiroho na kimwili toka nimeanza kumfatilia huyu baba Mungu amtunze kwa ajili yangu😊

  • @nelsonechesa2200
    @nelsonechesa2200 Před 4 měsíci

    Umenibariki sana sana mambo makubwa yametendeka hallelujah utukufu Kwa Bwana wetu Yesu christo

  • @maritinanzungula1209
    @maritinanzungula1209 Před 4 měsíci

    Amen namushukuru Mungu Kwa hayo maombi,,kwakweli,,sijatoa sadaka lakini anaona Roho Yangu, maombi hayo,yanikomboe Kwa jina la Yesu kristu,

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Před 3 měsíci +1

    Amen amen

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l Před 4 měsíci

    Ee Mungu Baba weka uharibibali , uovu, magonjwa weka mbali na Mimi FUTA aibu zaote Ee Bwana.

  • @sililosinayobye53
    @sililosinayobye53 Před 4 měsíci

    Amen Pastor napenda unavyorichambua neno Mungu

  • @josephinemutua3768
    @josephinemutua3768 Před měsícem

    For those few days I have received something great .My God bless you

  • @user-qw1ft2ss7u
    @user-qw1ft2ss7u Před 2 měsíci

    Baba ubarikiwe napata maarifa mengi kupitia wewe.i am lazaro nsuto.from ddm town

  • @NociattaJustine-wh9sg
    @NociattaJustine-wh9sg Před 4 měsíci

    Mungu ani vushe iki kipindi kizito niko ndani na magonjwa pamoja

  • @user-rh7sb4lo9k
    @user-rh7sb4lo9k Před měsícem

    Nauliza swali tafathali . Niliachana na mme wangu kwasababu yakunipiga hadi nikiwa mjamzito hadi mtoto akiwa chini ya miezi miwili.tumeseparate 4 two

  • @AndrewWoiso
    @AndrewWoiso Před 4 měsíci

    Amina sana asante Mungu barikiwa zaidi Mtumishi nimeuona mkono wa bwana

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa Před 3 měsíci

    Asante Leo nmepata neno jipya asifiwe Yesu

  • @user-ld7tp4uc3l
    @user-ld7tp4uc3l Před 4 měsíci

    Navuka Kwa jina Kristo Alie hai. Vikwazi, maneno yaliyosemwa juu yangu navuka

  • @user-qi9gc7br4n
    @user-qi9gc7br4n Před 3 měsíci

    Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @faithe4063
    @faithe4063 Před 3 měsíci

    Powerful message to all Christians May God bless you pastor

  • @user-dg8pz2sc9h
    @user-dg8pz2sc9h Před 4 měsíci

    Amen pastor ubarikiwe nataman na mm Bwana anitumie kama ww Pastor

  • @annalicealchard1827
    @annalicealchard1827 Před 4 měsíci

    Najiunganisha na maombi haya kwa jina la Yesu kristo

  • @deborahmakisha
    @deborahmakisha Před 4 měsíci

    Barikwa mtumishi kwenye tv yanapatika haya mafundisho

  • @NociattaJustine-wh9sg
    @NociattaJustine-wh9sg Před 4 měsíci

    Baba niko apa naomba moto wa roho mtakatifu nanguvu zaki roho na maombi ju ya nyumba yangu na tumbo langu niko congo

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x Před 4 měsíci

    ASANTE Mtumishi wa MUNGU Ubarikiwe

  • @noellyamuya3844
    @noellyamuya3844 Před 3 měsíci

    Amina katika jina la YESU

  • @bellahgift3948
    @bellahgift3948 Před 3 měsíci

    Nsombe niwe.muambaji God give me power

  • @lilianwilliam8967
    @lilianwilliam8967 Před 4 měsíci

    Amen barikiwa mtumishi wa mungu

  • @user-py2ko5wg6v
    @user-py2ko5wg6v Před 4 měsíci

    Naamini nitakuwa na ma adiliko amen

  • @santinakitalika930
    @santinakitalika930 Před 4 měsíci

    Mungu akubariki sana Mt wa Mungu alie hai

  • @nickolassimion
    @nickolassimion Před 4 měsíci

    Hakika hakuna asiyetaka kujufahamu njia sahihi. Ila mafundisho hayapo. Nabarikiwa sana.

  • @tinamturi6599
    @tinamturi6599 Před měsícem

    Amen Amen Baba nabarikiwa sana

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 Před 3 měsíci

    Ameen and Ameen Our God is powerful

  • @levinangowi5246
    @levinangowi5246 Před 3 měsíci

    Pastor Bwana yesu asifiwe naomba kuuliza kwanini ninakosa Amani kila baada ya mda

  • @diananaswa4842
    @diananaswa4842 Před 4 měsíci

    Asant nmepokea kwa jina la yesu

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 Před 4 měsíci

    Baba nifanyike baraka kwa wengine

  • @annapeter1280
    @annapeter1280 Před 3 měsíci

    Ameeeeeeen Barikiwa Baba

  • @user-ed2jz5ym9u
    @user-ed2jz5ym9u Před 3 měsíci

    Ubarikiwe na mungu

  • @Daniella249
    @Daniella249 Před 4 měsíci

    Amen 🙏 Mungu nitumie sasa niko tayari

  • @estergasaya6935
    @estergasaya6935 Před 3 měsíci

    Amina baruwa sana mtumishi

  • @mulengasson
    @mulengasson Před 4 měsíci

    Ameen ujumbe mzuri mtumishiii

  • @lightnessmakenekbnml8386
    @lightnessmakenekbnml8386 Před 4 měsíci

    Imetendeka kwa jina la Yesu. Navuka

  • @KennedyZabron
    @KennedyZabron Před 4 měsíci

    Amina ubarikiwe sana mchungaji hakika ni ukweli

  • @BrighertChola
    @BrighertChola Před 4 měsíci

    Am following you and am blessed with your words I am from Lusaka Zambia

  • @user-mw6gq2np7w
    @user-mw6gq2np7w Před 4 měsíci

    Right now niko Saudi Arabia,,to be honest nimekua nikifatilia more pastors online but finally niliposkiza huyu pastor i just feel blessed and i heard to subscribe,,,be blessed Man of God May god Guide u always

  • @user-bu9mj9gy2m
    @user-bu9mj9gy2m Před 4 měsíci

    Amina barikiwa nikiwa Mbeya Tukuyu

  • @lawrencemsangi3837
    @lawrencemsangi3837 Před 4 měsíci

    Amen Mtumishi wa Mungu

  • @user-kn8hr4bo2c
    @user-kn8hr4bo2c Před 3 měsíci

    Man of God,,,I've been following you and your have become a blessed to me,,,,,,,,,,,,,, ,,,,, man of God your massages are powerful,,,,,,,, , I'm Josephine from Kenya, please man of if its possible say a word to me,,,,just say something to me, let your God be my God,,,,,,,,,,,, Amen

  • @user-yl2gp2eh1n
    @user-yl2gp2eh1n Před 4 měsíci

    Asahnte kwa ufafanuzi kweli pasta❤

  • @user-kw8ex5hv4e
    @user-kw8ex5hv4e Před 4 měsíci

    Amen naomba kivushwa

  • @slamafamily5720
    @slamafamily5720 Před 4 měsíci

    Amen Amen barikiwa sana pastor 🙏

  • @PurityMwaka-lm7hs
    @PurityMwaka-lm7hs Před 3 měsíci

    Bwana yesu asifiwe pst kw kwle tok niligundua hay mafundish yk youtebu kusema kwli naona nikiwa nimeend kiwango kingine mm n mkenya ila kw sasa nik saudia n hii mafundisho yamenifany niwe n ibada kil ijumaa

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em Před měsícem

    Amen Amen

  • @kauyemhando107
    @kauyemhando107 Před 4 měsíci

    Barikiwa Pastor

  • @doristuebbing8894
    @doristuebbing8894 Před 4 měsíci

    Mungu akubariki na kukuinuwa zahidi

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 Před 3 měsíci

    Amina Amina

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 Před 3 měsíci

    Ameen

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 Před 4 měsíci

    AminaAmina

  • @sandrajosphine4606
    @sandrajosphine4606 Před 4 měsíci

    Nikweli kabisa baba mtume wa mungu

  • @user-hh5so6ss8r
    @user-hh5so6ss8r Před 4 měsíci

    Ameen nabarikiwa sana pastà

  • @Jacklinjohn-cr4vs
    @Jacklinjohn-cr4vs Před 4 měsíci

    Nisamehe BABA kwa hay mafundisho hakikaa nitajitekebisha

  • @user-sh1dp6kb1x
    @user-sh1dp6kb1x Před 4 měsíci

    Asante nabarikiwa sana

  • @user-se7tv3ex7o
    @user-se7tv3ex7o Před 4 měsíci

    Amina Amina so touching

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x Před 4 měsíci

    MUNGU naomba unisaidie

  • @jacklinekerubo5352
    @jacklinekerubo5352 Před 4 měsíci

    I'm blessed with your teachings.. more Grace pastor.from Kenya Nakuru

  • @lucymwangi845
    @lucymwangi845 Před 4 měsíci

    Amen amen 🙏

  • @RuthMomanyi-bh3ez
    @RuthMomanyi-bh3ez Před 4 měsíci

    Ameeeeeen nabalikiwa tu sana

  • @LillianNgao-ob1pl
    @LillianNgao-ob1pl Před 2 měsíci

    Oooooh hallelujah 🙏🙏🙏

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Před 3 měsíci

    Barikiwa sana

  • @EsthermlongoEsther
    @EsthermlongoEsther Před 4 měsíci

    Amen 🙏 Amen 🙏

  • @mercylangali8059
    @mercylangali8059 Před 4 měsíci

    Aminaa mtumoshi

  • @Rebecca_tarimo
    @Rebecca_tarimo Před 4 měsíci +2

    I love the teachings of this man of God,more grace

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x Před 4 měsíci

    AMINAAA

  • @MweshMwesh-dr5lp
    @MweshMwesh-dr5lp Před 4 měsíci

    Amen🙏

  • @phelesiawerimo2493
    @phelesiawerimo2493 Před 3 měsíci

    Amen 🙏 I'm blessed pastor

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x Před 4 měsíci

    AMENI

  • @neemakaaya3252
    @neemakaaya3252 Před 4 měsíci

    Ameeeeeen

  • @user-rh7sb4lo9k
    @user-rh7sb4lo9k Před měsícem

    Years now,swali nimurudie au niache labda hakuwa wa maisha yangu? Advise me please.

  • @lovenessnakaona
    @lovenessnakaona Před 4 měsíci

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nelsonechesa2200
    @nelsonechesa2200 Před 4 měsíci

    Niko Kenya naitaji namba ya kutuma sadaka Kwa utukufu wa Bwana wetu Yesu christo

  • @JustaJohn-qt6iv
    @JustaJohn-qt6iv Před 4 měsíci

    Ameni🙏🙏🙏🙏🙏