Semaji lakafu nakukubali sana Naomba upambane sana kukusanya wanachama wengi tupate Ela tumarizie uwanja wetu tuwe nasisi tunacheza kwenye uwanja wetu kila michuano.
Mambo vipi msemaji letu la kavu ahmed ali vpi kuhusu faisal mtoto anatua simba au ndo hivyo tena azam wanatia ugumu fulani hivi ebu nipe majibu hapo nijue halafu vipi beki beki beki beki lameck lawi wanasemaje wana coastal wanatia ugumu fulani hivi
Nimemsikia ibwe akisema fei ni B TANO kumpata FEI vipi unyamani kunampamgo gan kuhusu FEO
Semaji vp usajili umeisha au bado
Safar hii tumejipanga. Chama ni makapi tusiwe wanyonge hsna lolot kama zaman
SIMBA nguvu moja❤❤❤❤❤
Tunataka furaha semaji love simba tunataka ubingwa wa nchi tunatambiwa sana na manyumbu
Semaji thank you bado tunaisu ri ya jobe bila hivyo bado hatuwaelewa
Hongela sana uongoz wasimba kwausajili mzul unao endelea
Allaah atufanyie wepesi mbona hawo tuporo Wana tabia ya kuwafunga miguuu wachezaji watu mungu atusaidie
Zogo mchongo ilifanyika 2022
Semaji lakafu nakukubali sana Naomba upambane sana kukusanya wanachama wengi tupate Ela tumarizie uwanja wetu tuwe nasisi tunacheza kwenye uwanja wetu kila michuano.
nasisitiza tena elia mpanzu na feitoto hizo nisiraha kari msiache kuwasajiri
Na vp kuhusu mayele anakuja simba sports club,
Je mayele yupo simba
Simba hii itakuwa hatali naipenda simba yangu
Kuhusu fei toto vp
Semaji leteni fei ngoma asiondoke
Semaji let jezi zitazituliwa lini
Vip kuhus golikip
Semaji vip kuhusu fei
Vp kuhusu feisali salum
May 9 .2023
iliruka 2023
mimi naitwa rahma nipo zanzibar inatakiwa pecha
Kuusu fei toto anakuja simba
Vip fei toto Simba wataweza?
Semaji lakafu mambo vip
Msemaji mbona tunasikia Lawi kaondo
wajina fanyeni kweli kwa feisal
Mayele yupo simba
Semaji la Kafka vp ishu ya feitoto na fiston mayere ipoje
Kocha vp mbona kimya hadi sasa jamani
Fuatiilia mitandao kocha ameshatambuliswa
Iliruka 2023
Usajili wa mabululu na mayele umeishia wap
Mimi nililipia kadi ktk tawi la simba wilaya ya mvomero kata ya Mkindo kwa Amos Makala lakini hadi leo sijapata kadi yangu ya Simba s.Club
simba kubwa kuliko chama
Tetesi za mayele na mabululu zimeishia wap
Mambo vipi msemaji letu la kavu ahmed ali vpi kuhusu faisal mtoto anatua simba au ndo hivyo tena azam wanatia ugumu fulani hivi ebu nipe majibu hapo nijue halafu vipi beki beki beki beki lameck lawi wanasemaje wana coastal wanatia ugumu fulani hivi
Kanoth bad n mchezaj wetu
Salwa
na kama inahitajika ni ngapi
Vipi kuhusu fei toto semaji la CAF
Limeongelewa hapo
Vip kuhusu fei
2023
Semaj letu,mbona swala lawi wanasema wamerudisha hela za simba?lema mamton hapa
Vpi kuhusu mpanzu
Tuna ipenda simba yetu na tutakufa nayo wenye roho nyepesi wahame.
Mchukueni Feitoto Mali hiyo jamani waambie viongozi chondechonde msimwache kumsajili
We ndo semeji la ukweli hão wengine ni upuputu
Vip kuhus kanoti
Semamaji vipi fei toto
lete feitoto ndio tutaelewana
Fei toto vp
Swala la Lawi , ni Yanga wanawazuzua Cosnti
Naitwa sanga vipi Simba deyi tim Gani tunakutan nayo?😊
Semaji vp kuhusu Fei toto?
Semaji vipi kuusu feitoto
Ahmed vp mmemaliza usajili au vp
Hapan cjalizika tupo kayar kuchangia tunatak aje ndo tuone kweli kuna jicho la mafanikio na usajili bora
Vipi kuhusu feitoto
Namimi nataka kadi mchongo semaji letu kubwa la cuf
Semaji vp kuhusu kanoute. Na manula watabaki au
Msemaji vipi kuhusu fistoni kalala mayere atakuja simba kwel
Vp kanute
safi sana❤ smba
Mimi binafsi simba nimeilubali
Mwaka elfu mbili ishilini na tatu 23
Vo kuhusu fei tot
Kocha wa Simba ni Nani hadi sasa?
Mpanzu aje jamani jamani jamani ni mtu muhimu
Tunaomba mfanya lolote liwezakanolo LAWI afike msimbazi
Vp kuhusu fei toto
Tunaomba kamilisheni ishu ya fei kama pesa zinafer leten account ss wenye uchungu tutachangia
Hii imeenda
fei toto simba hamuna hela ya kumnunua tajiri wenu taperiii
Hnaakili ww
wekeni akaut watu tuchange pesa chap tumchukue fei bana kwangu Kuna 50
NAMIMI Nina 100000
Msemaji, jaribu kuwashauri viongozi wako, wafanye kila namna kumsajili Fei Toto kuwapoza wana Simba dhidi ya Yanga kumchukua Chama.
Semaji nipo chini ya miguu Yako naomba uwasiliane na uongozi wa juu
Bareke anaweza akatusaidia sanaA naombaa kusaidiwa majib SEMAJI LANGU
Mey 23 2023
Inamaana semaji auzioni sms zinazo muitaji feisal
Kumamae na mwaka huuu nyuma mwiko mtafuta fegi sana
Kanoth bad n mchezaj wetu
Kwa nn chama ameenda unyanini bila kuuzwa? hamuoni tumechemsha?
Kanoth bad n mchezaj wetu
Kanoth bad n mchezaj wetu
Kanoth bad n mchezaj wetu