dock sheekh wangu bwana waona mbali sana mtoto mzae mwenyewe kisha akudharau hajui anapo kanyanga sasa wwe ulikanyaga kitambo kabla hujamzaa allahu akbaarr.
Ndio muwe Wakristo njia ni moja tu. Yesu Kristo. Na huyo ndio atawahukumu Dunia nzima bila kujali dini ya mtu. Anasema asiyemfuata yeye Yesu tayari ameshahukumiwa. Saa imekwisha rudini kwa Yesu, kabla hamjachelewa.
@@shabbymakapane1910 المائدة (72) Al-Maaida Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
@@shabbymakapane1910 المائدة (73) Al-Maaida Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.
Mashallaah Dr shulle nimepata faida ya baba yetu adamu kumbe mwenyezi mungu aliangika kabla ya kumuumba yeye kua ampereke peponi kisa afanye kosa achuchwe ndio tumezaliwa sisi nice one mwenyezi mungu akupe Kira la kheri
Utaelewa tu hatuna muda wa kubishana na wajinga kama wewe,najua somo limekuingia vizuri maamuzi ni yako imma ubaki na yesu wako wa bandia au uingie kwa uislam dini iliyo ya haki mbele ya Allah.
punguzeni unafki ,wote mmezaliwa dini mmezikuta Islam,ukristo,nani anaweza kusema dini ya haki ni hii hakuna dini mbinguni..zote ni taasisi za watu binafsi.tafuteni pepo njema kwa kutenda yanayompendeza mwenyezi mungu tu.acheni kukashifu watu na imani zao dini zote ni hapahapa duniani
Hapo kwenye lishe ya mama anayenuonye ni kweli kabisa doctor sure , watoto wanateseka Sana ,mama anashindia mihogo jioni anakula chips na Pepsi maziwa yatakua maziwa kweli?
Sema dini haipelekwi kwa mipasho, dini ni wepesi ktk maneno. Then, Allah alishasema kbl Adam kuumbwa kuwa anataka kumteremsha ktk ardhi (duniani) khalifa. Kwhy hata Adam asingekula tunda sisi tungekuja tu huku acheni visa vya alfu lela wa lela.
Mash Allah dr sule , ALLAH akujaalie kheri zaidi leo na kesho, nyinyi mnatakiwa kutunzwa kwasababu nyinyi ni watu muhimu sana katika dunia
Allah akujengee nyumba dkt Sule, jirani ya mtume Muhammad (s.a.w) peponi. Ameen rabbal alameen.
Ameen Allahuma Ameen
Amin
Amiin
Aamin thuma Aamin
Allah akulipe kheri kipenz cha Nabiina Muhamad....
Huyo ndo dk sule bhana.. Mashaa Allah 😘😘😘💯💯💯
Na kuelewa mno dokt sulle ❤️👈
czcams.com/video/d9SF1-KniIg/video.html
Njoo uone ukubwa namiujiza ya malakul maut
Allah akuhifadh doctor nakupenda sana sheikh wangu
MashaAllah yaani mpaka apa doct nakupata mno❤😗
Mashallah doctor sule Allah akubarikie elimu uzidi kutuelimisha na akujaalie kila la kheri duniani na akhera atujaalie pepo tukufu sote Ammeen
dock sheekh wangu bwana waona mbali sana mtoto mzae mwenyewe kisha akudharau hajui anapo kanyanga sasa wwe ulikanyaga kitambo kabla hujamzaa allahu akbaarr.
Shukran sana sheikh wangu Allah akulepe mema
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @sule shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
Maashaallh 💕💯 ujumbe umefka huo Allah azidi kukupa nguvu yakuelimisha jamii hvyo hvyo aamin💯💖🙏🙏🙏🙏
Ndio muwe Wakristo njia ni moja tu. Yesu Kristo. Na huyo ndio atawahukumu Dunia nzima bila kujali dini ya mtu. Anasema asiyemfuata yeye Yesu tayari ameshahukumiwa. Saa imekwisha rudini kwa Yesu, kabla hamjachelewa.
Yesu sio Mungu wala mtoto wa Mungu tuwache upotoshaji
Toa Andiko ili tuamini unayo sema.
@@shabbymakapane1910 المائدة (72) Al-Maaida
Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
@@shabbymakapane1910 المائدة (73) Al-Maaida
Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.
Ukristo Siyo Dini, Ukristo Ni Ukafiri
Mashallaah Dr shulle nimepata faida ya baba yetu adamu kumbe mwenyezi mungu aliangika kabla ya kumuumba yeye kua ampereke peponi kisa afanye kosa achuchwe ndio tumezaliwa sisi nice one mwenyezi mungu akupe Kira la kheri
Shukran sana nilikuwa cjawahi kusikiya hicho kisa cha nabii ibrahim kwanini tuna mtaja kila swala mashaallah
Mzee wa kujilipua a.k.a DK Sulle
🔥 🔥 🔥
Maa shaa Allah Allah akuzidishie in shaa Allah n
Shukran sana dc sulle nakupenda kwaajili ya Allah
مشاء للهswadakta jazzakum llahu kheri
Jaman dini hazitupeleki mbingun ni Yesu ndiye njia sahihi
Utaelewa tu hatuna muda wa kubishana na wajinga kama wewe,najua somo limekuingia vizuri maamuzi ni yako imma ubaki na yesu wako wa bandia au uingie kwa uislam dini iliyo ya haki mbele ya Allah.
punguzeni unafki ,wote mmezaliwa dini mmezikuta Islam,ukristo,nani anaweza kusema dini ya haki ni hii hakuna dini mbinguni..zote ni taasisi za watu binafsi.tafuteni pepo njema kwa kutenda yanayompendeza mwenyezi mungu tu.acheni kukashifu watu na imani zao dini zote ni hapahapa duniani
Kama si hizo dini ulijuaje yesu ndio njia...??
Shukrani sheikh sule message delivered yaani 👌👌 mashaa Allah.
Allahu Akbar Allah Akbar Allahu Akbar kweli sheikh wangu
Mashallah Allah akulip kila la kher shekh wet Allah akuhifadh inshallah
Mashallah Allah akurinde sheikh
Maashaallah🙏🙏
Mashaa Allah
Sheikh yangu mashaallh
Mashallaah ❤
Mashaallah! Mungu akuongoze kiongoz we2 napenda San kukuckia
Masha allah allah akulinde
Shukraan Sana sheikh jazakallah kher
MashaAllah may Allah bless you 😄😄😄😄😄😄😄🕋🕋🕋🕋🕋🕋
Waislam Neema hz kutoka kwa Allah tuwaombee yalio mama kwa Allah
Insha Allah shikh sulle
ManshaAllah shukurani Shekhe DC Sule Allah akulipe kheri nasisi Allah atuongoze 🙏🙏🙏
Mashallah
Hapo kwa mama anayenyonyesha nimekuelewa vzr sana Dr
Unakuta mama anaamkia uji anaenda sokoni anapigwa jua weee mpaka maziwa yanaganda na ananyonyesa
Shukran
Mashaallah
Somo nzur sheh nashukur
Allah Akbar
Allahu Akbar
Congratulation brother
Mashallah shekh wetu
Mash Allah
Sheikh nakuelewa sana Ila punguza kujimwambafai.
Mashaallah dr sule
Masha Allah do uno vzr
Mashalla
Jamani Allah anikutanishe siku na huyu shekhe uso kwa uso hhhhhhhhh Allah akuhifadhi jamani yani nakupe sana kwa ajiri ya Allah
Mansha Allha. Doctor
czcams.com/video/d9SF1-KniIg/video.html
Njoo uone miujiza na ukubwa wa malakulmaut
Doctor Sulle for life
Maashaallah
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
manshalah
Huo sio mfumo mzuri wa Da'awa
Kwanin??
Kwa nn sio mfmo mzur ?????
Njoo na wako ulio sahihi, yy amejitahid na dunia inashuhudia
Mungu akupe maisha marefu kwa kuendeleza daawah
Shekhe allwa akupe umri mrefu
Shukrani,umetukumbusha kitu,alhamdullillah.
Heshimu Uheshimiwe Elimu yako kuwa kubwa sio kuwadharau wasio na Elimu
Allah اکبر
Allah swali Ibrahim walahil Muhammed.
Masha'allah
Maashallah nakupenda kweli 🌹
Masha Allah
Mashaallah 🙏🙏
Nice
Shukuran
MashaAllah
MashaAllah
Maa Shaa Allah 😅😅😅😅😅😅
Maa shaa Allah
Allah wakabar
Mashallah..mawaidha mazur
MashaAllah 🤣🤣🤣 doctor....
MA Sha Allah
Mashallah Dr,sule inshaallah Allah tuongeze ktk njia za kheriiiii
Ukiwa naakili utaelewa ujumbe wa Leo ni matusi ya Musa kwa Adam .
Maneno mengi uwongo mwingi
ALLAH AKBAR DR SULE UKO VIZURI.ALLAH AKUPE UMRI MREFU
Takibilieeeeeeeeee
Masha Allah ❤️
Masha Allah tabarakallah
Ishaalla mungu akupe maiaha malefu
🤣🤣🤣🤣🤣.... Unatiaha mkubwa... Kuna Mzee mmoja kafa kangwata na mbwa wake mwenyewe umkumbuki Jina... Hatar...
waambie hao shehe
Dr sule napenda sana kukusikiliza
Yeah
Jamni ata km ukiona doge yy zaidii2uuu love u doct❤😀
Hapo kwenye lishe ya mama anayenuonye ni kweli kabisa doctor sure , watoto wanateseka Sana ,mama anashindia mihogo jioni anakula chips na Pepsi maziwa yatakua maziwa kweli?
Mashallah Allah
Maanshaalaa
Mashalah
Sule nakukubari Sana
Mashallah 😍
czcams.com/video/d9SF1-KniIg/video.html
Njoo uone miujiza naukubwa wa malakulmaut
Ndio maana mwanangu nampa uji mwepes
Jazaakallahu khayraa
mazinge
Njoo tena Igunga
Sema dini haipelekwi kwa mipasho, dini ni wepesi ktk maneno. Then, Allah alishasema kbl Adam kuumbwa kuwa anataka kumteremsha ktk ardhi (duniani) khalifa. Kwhy hata Adam asingekula tunda sisi tungekuja tu huku acheni visa vya alfu lela wa lela.
Na hicho kisa alichohadithia sio sahihi hakipo
@@issashigela2574 kabsa
Haupo sawa
@@asmamaarifa2649 usawa ni upi
@@asmamaarifa2649 hicho Qisa hakipo katika visa sahihi kama unabisha mtafute Dr. Sule umuulize kakitolea wapi
❤❤❤❤❤
Swadaqt shehk
Huyo ndo Dr sule sasa😂🇨🇩🤝
Firaun