MJANE aliyekuwa ANALALA STENDI na WATOTO WAKE AJENGEWA NYUMBA NA MALISA, WAZIRI GWAJIMA KUMKABIDHI

Sdílet
Vložit

Komentáře • 93

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Před měsícem +14

    Allahu Akbar mashallah kwa kila alie husika Allah mbarik

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před měsícem +11

    Mungu awazidishie wale wote wsliojitoa kumsaidia huy mama.

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Před měsícem +9

    Mungu awabariki mjaze pale mlikotoa.

  • @user-nt6fb2ky3t
    @user-nt6fb2ky3t Před měsícem +3

    Usimuache mungu katika maisha yako ya hapa nchini ya jua Kwa Yale aliyokutendea maishan mwako.,ashushwaye bwana atampandisha na kuketi na wakuu juu.

  • @Official83640
    @Official83640 Před měsícem +6

    Allah awabariki wote waliochangia

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Před měsícem +3

    Mashaallah' ALLAH Awajaalie nyote mloshiriki kumdaidia huyu mama

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 Před měsícem

    Mungu awazidishie wote waliochangia huyu mama Allah amjalie afya na umri Aisha Ione vijukuu vyake

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před měsícem +1

    Ndugu Malisa Mungu akubariki sanaaaa palipopungua mungu akuongezee kwa kymsaidie Mjane na wengineo waliohusika kwa namna moja au nyingine

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 Před měsícem +5

    Malissa na Gifted hands Mungu ndio atawalipa

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t Před měsícem +2

    Hongereni kwa kumjengea nyumba huyu mama na mungu awabariki

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Před měsícem +2

    Mbarikiwe sana watumishi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 Před měsícem +1

    Dah kumbe sio kila anaeomba msaada stendi ni tapeli 😢😢, Mbarikiwe sana mlofanya hili swala

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 Před měsícem

    Mashaaallah Allah Awazidishie baraka tele wote waliochabgia ujuze wa hii Nyumba

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Před měsícem +2

    Alhdulillah Allah awbarki wote mliohuska Amiima

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 Před 19 dny

    Pole Sana mm

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Před měsícem +1

    Mashallah Allah s.w amjalie heri na baraka huyo aliejitolea kumjengea nyumba

  • @mwantumubakari5904
    @mwantumubakari5904 Před měsícem

    Mwenyezi mungu awape baraka wale wote mliojitoa kwa huyu mama

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 Před měsícem +2

    Hongera sana mtumishi wa mungu

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Před měsícem

    Hongereni sana kwa kazi yenu kubwa sana ya kuwajali watu wanaishi kwenye mazingira magumu. Waliokuwa wanamnyanyasa wanaona aibu . Walidhani wanandhalilisha kumbe wamempeleka kwenye baraka zake . Mungu wabariki wote waliojitolea kumjengea huyu mama nyumba .

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE Před měsícem

    Hongereni mno kweli waziri mungu akulindesana akutunze na unajua mungu mungu akukumbuke wewe na watoto wako mama.

  • @isaachance8724
    @isaachance8724 Před měsícem

    Mungu akubariki aendelee kuwainua kuwatunza na kuwapigania kwa upendo huu mkuu wa kiungu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Před měsícem

    Mashallah

  • @kigoratheson4676
    @kigoratheson4676 Před měsícem +4

    Wakati wa mungu ni wakati sahiihi

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 Před měsícem

    Mwenyezi mungu atawalipa wote mlio mchangia mungu awabariki hao watoto wake nao mungu awabariki wasome waje wamsaidie mama yao hao ndugu wa mume waliyo mnyanyasa walaaniwe maisha yao yote

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Před měsícem +2

    Mungu ni mwema sana hongera sana dada

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Před měsícem +3

    Watanzania kungekuwa Na mshikamano kama huu na upendo daima wengi wangesaidiwa

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 Před měsícem

    Mungu awabariki sana walenwaliitoa

  • @zenorinamwacha8115
    @zenorinamwacha8115 Před měsícem

    Mungu hawabariki wasafi midia😊

  • @joantharajab4583
    @joantharajab4583 Před měsícem

    mpango wa mungu ni mkuu sana

  • @deogratiuskweka8488
    @deogratiuskweka8488 Před měsícem +1

    Mungu awabariki sana!

  • @user-wq8kw7wb1n
    @user-wq8kw7wb1n Před měsícem

    mungu awabaliki mnoo awazidishie hakika Tz ni nchi ya ahad

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Před měsícem

    Asante Yesu watanzania wanaroho nzuri na dini zetu mbili tunasusana tunapatana watuache

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Před měsícem

    Bismillah MASHAALLAH nyumba nzr

  • @SamsonMalisa
    @SamsonMalisa Před měsícem

    God bless you GH

  • @JoyceMsungu
    @JoyceMsungu Před měsícem

    Mungu awabariki Sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Před měsícem

    Waziri Gwajima mwanamke shupavu sanaaaa diyo wa kujilemba huyo ni hapa kazi tu

  • @monicamwainunu7908
    @monicamwainunu7908 Před měsícem

    Mbarikiwe sanaa

  • @ziadaissa-oq2kh
    @ziadaissa-oq2kh Před měsícem

    Mungu mkuu ametenda

  • @moseslaizer7349
    @moseslaizer7349 Před měsícem

    Mimi naamini Mungu hajawahi kuwatupa watu wake Mungu awatunze sana

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Před měsícem

    Mungu awabariki sana watu wa Mungu amina

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu Před měsícem

    Mashaallah mungu atawalipa

  • @goshenieagleWOG
    @goshenieagleWOG Před měsícem

    Weeee amezaa hadi one hallelujah 🎉🎉🎉

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 Před měsícem

    dah mungu awabaliki sana warewote murie musaaidia

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 Před měsícem

    Mungu akubariki sana uliyefanya hayo yote wabarikiwe wote walioguswa kuhusu huyo mama

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 Před měsícem

    Mashallah 🙏

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h Před měsícem

    ❤❤❤❤❤❤mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤❤

  • @zainab8251
    @zainab8251 Před měsícem

    Mashaa Allah

  • @hassanmunga7911
    @hassanmunga7911 Před měsícem

    Allah Aqbar kweli usihuzunike ana yupo

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts Před měsícem +1

    Ila mungu jamani acheni atukuzwe daima yani machozi kunitoka tu

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena Před měsícem

    Mungu ni mwema❤

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Před měsícem

    Allahu akbar

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Před měsícem

    Mungu Akitaka kukupa Anakupa tu Na manyanyaso waliokupatia leo ndipo watabisha hodi kwako

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Před měsícem

    Awesome

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Před měsícem

    Ndugu wamme achen roho mbaya jaman hii dunia tunapita hamaogop mungu duuh mie mungu asinijalie roho kam hii

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Před měsícem

    Alhamdulillah ❤❤❤

  • @JohanesPatrick
    @JohanesPatrick Před měsícem

    Mung.akupe.maish.maref

  • @ntangiregemfuruki5478
    @ntangiregemfuruki5478 Před 26 dny

    ❤❤MUNGU MWEMA.UNATUPA WATU WEMA WALINDE WSPE AFYA LINDS FAMILIA ZAO WATETE MDA WANAO UTUMIA WAVIUMBE WENGINR.MH.AKUPE RIZIKO AKUPE AMANANI ❤LOVE YOU😊

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 Před měsícem

    ❤❤❤

  • @claratemba44
    @claratemba44 Před měsícem

  • @judithminja6386
    @judithminja6386 Před měsícem

    Nimeskia ata kulia

  • @nyamizimpangule8640
    @nyamizimpangule8640 Před měsícem

    Mungu atawalipa

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 Před měsícem

    Malisa n mtu wa maan kabsaa

  • @goshenieagleWOG
    @goshenieagleWOG Před měsícem

    Hapo kwenye kukabidhi kumchagua gwajima ni mtu sahihi anaupendo sana yule mama mpenda haki

  • @justinecom7461
    @justinecom7461 Před měsícem

    Mungu ni mkubwa🙏🙏

  • @danielkanso
    @danielkanso Před měsícem

    Mungu ni mkuu zaidi ya yote

  • @dfixmoblab
    @dfixmoblab Před měsícem

    🎉

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 Před měsícem +1

    MUNGU ni MWEMA sana

  • @juniormanka9679
    @juniormanka9679 Před měsícem

    Hawatafuti vyao wanasubiria ndugu yao afe waje kuhamia na watoto wao😂😂dunia rangi rangire

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 Před měsícem +1

    Mawifi na mashemegi shikamooh 😢mahasidi mulimpiga chura teke aibu mnao aya basi musimroge😢😢😢

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Před měsícem +1

      Wajane wengi wanateseka sana kwa ndugu wa mume kwa ajili ya tamaa ya mali

    • @user-mm5zq7sf1h
      @user-mm5zq7sf1h Před měsícem

      Yaan ww achen kabisa sitak ata kusikia familia ya mume walivyo nifanya kwa kwel Mungu ni mkubwa na Mungu hamtupi mja wake

  • @EdwardLeonard-ql4hb
    @EdwardLeonard-ql4hb Před měsícem

    Kila jambo na majira yake ,,,Ni majira ya huyu mama MUNGU amemkumbuka na ,MUNGU awabariki woote waliohusika kwa namna moja ama nyingine

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Před měsícem

    Dhulma haidumu ila kinachodumu ni hasara now hyu Alie wadhulumu wakijua kuwa ndio mwisho wamaisha yake nafamilia sasa ameumbuka na ataendelea kuumbuka. Baadhii ya wananduku sijui wanamawazo gani kiukweli kweli una ufiwa na kaka yako au mdgo wako alafu unakuwa jasir kuwafukuza watotp wanduku yako na mjane😢😢😢 kweli.
    Wew unabakia na wakwako ety kuwa hao ndio wenye maana. Au marazingine haujaoa ndio unahitaji uoe kwa nyumba ya ndgyo ? .
    Au pia wenda aliekufa alikuwa ndio anatumali kwenye Ukoo namidume mpo kibao mnaamua kugawana juukwajuu mali za marehemu mapengine wapo wazaz nao wanakuwa naushikiano kwenya hizi dhulma.
    Moja ya mambo magumu uwe Mkirsto mpagani Muislamu nk Mali ya mayatima ukila bila ridhaa yao unujue Utakuwa dhalili hapa na Aghera. Na jambo jingine yale ulio ytenda ujue pakutokea hap watoto wako unao walisha hz dhulma nisawa na moto ivyo jiandae hiend wao wakaja kuwa ndio kifo chako.
    😢😢😢😢😢😢 inauma now huenda leo hii mlicho kidhulumu hamnacho tena na ALLAH amemjaalia Huyo mlie mdhulumu maisha na watoto wanasoma vema jiulize hap wako wapo vipi?

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Před měsícem

    Bc ndugu utawaona wnajileta hp nakujifanya kumtacuta wkae nae

  • @mahmodsaidimamu8530
    @mahmodsaidimamu8530 Před měsícem +3

    Hapo atapata mumee anajifanya kumuoa mtaona

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Před měsícem

    KONGOLE XNA JAMAN

  • @kazunguclaver2539
    @kazunguclaver2539 Před měsícem

    MUNGU ALIE MBINGUNI AWABARIKI PIA AWAWEZESHE KUENDELEA KUWAJENGEA WAJANE, MASIKINI, NA KUSOMESHA WATOTO YATIMA DAR NA MIKOA YOTE YA TANZANIA.
    KWENYE NCHI ZETU ZA KIAFRIKA MAMBO HAYA YANGEWEKWA SAWA TENA KIRAHISI SANA NA WENYE UWEZO.

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 Před měsícem

    Hiyo ndio nyumba sio zile anazo Jenga mheshimiwa foundation mbeya

    • @cadiaOnesmo-hd5lr
      @cadiaOnesmo-hd5lr Před měsícem

      Heri yeye ametoa kidogo alichonacho wewe ulichotoa tuonyeshe na wewe tuone kama nikikubwa ila kwa Mungu yeye ametoa na Mungu kabariki haijalishi

  • @samtechtanzania3252
    @samtechtanzania3252 Před měsícem

    MALISA POPOTE ULIPO TUNAOMBA UJE URIPOTI POLIS HAIWEZEKANI😀😀😀😀😀😀😀 MOTO ANAKUITA SENTA MANJANGUUU

  • @edsonkennedy8027
    @edsonkennedy8027 Před měsícem

    wasafi mnajua kutembelea na upepo wa mafanikio sio kuibua matatizo ya watu.kwanza mkupasa kuonesha sababu mpo kwa ajili ya mafanikio mbona aliyefanya malisa G au kwa sababu mwana harakati wa upinzani na nyie ni chawa wa mafanikio

  • @kazunguclaver2539
    @kazunguclaver2539 Před měsícem

    MUNGU ALIE HAI MBINGUNI AWABARIKI.

  • @HamiarmayaiHamd
    @HamiarmayaiHamd Před měsícem

    Wamama km hao mbona wako wwngi mjini

    • @hanafhamad2801
      @hanafhamad2801 Před měsícem +2

      ni muda wake umefika alio andikiwa kupa na hao wengine muda wao wa faraja upo njiani subra ni ngao ya mchamungu

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani Před měsícem

      Sema hao wengine pengine wanaendelea kumlaani Mungu juu ya matatizo Yao,
      Ila huyu ameanza kumwomba na kumshirikisha Mungu mapema.

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 Před měsícem +1

      Kila mtu na bahati yake

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Před měsícem +1

      Bahati ya mwenzio........

  • @kazunguclaver2539
    @kazunguclaver2539 Před měsícem

    SERIKALI YA RWANDA INAWAJENGEA WAJANE, MASKINI, WATOTO YATIMA, WAZAZI WASIO NA WATOTO, NYUMBA KAMA ZA VIJIJI VYA UJAMAA SEHEMU MOJA ZINAITWA UMUDUGUDU NDANI YA NCHI YOTE YA RWANDA.

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 Před měsícem

      Unazungumzia rwanda ambayo ni sawa na mkoa mmoja wa hapa tanzania? Hiyo idadi ya hao wajane wa rwanda nzima zidisha mara mikoa 25 kisha uone tanzania inaweza kujenga kwa hao wajane?

    • @Khadija-ne8ul
      @Khadija-ne8ul Před měsícem

      Unafananisha rwanda na Tanzania? huku kwetu ni kama wilaya moja ndani ya mkoa population yenyewe ndogo