Jinsi ya kupika Vibibi vitamu sana/ rice pancake and coconut milk sauce

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 08. 2024
  • Mahitaji
    Mchele 1/2 kikombe
    Tui bubu kikombe 1
    Iliki 1/4 kijiko cha chai
    Hamira kijiko kimoja cha kulia chakula
    Sauce ya vibibi
    Maji vikombe viwili
    Nazi ya unga vijiko 3 vya kulia chakula
    Custard powder 1/2 kijiko cha kulia chakula
    Vanilla extract vijiko viwili vya chai au iliki 1/2 kijiko cha chai
    eastafricanfood...
    wardytor?igshid...

Komentáře • 59

  • @LaadiBrand-o3d
    @LaadiBrand-o3d Před 23 dny

    Mashawallah 😊

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Před 3 lety +1

    Mashallah

  • @munnykara4649
    @munnykara4649 Před 3 lety +1

    Mashallah vinatamanisha

  • @fatimatuzahra3900
    @fatimatuzahra3900 Před 3 lety +1

    mashallah

  • @aishasalim1281
    @aishasalim1281 Před 4 lety +2

    Ma shaa Allah vbb 👌🏾

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Před 3 lety +1

    Mashallah vizuri sana.tunaomba utufanyie mkate wa sinia ule wa nyumbani.

  • @ukpreppermuminspire-shoppingpa

    Great rice pancake recipe 🌷👍👍

  • @rashidmasoud9015
    @rashidmasoud9015 Před 3 lety +1

    Nice

  • @thourasaif5654
    @thourasaif5654 Před 3 lety +1

    Yummy

  • @expatinksa5658
    @expatinksa5658 Před 4 lety +1

    great recipe
    rice pancake looks delicious

  • @stunninglula4455
    @stunninglula4455 Před 4 lety +1

    Masha Allah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Před 3 lety

    Mashallah tabarak Rahman 🥰🥰🥰🥰

  • @saudawaziri2546
    @saudawaziri2546 Před 4 lety +1

    Mashaallah....

  • @mahidalham1965
    @mahidalham1965 Před 3 lety +2

    Mashallah nimependa sana hi bc nlikuwa natafuta hi i upishi

  • @mwanahamisibakari3719
    @mwanahamisibakari3719 Před 3 lety +1

    mashaAllah 👌👌

  • @chumuabraham5461
    @chumuabraham5461 Před 4 měsíci

    Iyo mashine uliosagia ni ya vitu vikavu?

  • @kudrathassan3003
    @kudrathassan3003 Před 4 lety +1

    Ntajaribu thanks

  • @badrunisamursal3316
    @badrunisamursal3316 Před 4 lety +1

    Zakallahu kheri Masha Allah , mchele gani hasa mzuri na kwa nusu mchele hamira vijiko vingap

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 4 lety +1

      Mchele mzuri ni V.I.P na basmati. Kama mchele utakuwa nusu kilo weka hamira kijiko cha kulia chakula kimoja na nusu au viwili .

  • @taymurbasheikh1294
    @taymurbasheikh1294 Před rokem

    Nauliza hauwezi kuweka sukari kwenye vibibi kidogo Kisha pia kidogo Kwa tui

  • @faizaahmed6282
    @faizaahmed6282 Před 3 lety +1

    Mashaallah hbbty mbona hajaweka sukari

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Hi dear , nimeweka kwenye rojo la vibibi sukari , kama unataka iwe vitamu sana unaweza kuweka kidogo kama kijiko kimoja kwe vibibi wakati unasaga💕

  • @asiyamuscat-oman2283
    @asiyamuscat-oman2283 Před 3 lety

    Asante kwa upishi wa vibibi. Naomba vipimo uweke kwenye description box. Greetings from Oman ❤❤

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Ok dear nitafanya hivyo, Shukran ❤️

    • @jamylahbaruti3176
      @jamylahbaruti3176 Před 3 lety +1

      @@wardakhalid292 Ukumbusho kuweka vipimo kwenye description box tafadhal. Shukran

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety +1

      Ok dear nimeshaweka 💕

    • @jamylahbaruti3176
      @jamylahbaruti3176 Před 3 lety

      @@wardakhalid292 Shukran sana! Swali kuhusu tui kikombe himoja. Ni kicombe cha chai au kikombe kama measuring cup, 1 Cup. Nitashukuru ufafanuzi 🤗

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety +1

      Ni measuring cup

  • @dhamirarajabu7792
    @dhamirarajabu7792 Před 3 lety

    Naomba kujua mapishi yamahalage yakukata

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Achalia hii video ya Mbaazi za kukata ndio njia Hiyo Hiyo unatakiwa kutumia kupika maharage ya kukata.
      Link hii hapa👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      czcams.com/video/AH1zRrYsw5c/video.html

  • @realkhamso2224
    @realkhamso2224 Před 4 lety +1

    tofauti ya mkate wa chila na kibibi ni ipi?

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 4 lety +2

      khamis mahmud kwa ninavyofahamu mimi chila vinakua havina rojo. Ila vibibi lazima viwe na rojo ila process za kuviandaa na kupika zinafanana. Na utamu wa chila unakuwa tayari uko ndani ya chila, ila vibibi utamu wake uko kwenye kwenye hiyo sauce ya kumwagia juu.

  • @tabumpate9762
    @tabumpate9762 Před 3 lety

    KAMA SINA BLENDA NAWEZA KUSAGA MCHELE MASHINE

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Yes unaweza , unachanganya unga wa mchele, hamira , Iliki na tui the unaacha viumuke then unaweka sukari na kuchanganya vizuri na baada ya hapo unapika vibibi vyako kama kawaida

  • @azzybozzely611
    @azzybozzely611 Před 3 lety +1

    Hiyo powder inaitwaje je kama hauna unaweza kuweka tui pekeyake

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Nimetumia custard powder na nazi ya unga dear.
      Yes, unaweza fanya na tui bubu , sukari na iliki mpaka liwe zito then unamwagia juu💕

  • @ANIAFEROUZ
    @ANIAFEROUZ Před 4 lety +1

    Kama hauna coconut milk can you use normal milk

  • @Luweenamandal2911
    @Luweenamandal2911 Před 2 lety

    Zaid mchele gani unatumia ama wowote

  • @iddim.bakuli9395
    @iddim.bakuli9395 Před 4 lety

    Hakuna msosi nimeumiss Kama huu.. Nina Kama miaka kumi na moja sijala... Lkn kwa njia uliyokuja nayo nitajaribu kupika then nitawasiliana nawe... Nitext +249117504073. Shukran

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 4 lety

      Unaweza kunipa feedback kupitia page yangu ya mapishi ya instagram eastafricanfood_. instagram.com/eastafricanfood_?igshid=cbf0l09fdufi

  • @samiraamer5911
    @samiraamer5911 Před 3 lety

    Wakat wa kuchoma huwek mafuta

    • @wardakhalid292
      @wardakhalid292  Před 3 lety

      Hapana hauweki
      Unatakiwa kutumia pan ambayo haigandishi chini.

    • @samiraamer5911
      @samiraamer5911 Před 3 lety

      @@wardakhalid292 sawa kumbe mim nlikua naweka mafuta nakuta vigumuuuuu