IKIWA SHIDA YAKO NI MALI SOMA SURA HIZI 2 TU UTATAJIRIKA, MDENI HATOKUDAI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 02. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    CZcams: www.youtube.com/@RiyadhTvOnli...

Komentáře • 97

  • @user-kl4km4tj3q

    Assalam alaikum sheikh mm naitwa Fatma mwalimu kutoka Kenya Nina mitihani mizito Sana hata hayaelezeki ya Kila aina maradhi , kuchukiwa na mume ndugu majirani na hata mahalo popote nitakuwa na mm niliugua maradhi ya akili natumai madawa ya hospital lakini nazidi kulemewa UTI wa mgongo ,kichwa,kifua,kiuno mbavu,huzuni nataka kukaa pekeyangu lakini alhamdhulilah ibada zangu nafanya. Naomba unifanyie Dua na mm mambo yangu yafunguke pamoja na watoto wangu lnshallah Allah akujaze kheiri lnshallah

  • @MuhammadHassan-rg7ch

    Naitwa aisha today niolewe miaka kumi na nne sina raha ya ndoa nadhalilika niombee Allah anipe alie mwema nikuwe na mawadda

  • @fatumaIddi-kb5zy

    Assalamu alaikum.naitwa fatma kamunuh iddi toka kenya naomba pia nikumbuke kwa dua Allah anifungulie maisha inshaallah.Allah akuhifadhi na akupe mema katika dunia na akhera.amiin

  • @saeeed2599

    A aleikum nataka dua mume wangu na mtoto wangu hawana kazi nakuomba dua

  • @NasibuNasibuhamisiGmailcom

    Sheikh minaitwa nasibu bin hidaiya naomba namimi unijumuishe kwenye hiyo dua

  • @user-kf3im1bn4c
    @user-kf3im1bn4c Před 21 dnem

    Aa mie naitwa nuru ali natola kenya mie nintihani mkubwa kutofunguka risk madeni yameniso ga koo sheik naomba nami unitilie dua

  • @user-jc8jf6kt4g

    Assalamu alaykum wa rahmatullah wa barakatuh shekh mie niko south Africa nakufwatiliaga Sana kiukweli majibu mengi nilishapata kwa Adhkari na izo quran unatuelekezaga kiukweli uzidi kuwa na afya na Familia yako Allah awajalie pepo ya fildausi inshaAllah

  • @MwanaidiSaidi-ey8lf

    Asalam alaikum shehe mimi ninaitwa othoman Jackson mambo yangu ni magumu sana kwa kila ninachofanya pia nikaona nibadili dini niwe muslam pia sifanikiwi shehe naomba dua kwako lshaallh

  • @salimmbuleramadhan8120

    Sheikh shukran. Naitwa Halima mohammed, kutoka kenya. Nina mitihani mizito hata nikianza kuzieleza sitozimaliza, wanangu bado wadogo na wanapitia mazito kwasababu ya shida zangu. Naomba mnikumbuke kwa dua, maana naskia nimefika mwisho.

  • @richardahmmady3412

    Nilisahau jina naitwa Ahmad Rich

  • @user-xm7rj8bb2u

    Maashallah jazakallahu khayraa shekhe othman Michael

  • @RamadhaniBigirimana
    @RamadhaniBigirimana Před 16 hodinami

    Shekh naomba uniombeye Dua yangu mambo yangu yaongoke kirizki jina langu Mimi Bigirima na Ramadhani

  • @user-uo1bu4jw2d

    Assalam Alykum sheikh..Naitwa Omari naomba dua nipate wepesi wa maisha inshallah..Mungu akuzidishie kheir

  • @SophiaMbogo-in7yt

    Shukuran jazaka Allah khairan Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera wallahi tunafurhi na kufaa idhika

  • @mwanahamismohamed7877

    Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh shekh wangu yaani nakuombea Mungu akupe uzima na ajaalie uzidi kutufunza mengi shekh wangu mimi ninamitihani sana na hata nikipambana na familia yangu tuivuke bado inajirudia na kwa upendo wa mume wangu mambo hayaendi kabisa hata akifanya biashara zako kulipwa ni mtihani shekh mpk nachoka naomba dua zako

  • @MohammedCheme

    Mashaallah allaahu akbar❤❤❤❤❤❤

  • @KobaAbbas-v5c
    @KobaAbbas-v5c Před 12 hodinami

    A,alaykum, sheikh naomba niwe mwanafunzi wako sheikh natamani sana

  • @FatumaHalima-qj9yi

    A salaam aleikum shehe natokea Kenya uniombee dua kwa maisha yangu n watoto wangu tunapitia mazito naitwa fatuma,Aisha,Shaffi,hawa,aaqil,sahil na iqran tupate wepesi kwa maisha inshaalah

  • @AymanHaji-oy9iw

    Asalam alaykum sheikh naitwa Aiman haji zubeir shekhe mm nlikuw nahitaj Dua mtu nimpendae aje nyumbn na tufunge ndoa inshallah

  • @user-on7sq4bq5h

    Assallam allaykum waramatullahi wabarakhatu sh naitwa ramadhan toka Congo naku omba nisaidiye n'a duwa Allah ani tatuliye matatizo