Goodluck Gozbert feat Bony Mwaitege - Mugambo (Official Music Video) SMS; Skiza 5960151 to 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 01. 2021
  • Goodluck Gozbert presents the music video for "Mugambo" ft Bony Mwaitege
    Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": • Goodluck Gozbert - Kin...
    Follow Goodluck Gozbert
    Instagram: goodluckgoz...
    Subscribe to CZcams Channel: / @gozbertministries
    Mugambo is a Praise song from aYoung consistent Gospel Singer Goodluck Gozbert Featuring the Gospel Legendary singer and Pastor Boniphace Mwaitege,This Video Was Shot in Tanzania Dar es salaam and Morogoro.
    #GoodluckGozbert #Mugambo #NgommaTz
  • Hudba

Komentáře • 3,6K

  • @ProminaMusyoka
    @ProminaMusyoka Před 2 měsíci +52

    Nipate likes za wenye bado tunawatch nii song bado 2024

  • @josephinemuhonja743
    @josephinemuhonja743 Před 5 měsíci +63

    Kama unaamini Mungu I anakupa hatua mbele mwaka huu 2024, sema hallelujah 🙌🙌

  • @HildaMzurikwao-sz1pp
    @HildaMzurikwao-sz1pp Před 20 dny +4

    Comments kutoka Tanzania zipo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @thomaskisia4038
    @thomaskisia4038 Před 3 lety +34

    Naomba hata like kumi song ni fire. KAMA KOMANDO

  • @arthur8627
    @arthur8627 Před 3 lety +49

    Likes za Mugambo kutoka kenya zikuje sasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-gb6mu3ug6k
    @user-gb6mu3ug6k Před 2 měsíci +6

    Mungu Amenipa kutembea atua mbele hata mimi hapa German nyimpo nzuri yakupa moyo❤❤❤

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 Před 3 lety +65

    Kenyan's in the house 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 Před 3 lety +32

    Mimi mtanzania nataka nione like za wakenya wanao mkubali gudluck

    • @marymburu556
      @marymburu556 Před 2 měsíci

      Mungu Amenipa kutembea hatua mbele, kweli,sipale nlipokuwa mbeleni ,utukuzwe Mungu milele🙏🇰🇪🇰🇪

    • @marymburu556
      @marymburu556 Před 2 měsíci

      God bless you,Gooluck,come to Naivasha Kenya again ,

  • @emmanuelanthony3496
    @emmanuelanthony3496 Před 3 lety +6

    Goodluck ndio diamondplatnumz wa Muziki wa injili

  • @classicmediaenter10ment44
    @classicmediaenter10ment44 Před 3 lety +90

    Toka Congo DRC 🇨🇩 naomba Like za Mugambo kama Zote

  • @mariettamwanjala
    @mariettamwanjala Před 2 měsíci +4

    I rocked this song on my son's graduation party and I felt God telling me that he will always lead him hatua mbele ❤❤❤2024 anyone here?❤

  • @marywangui7142
    @marywangui7142 Před rokem +96

    Kama komando tuna songa mbele hakuna kurudi nyuma🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️ if you are from Kenya wapi likes

  • @luxuryrides254
    @luxuryrides254 Před 3 lety +53

    Wakenya tumepiga kambi hapa njooni tusonge hatua mbele... Weka like kama umependa hao dancers jameni. Mob love from Nairobi Kenya

  • @robertlameck7095
    @robertlameck7095 Před 3 lety +113

    Naombeni hata like 50 huuu wimbo ni fire

  • @Alvin_Jibril
    @Alvin_Jibril Před 2 lety +15

    am still watching today coz walai Mungu amenipa kutembea, hatua kwa hatua...wapi likes za Goodluck 💖👍

  • @valentinamaberi7508
    @valentinamaberi7508 Před 3 lety +4

    Duuh!ebu dondoshen likes kwa goodluck jaman

  • @jojosmedia5515
    @jojosmedia5515 Před 3 lety +7

    Kama unakubali kuwa Goodluck ni Platinumz wa kwenye gospel gonga like nikuone

  • @geraldmabwai3296
    @geraldmabwai3296 Před 3 lety +210

    Mungu amenipa kutembea Hatua mbele kama Mugambo,, Likes zenu tWende 2gether

    • @jpchillahmansour6424
      @jpchillahmansour6424 Před 3 lety

      Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
      czcams.com/video/qNVZezKtRxY/video.html

    • @sarajames768
      @sarajames768 Před 3 lety +2

      Nimependa

    • @edgarrich9895
      @edgarrich9895 Před 3 lety +2

      Nyimbo nzuri ujumbe wa Mungu ni h%hatua mbele! 2021 ni kumtafuta Mungu kwa nguvu sana maana hizi ndo nyakati za Mwisho

    • @nikiwejimson8527
      @nikiwejimson8527 Před 3 lety +2

      Nmeinjoi mnoo hauniishi hamu dah

    • @esthernyaitika2502
      @esthernyaitika2502 Před 2 lety

      ⁰0
      0
      9

  • @Jujumimi937
    @Jujumimi937 Před 25 dny +1

    This was sent to me from my daughter the most high God- the music is awesome. I believe it’s for the Lord but the title good luck. God says he does not believe in good luck so it threw me off there.

  • @paulinemangale3019
    @paulinemangale3019 Před měsícem +1

    Yesu amenipa kutembea hatua mbele❤

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 Před 3 lety +263

    Tunao amini MUNGU anaenda kutupa hatua za mbele mwaka huu, na tumshukuru hapa👍🇰🇪🇰🇪

    • @Annngei-sc5bl
      @Annngei-sc5bl Před 3 měsíci

      I love you Jesus.😘🎉🆕❤️😃😀✨⭐👌😁

  • @neemalwitiko4306
    @neemalwitiko4306 Před 3 lety +88

    Aloooooo mbona nimpitwa sana naombeni like basi na mimi jamani sijawahi fikisha ata kumi aya twende hatua mbele🚸

  • @evarichard1005
    @evarichard1005 Před 2 lety +9

    Kama komando wa Yesu tunasonga mbele ....ubarikiwe Goodluck na usonge mbele Kama komando wa Yesu kristo 😊

  • @paulmukoma3929
    @paulmukoma3929 Před 3 měsíci +5

    Najua Bwana unaeza nibalishia haya maisha. Jangwa yangu imekuwa kuliko miaka 40. Mungu Musa mbona Mimi sifiki?

  • @mynanichristine2869
    @mynanichristine2869 Před 3 lety +364

    Loving this song any kenyan in the house tusonge mbele kijeshi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Dee_bugat03
    @Dee_bugat03 Před 3 lety +88

    Km umeangalia kama mm ndo ukacomments like 20 znatosha🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nyongesacaren3277
    @nyongesacaren3277 Před 3 lety +3

    Day!......huu Wimbo no hatari sana.Naweza watch Mara 20 kwa siku na nisichoke. Fiiiiiiiire.wapi likes zake

  • @Shetierysimoni
    @Shetierysimoni Před 2 měsíci +1

    Unakuja broo mungu aendelee kukuongoza na si piah tunaiga kwako

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 Před 3 lety +459

    Naombeni like zisizopungua 100 za Good luck

    • @jpchillahmansour6424
      @jpchillahmansour6424 Před 3 lety +1

      Hello Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
      czcams.com/video/qNVZezKtRxY/video.html

    • @joycekomba4096
      @joycekomba4096 Před 3 lety

      Mungu akubariki goodruck wimbo mzur mubarikiwe wote

    • @mamaboizpure842
      @mamaboizpure842 Před 3 lety +1

      🦸🦸🦸hatua mbele💃💃💃

    • @kulwakayela5955
      @kulwakayela5955 Před 3 lety

      Ngoma Kali hongera

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 Před 3 lety +14

    Mbona siwaoni ndungu zetu wa tz kama mpo npe like

  • @PaulineGloria-kx9zy
    @PaulineGloria-kx9zy Před 2 měsíci +2

    Mungu amenipakutembea hatua mbele kama mgambo I thank you Lord

  • @denismatz2011
    @denismatz2011 Před 6 měsíci +2

    Wow, you sing the voice that God gave you❤😊🎉😮.

  • @diveske1388
    @diveske1388 Před 3 lety +1414

    Kenyans in the house ?🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nione likes zenu 😍😍💕💕

  • @ibramakula8365
    @ibramakula8365 Před 3 lety +17

    Namuona diamond wa kwenye gospel kama nawewe umeona gonga like hapa

  • @shabandon2212
    @shabandon2212 Před 3 dny

    Sure hatua mbele 🔥🔥🔥♥️♥️♥️💪

  • @isaacmwaringa4515
    @isaacmwaringa4515 Před rokem +2

    am your biggest fan of course I download it please give me millions of likes for God LORD of Isaac, Jacob and Abraham will bless you 👍 and Good luck gozbrt God LORD bless you amen

  • @dayanapastor2322
    @dayanapastor2322 Před 3 lety +113

    Nakubali kaka nyimbo zako, aliye mwona Goodluck akicheza mkono juu kwa like 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elizabethsiara9528
    @elizabethsiara9528 Před 3 lety +20

    Wapi like za wa Tanzanian 👏👏

    • @maryzua
      @maryzua Před 2 lety

      Tupo 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @Romyjohns
    @Romyjohns Před rokem

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊😊 hatua mbeleee navuka mbelee nashukuru mungu ..Nani aki na Mimi apa tukivuka mwaka

  • @florencekadilo3156
    @florencekadilo3156 Před rokem

    umepew kutembea hatua mbele.soo guys tembea like commander of christ

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 Před 3 lety +65

    Jmn guys tuview mara kwa mara tuipeleke hii nyimbo one million plzzz.

    • @jumacharles2870
      @jumacharles2870 Před 3 lety +1

      Ikishaview Mara ya kwan tyr ata uview huwez ongeza idad but akiview ambaye hajaview ndo inaongezeka

    • @happinessshirima3279
      @happinessshirima3279 Před 3 lety +2

      Juma Charlie ukivie mara ya kwanza alafu ukiangalia kuanzia mwanzo mpaka mwisho alafu ukaa kama dakika moja hv alafu ukaja ukarud tena kuja kuitazama unakuwa unaongeza views so ukiangalia ata mara 50 ni wew tyuu na Bando lako dear

    • @gavanatheboss9093
      @gavanatheboss9093 Před 3 lety

      Haina maana kuview ngoma za wenzetu tuview zetu au tuview mahubr hahahaha🙌🙌

  • @deborahdeogratius4447
    @deborahdeogratius4447 Před 3 lety +29

    Gospel tamu mnoo.... Like kama nyimbo za gospel zinakubariki

  • @edwardwamalya214
    @edwardwamalya214 Před 9 měsíci +5

    I really give God all thanks and glory, this song is my testimony, amen bro

  • @IreneInnocent-rs5wf
    @IreneInnocent-rs5wf Před 22 dny +1

    Mungu wangu kanipa ujasili ananipenda sana

  • @latiphajackson4901
    @latiphajackson4901 Před 3 lety +59

    Tuliobarkiwa na ujumbe na danciiiiiing🤸🤸🤸💕💕💕💕💕❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃💃

  • @daimakiganjani
    @daimakiganjani Před 3 lety +822

    Bony mwaitege umempa nafasi kidogo ya kuweka mashairi dah...Kama umeona Ilo naomba like🤪

    • @samsonholowa6014
      @samsonholowa6014 Před 3 lety +13

      Yah amezingua goodluck bony anajua kucheza na,kuimba

    • @daimakiganjani
      @daimakiganjani Před 3 lety +4

      @@samsonholowa6014 Kweli

    • @happinessshirima3279
      @happinessshirima3279 Před 3 lety +1

      😃😃🤣

    • @johnshemzigwa188
      @johnshemzigwa188 Před 3 lety +7

      Bony yupo vizuuri sana, yaani kaitendea haki collaboration,ila sasa ni kweli kaachiwa nafasi fupi.

    • @cestjolie5574
      @cestjolie5574 Před 3 lety +4

      I know right🙄🙄🙄🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️? mie nilikua nimedhan et haup at kuem kweny video hii so what a shame and selfish act🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️....

  • @chepkemoiesther684
    @chepkemoiesther684 Před 3 lety +34

    This is marvelous mungu Azidi kukuexpand In his ministry kama wewe ni mugambo this 2021 weka likes hapa , much love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @amanicharlotte8432
    @amanicharlotte8432 Před 2 lety

    DRC, nasi tuna songa mbele,
    Hata kama hali siyo ni mbaya
    May God bless you.
    Kijeshi 🧑‍✈️🧑‍✈️👮

  • @kobiewazza7225
    @kobiewazza7225 Před 3 lety +82

    Hyu ndiyo diamond wetu wa gospel team Kenya mpo

  • @kenny5672
    @kenny5672 Před 3 lety +8

    Huyu mwamba ingekuwa kwenye bongo flava angemtoa naseeb domo jasho sana 🙌 like yako kama unakubaliana na mimi

  • @KellyRich-zo8nq
    @KellyRich-zo8nq Před 25 dny

    Woow kaz nzuri mtu wa munguu napenda sanaa nyimbo zakoo znanifundishaa mengii ubalikiwee sanaaaa na uishi miakaa mingii na ukaendeleee zaid ya hapo

  • @noelyusto7210
    @noelyusto7210 Před 3 lety +5

    Barikiwa mtumishi

  • @annantete8406
    @annantete8406 Před 3 lety +15

    Mwaitege anasauti ya nyimbo za injili yn akiimba mpk rahaa jmn watuludishie waimbaji wetu km hawa ss na kina babati bukuku hatutaki bongo freva🙏🙏🙏🙏

  • @mercypariken938
    @mercypariken938 Před 2 lety

    Nimeisikia milele fm , nikaisaka thank you God bless you people 🙏🙏

  • @rabut.j.1829
    @rabut.j.1829 Před 3 lety +9

    Who is still here🙌🔥🤩🤩my daily breakfast song,it's always a vibe to start my job with it...tupeni likes Tena kama unaitambua hii 🙌💯🙏🏻

  • @kingpraizermfalme9867
    @kingpraizermfalme9867 Před 3 lety +114

    Heheeee aisee this one motoo sana ebu nione likes za goodluck

  • @daudmatane8892
    @daudmatane8892 Před 3 lety +102

    Kama Umebarikiwa na wimbo huu pia ungependa bony aendeleee kuimba tujuane kwa like

  • @BentaAdhiambo-rl8ds
    @BentaAdhiambo-rl8ds Před měsícem

    Aky I just love this song so so much Tanzania mbarikiwe sana mumezaa waimbaji kweli 💕

  • @flossyndovi7914
    @flossyndovi7914 Před rokem +1

    Firing Squad Left /right 🔥 Hands.

  • @odaseston
    @odaseston Před 3 lety +13

    Wale tunaoangalia huku tunasoma na comment tujuane hapa kwa kulike😂😂

    • @juliethjulius5320
      @juliethjulius5320 Před 3 lety +2

      Mim 🤗🤗

    • @jpchillahmansour6424
      @jpchillahmansour6424 Před 3 lety

      @@juliethjulius5320 Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
      czcams.com/video/qNVZezKtRxY/video.html

    • @jpchillahmansour6424
      @jpchillahmansour6424 Před 3 lety

      Praise God...kindly have some time to watch this, like and please don't forget to subscribe
      czcams.com/video/qNVZezKtRxY/video.html

    • @IrineShitsukane-tf2or
      @IrineShitsukane-tf2or Před měsícem

      Tupo

  • @heridadia9634
    @heridadia9634 Před 3 lety +3

    Mwaitege sekunde 1 ya moto sana ungepewa dakika 1 wimbo ilikuwa wako 😁😁 like

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 Před 3 lety +1

    Ukimpa legendary nafasi ....tujirushe huku

  • @tntboom6042
    @tntboom6042 Před 3 lety

    Daah wimbo mxuri sna mbalikiwe na Mungu hakika sichoki kuskiliza Kutoka Omani Asnte sna

  • @billysamz3260
    @billysamz3260 Před 3 lety +15

    Tuwe wakweli Ikiwa hii nyinbo isingekuwa gospel tayari ingekuwa isha hit 10M viewers

  • @annawilliam5612
    @annawilliam5612 Před 3 lety +58

    Yesu amenipa kutembea hatua mbele🔥🔥🔥🔥🤩

    • @aggiebibi998
      @aggiebibi998 Před 3 lety

      Yesu amenipa kutembea 💃💃💃, Mungu amenipa kutembea hatua mbele 💃💃💃💃

  • @jumaalex-jt3mh
    @jumaalex-jt3mh Před 9 dny

    ilo beat lipo vizur, pia wimbo wenyewe upo vizuri

  • @sophietoya4617
    @sophietoya4617 Před 2 lety

    Kweli kabisa hata mbele I love this song anayepigana nawe lkn Jesu yuko akupa imani enuka utembee so♥️♥️♥️♥️💕🙏🙏🙏

  • @chongwestephano3342
    @chongwestephano3342 Před 3 lety +12

    Alieona stail ya yope weka like twende sawa by the way ngoma kali🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @annakomba4971
    @annakomba4971 Před 3 lety +15

    Kila siku naisikiliza hii nyimbo kwakweli kaz nzur sana.ahsante mungu kwakunipa hatua mpya❣️❣️🇹🇿

  • @mambilib9284
    @mambilib9284 Před 6 měsíci

    Enyewe amenipa mihuri ya heshima. When you humble before Him, He exalts you.

  • @reginaandrea4513
    @reginaandrea4513 Před 2 lety

    Gooluck nabarikiwa Sana kupitia nyimbo zako zinanifanya niwe jasiri na kuzidi kusonga mbele ❤️❤️❤️u so blessing

  • @godblessgerard6914
    @godblessgerard6914 Před 3 lety +54

    hii Mugambo hadi mbinguni, weka like kwa brother Goodluck

  • @samwelimsigala5978
    @samwelimsigala5978 Před 3 lety +9

    Shaloom, Mimi naitwa SAMWELI MSIGALA napenda kuimba nahitaji sapota yenu. Baadhi ya nyimbo zangu zipo CZcams. Ukisearch SAMWELI MSIGALA unazipata.

  • @giselleramlah4320
    @giselleramlah4320 Před 3 lety

    Kazi nzuri, asante kwa hii faraja. Kwa hakika Mungu ameniwekea ujasiri na kwake hakuna kinachoshindikana. Yeye pekee ndiye tumaini langu!

  • @frumencekaigai4030
    @frumencekaigai4030 Před 2 lety

    Wa Africa wote tuendelee na huyo moyo was upendo

  • @Musamizinga
    @Musamizinga Před 3 lety +7

    Wakenya mko wangapi humu like niwaesabu

  • @natashadaniel1749
    @natashadaniel1749 Před 3 lety +28

    Tanzania in the house,kama wewe unamkubali Goodluck... let me here some AMEEEEEEEEEEEEEEEEN! KAMA MUGAMBO HATUA YA MBELE

  • @cesarinebahati1832
    @cesarinebahati1832 Před 2 lety

    Kweli Kabisa yesu atatupa hatuwa mbele mbele mwaka huyu kilaa anaye amini lazima tu apewe hatuwa mbele yani mubarikiwe message imefika Kabisa

  • @GedeonIMANIMAKELELE
    @GedeonIMANIMAKELELE Před měsícem

    Kijeshii,tuta endeleya bila shaka.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Před 3 lety +75

    Mm wakwanzaaaaaaa mtt wangu jamn mungu awabark mnoooooooo Kaz nzr mnooooo like zenu jmn me babayake

  • @mildredchiyumba3973
    @mildredchiyumba3973 Před 3 lety +170

    Dah!....kazi nzuri sana, hongera kutoka Nairobi Kenya....msininyime likes

  • @floramalyeka9818
    @floramalyeka9818 Před rokem +2

    He is the best than all singers mugambo nice song hatua mbele

  • @user-hh1ru3bk7k
    @user-hh1ru3bk7k Před 3 měsíci

    GOD bless you ,,,yesu amenipa kutembea hatua mbele kama mugambo kutembea hatua mbele nice song

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 Před 3 lety +56

    I wish bony could be given 1 minute,too short but sulute guys🇰🇪🇰🇪

  • @flossyndovi7914
    @flossyndovi7914 Před rokem +48

    Let everyone who has breathe Praise the Name of Jesus.

  • @williammukabana3771
    @williammukabana3771 Před rokem

    Gozbert's fans from Kenya give me a heart❤❤

  • @NeemaJohnGombanila
    @NeemaJohnGombanila Před 2 měsíci

    Jina la yesu linanguvu inayoponya utukufu kwake.

  • @elymsagala
    @elymsagala Před 3 lety +5

    Hakuna tofauti na bongo flavor
    Gudlck ni harmonize aliechangamka
    😅😅😅
    Gospel za now days vituko

    • @elizabethmachuma1334
      @elizabethmachuma1334 Před 3 lety

      Kuna tafauti ya message!..ukisikiliza

    • @johnfaustinechannel746
      @johnfaustinechannel746 Před 3 lety

      Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.

    • @elymsagala
      @elymsagala Před 3 lety

      @@elizabethmachuma1334 huko nikujifariji tuu ndomana now days kuna hip hop gospel ni upuuzi tuu.

  • @abbiroz5875
    @abbiroz5875 Před 3 lety +57

    Am loving it ....Glory to GOD, sijawai pata likes za good luck ,atleast nipee 100 likes

  • @rosemarryjohn1376
    @rosemarryjohn1376 Před 3 lety

    Hatua mbele kama mugambo namie natembea hatua mbele kwajina la yesu

  • @paulinemangale3019
    @paulinemangale3019 Před 4 měsíci +1

    Thank you Jesus 🙏 let your name be glorified to my family.

  • @mashakathomas9992
    @mashakathomas9992 Před 3 lety +50

    Wakenya ambao tumeelewa ujumbe huu na kubarkiwa na wimbo gonga hapo tuane !

  • @abunelysoud8510
    @abunelysoud8510 Před 3 lety +4

    Goodluck tafadhali sana mm nilkuwa apenda sana nyimbo zako lakini toka utoe niko a ubaya na hii video za hizi nyimbo hazifai unaipeleka dunia kanisa Mungu namwomba awasaidie wasanii wa gospel wasipotee

    • @lamerckjesus5404
      @lamerckjesus5404 Před 3 lety

      Mungu AKUBARIKI kaka unajicho la ndani mwana wa Mungu

    • @salumlutwe4649
      @salumlutwe4649 Před 3 lety

      Kweli kabisa na roho mtakatifu unaye

    • @nduatiwangeci8729
      @nduatiwangeci8729 Před 3 lety +1

      You guys should stop religion mediocre.
      Christianity isn't religion but the life of Christ in you.
      We will praise God in any way ,any style, any dance according to the revelation He has given us.
      Kama wewe ni wa hymn Kaa hiyo lane.

  • @jescamushi7447
    @jescamushi7447 Před 2 lety +1

    Yesu NAKUSHUKURU😍

  • @mustaphmakunganya5194
    @mustaphmakunganya5194 Před 3 lety

    Nyimbo inachezeka ila kilichoniuzi eti yesu haaaaaa ama kweli kondoo walopotea!!!

  • @catherinemutimba7988
    @catherinemutimba7988 Před 3 lety +18

    Who is dancing with me❤️can't dance enough of this song. Kenyans hoiyee

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 Před 3 lety +253

    Trending in Kenya coz we love good gospel music.. 🇰🇪🇰🇪

    • @cleahmsavi9982
      @cleahmsavi9982 Před 3 lety +2

      True

    • @Malkey4real.Alleytha_d330
      @Malkey4real.Alleytha_d330 Před 3 lety

      Hello how are u welcome to my channel CZcams and don't forget to subscribe asante

    • @Izaakii
      @Izaakii Před rokem

      Word

    • @Izaakii
      @Izaakii Před rokem +1

      Nah word

    • @dimbwidimbwi
      @dimbwidimbwi Před 9 měsíci

      Very true sis we love clean gospel here in kenya be blessed sis👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RehemaNekesa
    @RehemaNekesa Před 8 měsíci +1

    Hatua mbele❤

  • @glaury9938
    @glaury9938 Před rokem

    Yani aaa we umetisha yani hicho nikiwango kingine nakupenda sana bro hapa glory nipo ufarance nakuelewa sana

  • @fallyisonga
    @fallyisonga Před 3 lety +67

    Hiii goodluck sisemi kitu bro your just king of gospel tz mzimaaa wapi wakenya nipe like za gudii gudiiy zilll😩🙌🙋🙌🙌🙋🙌