ENG. HERSI: MSTAAFU KIKWETE ALINIULIZA KUHUSU PACOME, KUNA JAMBO GANI?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 04. 2024
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • Sport

Komentáře • 60

  • @elbacabdoudjesh5629
    @elbacabdoudjesh5629 Před měsícem +83

    Wa kwanza from Comoros 🇰🇲🇰🇲🇰🇲 kila shabiki wa Yanga tujuwane kwa like zenu

    • @rogath_silayo
      @rogath_silayo Před měsícem +4

      Kumbe Comoros mnaongea Kiswahili, Safi Sana Mwananchi.

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw Před měsícem

      ​@@rogath_silayo😂😂😂😂🙌

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před měsícem

      ​@@rogath_silayohao wakomoro ni waswahili halisi na asili yao hasa ni huku huku pwani ya Afrika Mashariki, mababu zao waliingia kwenye visiwa hivyo na Kiswahili chao kwa karne nyingi sana wakaweka makazi ya kudumu, ingawa kwa kiasi kikubwa wao bado wanatumia Kiswahili cha zamani sana kinachoitwa Kikomori ambacho ni moja ya lahaja za Kiswahili kama zilivyo lahaja za Kiswahili zinazopatikana pwani ya Kenya, Somalia, Msumbiji, Madagaska Kaskazini na Kongo Mashariki, pia lahaja nyengine za Kiswahili wanazotumia wakomoro ni pamoja na Kingazija, Kinzwani, Kimwali na Kimaore, umbali na kuwepo kwa bahari kubwa baina yao na yetu huku Afrika mashariki vimesababisha kutochanganyikana nao na hivyo kupelekea lahaja zao kutoingia ktk mabadiliko haya ya kilugha ya Kiswahili hiki cha sasa tunachokizungumza kilichobadilika miundo, misamiati na hata misimu. Lahaja zao hizi ni sawa na lahaja ya Kiunguja cha Zanzibar ambacho sasa ndicho kiliyorasimishwa na ndicho tunayokitumia ktk kukiandika na kuikisoma kama Kiswahili sanifu, kwa sasa lahaja ya kiunguja imechanganyika na lahaja ya Kimrima inayotumika pwani ya Tanzania ambapo mchanganyiko huo wa kilahaja ndiyo wa Kiswahili hiki cha sasa tunachoongea watu wa Dar es Salaam na kuenea maeneo mengi ya Tanzania na hata Mombasa nchini Kenya na maeneo mengine ya Afrika Mashariki.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před měsícem

      Elbaca, upo komoro sehemu gani?! Nina ndugu zangu wengi huko. Mimi nipo Tanzania, nataka tuwasaliane kaka.

    • @abdoulazizalimohamed7995
      @abdoulazizalimohamed7995 Před měsícem

      ​@@rogath_silayoyes comoros tunaongea vizuri kiswahili

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n Před měsícem +20

    Najitahidi hata namimi japo niongee kwa busara angalau kama Eng. Hersi ila busara zenyewe zinaniambia no. Huku sio level yako 😂😂😂 Barikiwa sana Rais wetu wa Yanga 🤲🤲🤲

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 Před měsícem +11

    Mungu awalinde na maudui Ili mzidi kuijenga clab yetu ya Yanga 💚🖤💚💛🖤💛🖤 Daima Mbele nyuma mwiko

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před měsícem +5

    Asante serikali yetu kwa msaada wenu kwa pakome piya asante rais wa time yetu eghiniya kwa jitihada yako kwa tim ukiongozwa vyema na mfadhili wetu Ghalib sports pesa na wote wadau

  • @harunadaudi5628
    @harunadaudi5628 Před měsícem +5

    Allah akujalie Afya njema Rais wetu pamoja na wewe tutafika mbali

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e Před měsícem +4

    Salute mr president,

  • @hasinually8735
    @hasinually8735 Před měsícem +18

    Yanga daima mbele

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před měsícem +12

    MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @BenjaminiPastiani
    @BenjaminiPastiani Před měsícem +14

    Twajivunia injinia hers

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Před měsícem +5

    Mungu akupe maisha marefu raisi wetu wa yanga wadhamini na viongozi wote wa yanga mubarikiwe sana mungu awe nawe

  • @JastinAlphonce
    @JastinAlphonce Před měsícem +3

    Yanga Africa tunahitaji kujitambulisha kwny soka la Africa 👍👍👍

  • @MaglassmaglassTz
    @MaglassmaglassTz Před měsícem +5

    Tunawaacha wapuuzi waongee...hata kuwajibu hatuna mda 🔰🔰🔰

  • @HemediAgoustino
    @HemediAgoustino Před měsícem +12

    Mungu mpe umri mrefu raisi wetu wa yanga na wasaidizi wake

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 Před měsícem +5

    President Hersi 🔥

  • @graphicshome862
    @graphicshome862 Před měsícem +3

    Your the best broh

  • @HusseinKafuta
    @HusseinKafuta Před měsícem +4

    Yanga Africans inshallah

  • @kalingavictor7068
    @kalingavictor7068 Před měsícem +10

    Injinia we support you, keep it up

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy Před měsícem +4

    Hiki kichwa mmh 🙌🙌🙌

  • @erickbenjamini8154
    @erickbenjamini8154 Před měsícem

    Kutoka Geita Tanzania mi mwana Chama wa Yanga dam dam❤❤🎉

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro Před měsícem +4

    Nakuelewa Sana Mwamba Mtu wa maana Sana💪💪💪💛💚

  • @user-gz1gm5hy1c
    @user-gz1gm5hy1c Před měsícem +2

    President 🙌

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před měsícem +2

    Allaah Akbar

  • @masoudmtando2600
    @masoudmtando2600 Před měsícem +1

    Tatizo lenu Viongozi Hamkanushi Haraka Habari na uvumi mbalimbali unao tia doa Katika Timu Yetu Japo ❤❤❤❤ Naeapenda sana 😂 😂Tena Mnastahili Kupew Maua yenu🎉🎉

    • @ototek8037
      @ototek8037 Před měsícem

      Hiv unaielewa vizuri mitandao au? Inabidi uache shughuli kila siku mda wote upoteze kujibu uzushi, utatoka kwenye focus wazungu wanasema.
      kumbuka hizo story ni mbinu za maadui kujuwa siraha zenu..hii vita inaenda kuanza upya mda sio mlefu.
      Madirisha yataongea..kunakitu hujui.

  • @bm4tv602
    @bm4tv602 Před měsícem +3

    The president

  • @KhalfanHassan-sq9pi
    @KhalfanHassan-sq9pi Před měsícem

    Dah ww ugiongoz bora hata kupewa nchi ya urusi basi utaiyendesha vizur sana

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy Před měsícem +2

    Acheni ujinga na ushoga pamoja na chuki za simba yanga yetu.ipo vzri sana

  • @user-sz9om9ly4y
    @user-sz9om9ly4y Před měsícem +5

    Natokea mkoa wa songwe hapo rais wetu umeongea ukweli usipo kuwa na ngozi ngum tulivyo watanzania maneno mengi sana juu ya viongozi yenye hasra lazima uvumilivu uwepo.

  • @user-sq4kc5ee2z
    @user-sq4kc5ee2z Před měsícem +3

    Wamekuelewa na tumekuelewa sisi wana yanga.waumie tu sisi tunafurahi

  • @JophotoStudio
    @JophotoStudio Před 28 dny

    Mzungu andelee kumlinda rais wetu🎉😊

  • @majaranyonyo2125
    @majaranyonyo2125 Před měsícem +5

    Leo mm ndo wakwanza

  • @user-lc3rv4oz7r
    @user-lc3rv4oz7r Před měsícem +1

    God bless my fans

  • @johnjames-pw1dp
    @johnjames-pw1dp Před měsícem +1

    👍👊👊👊👊💪💪💪💪💪

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj Před měsícem

    Dah, walimwengu MANENO ya uzushi mwingi SAAANA!!

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 Před měsícem +2

    Ngoja watunge uongo mwengine badala ya kutengeneza team lao wame invest kwenye propaganda na uongo na wametengeneza genge kbs 😅😅

  • @maudimwalwembe
    @maudimwalwembe Před měsícem +2

    Viongozi wetu ni wa viwango saana

  • @User92.invisible
    @User92.invisible Před měsícem

    To the top

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f Před měsícem +2

    Ndio hivo ukiwa kiongoz ni hatali san

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl Před měsícem

    Hawana kazi yakufanya ndomana wanatungatunga sana porojo,ndokombe walilobaki nalo ni maropoko tu

  • @elitumainimathayo9405
    @elitumainimathayo9405 Před měsícem +2

    Hiyo mbengu ulioipanda hapo unafikiri itaoza haiozi

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 Před měsícem +1

    Safi

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 Před měsícem +1

    President 🎉🎉🎉

  • @cngeze
    @cngeze Před měsícem +1

    Hapo kikwete katajwa maana yake kuwa hata kama ni kweli hamrusiwi kuuliza 😂

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 Před měsícem +1

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA Před měsícem +6

    Elewa neno vitu vya kipuuzi ,vitu havimake sense yaani senseless....tafsiri ni kuwa mayele aliongea vitu senseless

  • @salvatoryboniface1089
    @salvatoryboniface1089 Před měsícem +4

    Wanahc watatutoa mchezoni ndyo maana kila cku wanatengeneza skendo mfano yule shoga cjui anajiita Zaka mpimbavu mmoja hv wala hana Content kuongea hajui

  • @Muna-en4yq
    @Muna-en4yq Před měsícem +1

    Game lini

  • @user-uo6nw1gb8b
    @user-uo6nw1gb8b Před měsícem

    Rais wetu wa Yanga ni muwazi kwelikweli

  • @ImaniKiswaga
    @ImaniKiswaga Před měsícem +1

    Subirn dawa iwaingie

  • @stewardlwimbo3944
    @stewardlwimbo3944 Před měsícem +1

    Enginear wa Iringa wewe hadi ujinyonge?

  • @ferejifaraji8644
    @ferejifaraji8644 Před měsícem +1

    huyo mzee siasa zisiletwe kwenye michezo